samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Haki Imetendeka, huko Moshi Manispaa, sasa kutakuwa na amani,na Tabasamu la Rais Samia litaonekana! Bado Afisa habari wa Manispaa

    Haki imetendeka! Sasa wa kuhamisha Moshi Manispaa, ni Afisa habari wa Moshi Manispaa, Bwana Rama. Huyu ndiye mtengeneza majungu,fitina na elimu yake ina shida! Msipo mhamisha,mapema,kazi yake ni kuharibu wakurugenzi wapya wanaporipoti tu. Huyu ni mtumishi hatari sana na amedumu kituo hicho...
  2. Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, lakini Samia yupo zake Kizimkazi anaongelea

    Yaani kwa Ufupi, hakuna anayejali kuhusu Tanganyika. Mtajijua wenyewe. Mlima Kilimanjaro unawaka Moto, Watendaji wa Serikali ni kama hakuna kilichotokea. Malori yamegoma, lakini watendaji wa Serikali wapo kwenye Vikao vya posho. Nchi haina mwenye. Shamba la Bibi. Polisi wanalwta vitisho...
  3. RAIS DKT SAMIA APIGANIA SEKTA BINAFSI.

    📌Ndani ya nchi aipendelea fursa, saaa mwelekeo ni hadi nje ya nchi. 📌Mwigulu asema amewasisitiza ishiriki kwenye mipango ya serikali 📌Yatengenezewa mazingira hadi Qatar, nia ni iwajibike Dira 2050
  4. Q

    Rais Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti

    Samia alitegemea Lissu atapiga magoti kama Mbowe, lkn mambo yamekuwa tofauti. Lissu mwenyewe kasema, kesi ya uhaini haina kosa dogo ni either kunyongwa au kuachiwa huru, means yupo tayari kunyongwa. Ikitokea Lissu akanyongwa, Samia atakuwa mwanamke wa kwanza kunyonga mpinzani wake wa kisiasa...
  5. Prof. Tibaijuka mpe sapoti Rais Samia kwaajili ya wasichana wa shule yako.

    Professor umefanya kazi nzuri sana kuonyesha mfano kuwa wanawake wanaweza kama wakipewa nafasi. Shule yako ya wasichana ni miongoni mwa shule bora hapa nchini. Najua hizo ni jitihada za kufanya women empowerment kwa vitendo. Mwanamke kuwa Rais wa nchi ndiyo empowerment kubwa kupita zote kwa...
  6. Tafiti: Bomoa bomoa ya vibanda vya wamachinga ni kwa sababu hawakumchagua rais Samia pamoja na kupewa Tisheti na pesa

    Hii bomoa bomoa ya vibanda vya wajasiriamali ni hasira za raisa aliyepo madarakani bila ridhaa ya umma. Amekasirika kiasi cha kuita wafanyabiashara ni takakataka. Kisa tu mwaka jana hawakumpigia kura na hawamtaki. Politika science has revelead.
  7. Uwekezaji Afya SAMIA: Kivutio UNGA-81

    "Uwekezaji wa SAMIA Afya kivutio UNGA"
  8. President Samia Suluhu Hassan is “overrated,”

    Leadership should not be measured only by economic statistics, infrastructure projects or political popularity. It should also be measured by respect for constitutional rights, peaceful political competition, freedom of expression, accountability of security institutions and the ability of...
  9. Watumishi wa Umma wanalojambo kubwa sana La kumshukuru Rais Samia Suluhu!

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, Katika kundi ambalo limeneemeka miongoni mwao ni kundi la watumishi wa Umma, Rais amelitendea haki na kuhakikisha wanapata stahiki zao, Lipo jambo kubwa sana la Kumshukuru Mheshimiwa Rais na Amiri Jeshi mkuu, Mungu akubariki sa uendelee kuwakumbuka na...
  10. TONE LA MAJI LA KWANZA KILWA LAFUNGULIWA,WAZEE WAOMBA DUA KWA RAIS SAMIA

    Mradi mkubwa wa Maji wa Miji 28 unaotekelezwa katika Kijiji cha Mavuji kilwa Masoko umekamilika na wananchi wameanza kupata huduma ya maji na kuondokana na changamoto ya magonjwa kama kipindupindu ulokua unawakumba mara kwa mara kutokana na adha ya maji. Baada ya kufunguliwa kwa tone la kwanza...
  11. K

    Ni ujinga kutangaza nchi kwa kutumia jina Samia badala ya Tanzania!

