samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Zack Abdul

    Laporta Atuma Rambirambi kwa Rais Samia

    Lapotra Atuma Salam za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Mwenza wa Rais Samia Na Mwandishi wetu - MAELEZO Rais wa Klabu ya Barcelona FC, Joan Lapotra amemkabidhi Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Paul Makonda barua maalum ya rambirambi kwa ajili ya kumfikishia Rais wa Jamhuri ya...
  2. Zack Abdul

    Rais Samia Azindua Hospitali ya Rufaa Kanda ya Kusini

    15 Septemba 2023 — Mtwara Mhe.Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alizindua Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini, iliyopo Mikindani, Mkoani Mtwara. Hospitali hiyo ililenga kuongeza upatikanaji wa huduma za matibabu ya kibingwa kwa wananchi wa Mtwara, Lindi na Ruvuma. Katika hafla hiyo, Rais Samia...
  3. Zack Abdul

    Dkt. Samia Suluhu Hassan aibadili Tanga kiuwekezaji.

    ■Uchakataji mchanga wa baharini Afrika kufanyika Pangani ■Ni wakati mradi wa tril 56 kitovu cha nishati ukiendelea.
  4. Zack Abdul

    Rais Samia Azindua Mkakati Sensa 2022

    14 Septemba 2021 — Rais Samia kuzindua mkakati wa Sensa Tarehe 14 Septemba 2021, Rais Samia alizindua Mkakati wa Uelimishaji na Uhamasishaji wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022 katika Uwanja wa Jamhuri, Dodoma. Alieleza umuhimu wa Sensa katika kupata taarifa za idadi ya watu, makazi...
  5. Zack Abdul

    CHADEMA wanapaswa kujifakari

    Anaandika Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Mkazi wa Jijini Mwanza Alloyce Nyanda (Mtozi), akionesha kuunga mkono chapisho la Msanii wa Muziki wa 'HipHop' Nchini, anayeishi Nchini Marekani kwa sasa Roma Mkatoliki (ambalo tumeweka kwenye post iliyopita): "Ukisoma andiko la Roma, kama utataka...
  6. Zack Abdul

    Upinzani Mpya Dhidi ya CCM Imara ya Samia

    By December, huenda tukawa na chama kipya cha upinzani. Acha matapeli na madalali wagawane fito na kumalizana wenyewe. CCM ya Samia imefanya political rejuvenation ya hatari. Kwa kasi hii, wapinzani watahitaji miaka 100 mingine kuiondoa madarakani. Siku moja mtatambua kwamba sisi chawa...
  7. H

    Tetesi: WanaCCM amkeni tupambane na state capture ya Wicknell Chivayo na Genge lake kwani ndio wanayeongoza Tanzania kwa sasa, Raisi ni Kivuli tu.

    Kifupi CCM sasa haina nguvu yoyote ndani ya Tanzania. Huko ni kupokea Amri tu, kuimba mapambio kumsifu raisi na kutokuhoji na kuuliza chochote kabisa. Wameacha watu waoga tupu CCM. Tunanafasi ya kuwaamsha wana CCM kuungana na Wananchi wazalendo kurudisha nchi na mamlaka yake kwa Wananchi wa...
  8. Zack Abdul

    Mnufaika wa mikopo ya asilimia kumi aeleza tija ya utalii wa mikutano kwa wajasiriamali, atuma salamu za pole kwa rais samia

    Mjasiriamali kijana Ifra Ahmed, anayejishughulisha na uendeshaji wa saluni za kike na za kiume, ameeleza namna wageni kutoka mataifa mbalimbali wanaohudhuria mikutano ya kimataifa wanavyochangia kukuza biashara yake. Ifra, ambaye amepata mikopo isiyo na riba kutoka Halmashauri ya Jiji la...
  9. M

    Rais Samia anavyowekeza uvuvi wa bahari kuu

    Mkataba wa Ujenzi wa Meli Tatu za Bahari Kuu: Tanzania Yafungua Mlango Mpya wa Uchumi wa Buluu na Ajira kwa Vijana Na GULATONE MASIGA Bahari ya Tanzania ni rasilimali kubwa ya kiuchumi ambayo kwa muda mrefu imekuwa na uwezo mkubwa kuliko kiwango ambacho Taifa limeweza kuutumia. Uamuzi wa...
  10. peno hasegawa

