samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Maryprisca Mahundi asukwa mtindo wa Jina la Rais Samia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhandisi Maryprisca Mahundi Maryprica Mahundi akisukwa mtindo wa Jina la Rais Samia ikiwa ni sehemu ya shindano la Ususi hapa Mlimani City kwa Wasusi wakiandika majina ya Viongozi...
  2. Zack Abdul

    Rais Samia, Msibani kwa Baba Wambura

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akimfariji Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP) Camillus Wambura, nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 27 Oktoba, 2026, kufuatia kufiwa na Baba yake mzazi Deusdedit Mwita Wambura aliyefariki tarehe 24...
  3. Roving Journalist

    Rais Samia Atoa Shilingi Bilioni 31.4 Kukarabati Barabara Ya Gehandu – Babati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Shilingi bilioni 31.41 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa matengenezo ya kilomita 66.5 za Barabara Kuu ya Gehandu–Babati, yenye urefu wa jumla wa kilomita 105.5. Barabara hiyo ni kiungo muhimu cha usafiri kati ya Mkoa wa...
  4. Zack Abdul

    Rais Samia kuzindua mji wa kiserikali Mtumba, Dodoma

    Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua Mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma Oktoba 30, 2026. Mradi ambao ujenzi wake umegharimu takriban bilioni 700.
  5. figganigga

    Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  6. Sifi Leo

    Wa kagema aliliwa kichwa Uganda, wa Museveni yupo gerezani kwa uhaini,wa Samia nae yupo gereji kwa uhaini mnao bakia upinzani spoko za moto zinawausu

    Kiiza Besigye awala wa mke wa Museveni yupo gerezani,kisa uhaini Lissu mpinzani mkuu wa Samia yupo gerezani uhaini Kagame yeye,hataki shida wake amemla kichwa mapema na amezikwa paspo kichwa. Mnao bakia upinzani Tanzania mwafaka nini? Nina hakika ile tume itatoa mstakabali wa upinzani...
  7. C

    PostGE2025 THRDC Yapendekeza Oktoba 29 kuwa siku ya kitaifa ya kumbukizi

    Kituo cha Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kimependekeza Oktoba 29 ya kila mwaka iwe Siku ya Kitaifa ya Kumbukizi ya matukio ya Oktoba 2025, ili kuwakumbuka wahanga na kuweka mikakati ya kuzuia kujirudia kwa vifo, majeruhi na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu. Katika taarifa yake...
  8. Son of Israel from Africa

    Nini CHADEMA wamefanikiwa kwa utawala huu wa Ndugu Samia

    Wanajamvi salama kwenuu. Leo tuweke mambo makubwa ya waliofanikiwa CDM toka uongozi wa Mh Tundu antipas Lisuu. 1. Chadema wamefanikiwa kusumbua kwa hoja kutuu huu utawala vibaya mnoo kila aliye ndani ya utawala wa mh sana Samia anazunguka tuu CDM oo Sijui Heche sijui Msigwa sijui Lisuu anzia...
  9. R

    Kawaida: Baada ya Mungu na Mtume (SAW) hakuna zaidi ya Samia(yaani ni Samia zaidi ya Yesu Kristo)

    Tumefika huku! Time will tell!
  10. mirindimo

    UV CCM BAADA YA KUAMBIWA NI WALA RUSHWA WASEMA SAMIA NI MUNGU WA 3 DUNIANI

  11. Zack Abdul

    DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
  12. Kiranja Mkuu

    Nataka niwe navaa hijabu na magauni marefu mpirani, nijipodoe, nivae miwani nisimame dk 90 kwa heshima ya mama Samia

    Naamini nitakuwa nalipwa mamilioni kila mechi iishapo na nitaalikwa ikulu kula bata
  13. mirindimo

    NI NINI KIMEBADILIKA KWA AWAMU HII YA SAMIA ?

    CHAGUZI kuu 7 tangu 1995, LAKINI pamoja na upinzani mkali sana hasa 1995, 2000, 2010 na 2015, hatukuwa na hali hii ya sasa ya UGAIDI na UHAINI! What changed?
  14. uhuruborn

    TANZANIA BAADA YA SAMIA: JE, NI WAKATI WA KUJADILI SERIKALI YA MPITO NA UCHAGUZI KABLA YA 2030?

    Katika siasa, hakuna uongozi unaopaswa kuonekana kuwa mkubwa kuliko taifa lenyewe. Viongozi huja na kuondoka, lakini nchi inabaki. Ndiyo maana Watanzania wanapaswa kuanza kufikiria kwa kina kuhusu mustakabali wa taifa, namna ya kujenga taasisi imara na jinsi ya kuhakikisha kwamba mabadiliko...
  15. instinct desire

    Mh. Rais Dr. Samia Suluhu Hassan ametufundisha kuwa uongozi ni Sayansi na mipango

    1. Uongozi ni Sayansi maana yake ni kubaini mahitaji ya watu na changamoto zao na kuzitatua bila kuleta taharuki. Wote tunaona vile wavunjaji wa Sheria wanavyoshughulikiwa kwa ustadi mkubwa huku wakiacha somo kuwa hakuna aliyejuu ya Sheria (Rule of Law) 2. Uongozi ni mipango maana yake ni...
  16. Zack Abdul

    MAONO YA DKT. SAMIA KUKUZA UCHUMI AFRIKA

    Sekta ya madini yawekewa mkazo katika kukuza uchumi, kupunguza utegemezi wa ufadhili wa utafiti na kuhakikisha matumizi sahihi ya asilimia 10 za mapato ya mauzo kwa maendeleo yenye tija.
  17. L

    Rais Samia Amekuwa kama Imani kwa Watanzania Ambayo Huwezi kuwabadilisha watu kifikira. Amejijengea Himaya na Ngome yake katika Mioyo ya watanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Sasa Rais Samia ni Kama Imani kwa Watanzania. Ni Rais ambaye amefanikiwa kujijengea Himaya na Ngome yake binafsi ndani ya Mioyo ya watanzania. Huwezi kupenya na kuharibu imani hiyo ya watanzania kwa Rais Samia . Unaweza wapokonya watanzania kitu chochote kile lakini...
  18. Troll JF

    Profesa wa Sayansi ya Siasa na Uongozi Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan aongoza kikao cha baraza la Mawaziri

    Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 21 Oktoba, 2026.
  19. K

    Upinzani wa Samia kautengeneza kwa kiburi chake mwenyewe

    Samia tumejua ana vitu 5 vikubwa 1. Ni mtu wa visasi angalieni tu alivyomfanyia Nchimbi na Ndugai pamoja na kustaafu! 2. Hajawahi kuomba msamaha kwa lolote 3. Anapenda kusifiwa hata kwa unafiki aka machawa. Hizo PHD mchara 4. Mwoga sana wa kila mtu ushahidi kwa Lissu, Nchimbi, Ndugai na wengine...
  20. Idugunde

    Lissu ateuliwa kushindania tuzo ya haki za binadamu. Aibu kwa Samia na washauri wake

    Akishinda Samia na genge lake watapata aibu kubwa.👇
Back
Top Bottom