    Karibu Tanzania eti na picha sa Samia badala ya picha za vivutio kama mbuga na sehemu za utalii. Mama hauziki wazungu wengine wakiona picha ya Mama ndiyo hawaji kabisa
  12. Kipindi hiki cha samia pesa zipo nje , nje . Hakuna yale mambo ya vyuma vimekaza

    Pesa mtaani zipo bwelele , vijana wadogo kabisa wana miliki ndinga kali . Yale mambo ya vyuma vimekaza kama kipindi cha magu siku hizi huwezi kuyasikia .Watu hawalalamiki pesa mtaani hakuna au maisha magumu kama ilivyo kuwa kwa magu. Ukishindwa kujenga na kumiliki vitu vya thamani kipindi...
  13. S

    Kama Katuga hakujua umuhimu wa ushahidi wa Samia. Mpango, Majaliwa, CDF, IGP na DGISS kwenye kesi ya uhaini, anafaa kweli kuwa wakili wa serikali?

    Hili ndio swali ninalojiuliza baada ya maelezo ya Lissu alliyoyatoa mahakamani leo kwenye final submission yake. Tena tukumbuke ni Jamuhuri ndio walitakiwa wawaite kama mashahidi wa upande wa mashitaka ili kuthibisha ni kweli serikali ilitishika kama sheria inavyotaka kwa mujibu wa Lissu na...
  14. Lissu anajua sheria aisee, aeleza kuwaita Samia, Mpango na Majaliwa aliweka mtego

    Lissu shikamoo Wewe ni mwamba wa sheria nchini. Unaona vitu ambavyo akili yetu haijaviwaza Lissu ameeleza kuwa kwenye hati ya mashitaka haikuelezea na Kwa jinsi Gani serikali ilitishika hakuna huo ushahidi Lissu akaamua awaited viongozi wakuu wa serikali wake mahakamani wayhinitoshe...
  15. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiahidi anatekeleza. 🇹🇿🔥

  16. UNGA-New York: Samia Suluhu Hassan utakwenda? Basi, get prepared maana utakutana na haya.........

    Tunajua Deogratious Ndejembi ametangulia New York.. Vipi Samia Suluhu Hassan, The Butcher atakwenda kweli kuungana na wakuu wa nchi na serikali zingine halali duniani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la Umoja wa Taifa - UNGA huko New York..? Atakutana na zahama hii na CNN, BBC, SkyNews, Al...
  17. UNGA 2026: Mhe.Ndejembi aanika mafanikio ya Rais Samia kwenye sekta ya afya

    Na Dr. Zack, WAF- New York Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema Tanzania imepunguza vifo vya akina mama kwa asilimia 80 ndani ya kipindi cha miaka saba chini ya uongozi thabiti wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan. Mhe. Ndejembi amesema haya leo...
  18. L

    Video: Msanii Mkubwa Wa Marekani Na Dunia Rick Ross Ampongeza Rais Samia Kwa Kuiweka Tanzania Katika Ramani ya Dunia. Kutua Nchini Muda wowote

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni chaguo la Mungu, Ni Mbarikiwa, ni Mkono Wa Mungu Ndani ya Taifa Letu , Ni nuru na Mwanga Wa Taifa letu ,Ni Mtu na Nabii aliyepewa kibali na Mungu . Usishindane na Aliye inuliwa na kupewa kibali na Mungu . Usipigane na Aliye pewa Mamlaka na...
  19. Hongera sana Samia : Ulionesha utu wako kwa vitendo October 29, 2025

    Mama wa 4R, mama wa Kazi na UTU alutuonesha namna alivyo na utu kwa raia wake. Mataifa yote yalishuhudia upendo wa mamayetu kipenzi chetu Samia Suluhu Hassan. Nawapa pole wale wote wanaomchukia mama yetu, kama kuna ndugu yako alipoteza maisha atakuwa alileta vurugu huyo. Hata hivyo kifo ni...
  20. 23 Septemba 2021 — Rais Samia ahutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76)

    Tarehe 23 Septemba 2021, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, alihutubia Mjadala Mkuu wa Mkutano wa 76 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA 76) jijini New York, Marekani. Katika hotuba yake, alizungumzia miongoni mwa mambo yafuatayo: -Athari za UVIKO-19 katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…