samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. CCM kutaka maridhiano ni ushahidi kuwa zile 98% za Samia ni uongo

    Kama uchaguzi ulifanyika na watu walishiriki na matokeo yakawa ushindi wa kishindo kwa samia (asilimia 98), maridhiano yanini sasa? Kama watu 98 kati ya 100 wanawaunga mkono hawa wawili wanawauma nini? Tafadhali sana, mleteni Samia ahutubie hadharani tuoneshe mahaba yetu kwake. Yeye si mjuaji...
  2. Rais Samia Yuko wapi

    Leo tarehe 19/10/2026 alitakiwa alitakiwa kuonekana kwenye uzinduzi sehemu fulani na hajatokea. Watanzania tunayo haki ya kikatiba kufahamu rais Yuko wapi kwa sababu urais sio wa CCM Wala wa familia yake ni wa nchi na wa wananchi wote. Ikulu itoe statement iseme rais Yuko wapi.
  3. Kesi ya Samia ICC imefikia wapi?

    Mwishoni mwa mwaka 2025 na mwanzoni mpaka katikati ya mwaka 2026 kulikuwa na suala la Samia kuhitajika ICC kujibu tuhuma zinazomkabili. Mwanzoni tulikuwa tunapata updates za nini kinachojiri mara kwa mara ila kwa sasa imepita muda mrefu i.ekuwa kimya sana. Inasikitisha zaidi kuona watanzania...
  4. L

    Watanzania Tuna kila Sababu ya Kumshukuru Rais Samia, Wakati Sisi Tuna Kula na Kuvimbiwa Wenzetu Ulaya Wanashinda na kulala na njaa

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania tuna kila sababu ya Kumshukuru Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kazi kubwa anayoendelea kuifanya kwa Taifa letu. Tunashukuru kwa uchapakazi wake . Tumshukuru kwa kujitoa na Kujitolea...
  5. L

    Rais Samia Ni Buheri wa Afya na Anaendelea Vizuri Kabisaaa na Anawatakia Kila La Heri Kidato cha Nne Katika Mitihani Yao .Huu Ndiyo Ujumbe Wake .

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ni Buheri wa Afya , anaendelea vizuri kabisa ,Yupo Salama kabisa , ni Mzima wa Afya,Yupo vyema kiafya na kimwili na anaendelea kutoa maelekezo na kutekeleza vyema...
  6. Hizi ziara za viongozi wa CCM wakitumbua na kutishia watumishi wa umma zitamsaidia rais Samia kupendwa na wananchi?

    Kwa ujumla ameshatambua kuwa hapendwi na wananchi. Lakini inaonekana kuna vuguvugu la viongozi kuwapelekesha mputa watumishi waonekane ni wazembe kwa wananchi ili serikali ikubalike kwa wananchi na rais apendwe. Tumbua tumbua, makalio ya hapa na pale yanafanywa na wakuu wa mikoa,makamu wa rais...
  7. El Nino isipokuja Samia arudishe hizo bilioni 700+

    Mpaka sasa ni kama mvua ya mchongo ya ccm imeota mbawa, badala yake kutakuwa na ukame, sasa hizo bilioni 700+ zirudishwe haraka sana maana mmeanza kugawana tenda za mchongo. Shame on you.
  8. Mfalume Ahabu ( Samia wa Leo) alikua na Manabii wake 450 wa Uongo walomtabiria anayopenda kusikia, Nabii Eliya na Mikaya walimtabiria Mabaya tu!!

    Mfalme Ahabu aliwachukia San Nabii Eliya na Mikaya kwakua walikua wanamtabiria Mabaya siku zote, Chuki ikaenda mbali Kiasi cha Ahabu kutafuta kwa nguvu zake zote Kumuua Eliya Na Mikaya . Mfalme Ahabu , Aliondoa Ibada ya Mungu katika utawala wake, Israel ukaanza kuabudu miungu Baali, miungu...
  9. Kama Samia asingefanya hivi October 29 sasa hivi Watanganyika wangekuwa vile

    Watanganyika wengi waliamini ndo wakati wa kuchukua nchi yao. Wendawazimu kabisa hawa. Waliamini ni wakati wa nchi kumilikiwa na kufaidisha wote. Kama Samia asingeruhusu yale mauaji makubwa toka Tanganyika iundwe nadhani kwa sasa nyie machogo mngekuwa huru na nchi mkitaka kuiendeleza mtakavyo...
  10. L

    Rais Samia Ni Kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita, Mtu Mzuri, Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja Naye.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ni mtu na kiongozi Shujaa, Hodari wa Vita ,Mtu Mzuri ,Anenaye kwa Busara na Ambaye Mungu Yupo Pamoja naye . Ni kiongozi ambaye amekamilika katika kila idara . Ni...
  11. Rais Samia alishinda kihalali kwenye ulimwengu wa roho na mpinzani wake mkubwa (Lisu) alikubali huku akipokea manuizo hayo kwa bashasha!