    Sheikh Mkuu, wa Tanzania, tunaomba ufafanuzi wa jambo hili la Eda kwa mke wa pili wa Hafidh Ameir,Mume wa Samia

    Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine? Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
  11. Zack Abdul

    Balozi Uturuki Amfariji Rais Samia Kizimkazi

    Mheshimiwa Bekir Gezer, Balozi wa Uturuki hapa nchini akimfariji, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh...
  12. Zack Abdul

    Ujumbe wa Oman wamfariji Rais Samia kufuatia msiba

    Ujumbe wa Mawaziri kutoka Oman wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki...
  13. Zack Abdul

    Vijana Makachu Wafariji Rais Samia Baada ya Msiba wa

    Vijana wa Makachu, wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika...
  14. Zack Abdul

    Mawaziri SMZ Wafariji Rais Samia Kizimkazi

    Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) wakimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar, tarehe 11 Septemba, 2026, kufuatia kufiwa na Mume wake Marehemu Maalim Hafidh Ameir...
  15. Alexido jz instagram

    Mama yangu Samia, naomba mrudishe Jokate kundini, nimeshuhudia mapambano yake chamani

    Mama angu pole na msiba. Katika harakati za uvccm nimeshuhudia Jokate akipambana sana Kwa AJILI ya CHAMA hivo NAKUOMBA mama yangu mrejeshe KUNDINI maisha yaendelee sijui chanzo chake, ila naomba tu mmfikirie turudishe umoja kazi IENDELEE.
  16. K

    Mama Samia jitathmini unaoenekana haupo sawa kabisa. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako?

    Mama Samia jitathmini unaoenekana kuchanganyikiwa!. Uoga uliopitiliza huwaamini hata VP wako? Kiasi cha kuwaweka kizuizini kama Nchimbi. Je unafikiri Deo anajali chochote au yupo tofauti au kwabababu ni mpigaji mzuri aka mla rushwa atakaa hapo kama biashara tu na kufuata upepo. Lakini sasa...
  17. M

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa na Warioba vs Kikwete ilishindikana kupata Tanganyika au Zanzibar huru. Je, kipindi cha Samia tutatoboa ?

    G55 vs Nyerere, Pemba 2000 vs Mkapa, na Warioba vs Kikwete. Vipindi hivi vitatu vilitikisa mjadala kuhusu mustakabali wa Muungano, lakini hatimaye havikuzaa Tanganyika au Zanzibar huru. Leo tunajiuliza swali lilelile: Je, kipindi cha Samia Suluhu Hassan ndiyo tutatoboa? Je, tutafika kwenye...
  18. Zack Abdul

    Rais Samia akutanana Amina J. Mohammed Dodoma

    LEO KATIKA KUMBUKUMBU 11 Septemba 2021: Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan alikutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Amina J. Mohammed, Ikulu Chamwino, Dodoma. Mazungumzo yalihusu ushirikiano wa UN na Tanzania, maendeleo endelevu, afya ya mama na mtoto, maji safi na...
  19. Yoda

    Hakuna cha ajabu Samia kupigiwa magoti na wanaume.

    Sijui kwa nini Hili jambo la baadhi ya wanaume kama vile Chalamila, Bashungwa na Mwigulu kumpigia magoti Samia limewakera hivi baadhi ya watu! Mbona wanaume huwa wanawapigia magoti wanawake wakati wanawavalisha Pete za uchumba? Kama unaweza kumpigia mwanamke ambaye huendi kupata chochote cha...
  20. Boss la DP World

    Nataka kwenda kumpa pole Samia Suluhu Hassan. Naanzia wapi?

    Japo mimi siamini kama nchi yetu ina Rais kwasasa (nasubiri uchaguzi mkuu maana haukufanyika), lakini nina hamu ya kwenda kumpa pole ndugu Samia Suluhu Hassan. Je, utaratibu ukoje? By. Boss la Bandari zote za Tanganyika.
Back
Top Bottom