    Ulimwengu wa roho inabidi uwe Pro active sana!, Ilikua kabla hata ya uchaguzi mkuu wa Chadema Mama yetu kipenzi aliona mbali akamaliza kile ambacho kingemsumbua sana October 29, 2025, watu wanadhani ni mauaji ila sio, August 2024, rais alitembelea Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan aliamuru...
  12. Samia Suluhu tumseme kwa mengine sio hili la kutumia watu jini Makata mtoa roho

    Kuna dada nimeona mtandaoni anadai eti alikuwa anaumwa. Akasema eti Samia Suluhu Hassan alimtumia jini Makata ambalo kidogo limtoe roho. Akadai eti amerudi na amepona yupo lelelelee.. Mwamwamwamwa..! Swali ni Jini makata Samia alitoe wapi labda jini maimuna. Makata? 🤣🤣. Kwanza jini Makata...
  13. K

    Samia sasa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri

    Huyu Mama saa ataozesha kila nyanya hata zile nzuri. Polepole na Nchimbi ni mfano wa hizo nyanya. Kwasasa anafurahia kwamba yupo kapuni lakini hajui kwamba anaenda kutupwa sio yeye tu bali na ndugu zake , machawa wake na hata wale wazuri. Ni miaka mitatu sasa nyanya hii inaendelea kuaribu...
  14. 🗞️ RAIS SAMIA AFUNGUA MILANGO YA FURSA ZA BIASHARA BANDARINI

    ■ Rais Samia Suluhu Hassan aelekeza Tanzania kutumia nafasi yake ya kimkakati kuvutia uwekezaji wa kimataifa. ■ Waziri Mkuu aielezea Dar es Salaam kama lango la biashara linalounganisha Afrika na masoko ya dunia.
  15. Kifo ni kifo tu, kauli iliyoligawa taifa. WanaCCM wakifa nashauri msiwahukumu kwa makosa ya Samia.

    WanaCCM wakifa wananchi wanafurahia. Msiwahukumu kwa makosa ya kiongozi wao.👇
  16. Luhaga Mpina acha kupotosha watu.Hatima ya hii nchi ipo mikononi ya Watanganyika wanaodhurumiwa sio Kikwete.Watanganyika hawamtaki Kikwete na Samia

    Unataka Kikwete aseme nini? Kuwa wewe Kikwete na huyo Samia wako wananchi hawatutaki? Mliogopa kusema ukweli mkiwa CCM kama Humphrey Polepole leo mnajuta mkijifanya wapinzani Hii haiwezekani. Maandamano ya Oktoba 29 kupinga mauaji ya raia ili CCM mtandao waibe mali za Watanganyika ni jibu la...
  17. E

    Sasa naelewa kwanini watu wenye akili kama mzee Mangula na Kinana walimtosa Samia. Kumbe waliona mbele ni giza

    Hawa wazee kila mtu aliondoka kwa kisingizio cha umri umekwenda vilele kama wale washauri wa mfalme nero walivyoondoka wanaomba wapumzike ukweli sio umri ila walishanusa uchafu utakao waangukia wakaona wamuachie Kikwete na Samia na vijana wao wachafuke wenyewe. Kinana ni mzee kuliko wasira...
  18. Rais Samia apokea Hati za Balozi Mteule wa Ufaransa

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akipokea Hati ya Utambulisho kutoka kwa Mheshimiwa Jean-Baptiste Jeangene Vilmer, Balozi Mteule wa Ufaransa hapa nchini, kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 15 Oktoba, 2026.
  19. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
  20. E

    Godfrey Malisa: Kwa nini nilipinga uteuzi wa Samia CCM

    Mwanazuoni, mwandishi wa vitabu na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Godfrey Malisa, anasema msimamo wake wa kuhoji uteuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea urais wa chama hicho Januari 2025 ulitokana na kile anachodai kuwa ni ukiukwaji wa Katiba ya CCM na Katiba ya Jamhuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…