Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.
A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.
Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo
Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani
Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
“Nilikuwa na mawazo, nilikuwa silali… Sasa Mungu ameniona kupitia kwako, kupitia Samia namshukuru.”
Hizi ni shukrani za Jonas Machilu Seni Kugia, aliyepata ulemavu baada ya kugongwa na bajaji, baada ya Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, kumkabidhi bajaji ya kumsaidia kujipatia kipato.
Mzee...
Rasmi, Tundu Lissu ni mfungwa. Je, hii imelenga kumzuia kugombea tena urais? Hivi, Samia anafaidikaje na ukatili na uvunjaji sheria huu ulioandamana na ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu.
Kwa wale wenye mawazo kama yangu kuwa haki haikutendeka, mnaweza au mnataka kumshauri nini rais...
Leo akiwa airport, tumeona baadhi ya walinzi wa Rais Samia ni kama baadhi yao wamebadilishwa. Hao wenye kubeba mabegi ni wapya kabisa. Hii imekaaje kimedani?
Kichwa cha habari kinajieleza, naomba kukumbushwa maana hawa watu uwa mara nyingi ni wateule wa rais
Hivi Lazaro nyarandu anashauri nini rais?
Yanayofanywa kisiasa na kisheria hata mwalimu wa somo la sayansi kimu anaweza kukifanya hata badili kuwa ikulu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31).
Kwa mujibu wa taarifa...
Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Songwe Mhe Malata amekabidhi pikipiki sita (6) kwa mahikimu wa mkoa wa Songwe. Aidha Mhe Jaji Marata amemshukuru Mheshimiwa Rais Samia kwa kuidhinisha fedha zilizowezesha upatikanaji wa pikipiki hizo.
Chanzo: ITV online
Kutafakari pamoja
Lissu aliyenusurika kuuwa na utawala wa Magufuli na Samia leo yupo jera kwa kosa la uchochezi, dhidi ya utawala wa Samia, ili hali Magufuli kaisha bakia fuvu.
Najiuliza Samia anataka AAMBIWE neno gani na Lissu? Asante kwa kushindwa kumuua?
Leo yule lopo lopo, wa utawala wa...
Kuna msemo wa kiswahili unaosema kwamba
"vitendo vinaongea zaidi kuliko maneno"
pia Kuna msemo mwingine unaosema kwamba
" mtu kamili anabaki na amani endapo akilipa kisasi ikiwa alikosewa makusudi"
Sasa nikianza na msemo wa kwanza ni kwamba vitendo vya raisi aliyepo yani samia vinaonesha...
Rais Samia Suluhu Hassan alijipatia umaarufu kwa 4Rs yaani akiwa na maana ya;
1. Reconciliation-Maridhiano
2. Reforms-Mabadiliko
3. Resilience- Ustahimilivu
4. Rebuilding-Kujenga upya
Sasa ikiwa ni miaka takribani miaka 6 madarakani na akiwa amebakiza miaka 3 na nusu aondoke je sera hii ya 4Rs...
Sote tunafahamu kuwa lissu alishtakiwa kwa uhaini ambapo mafuas na machawa ya samia humu jf na kwingineko yakaanza kuimba wimbo mhaini dawa yake ni kunyongwa tu, "of course machawa haya wakati yalipokuwa yakiimba wimbo kuwa dawa ya lissu ni kunyongwa tu mimi binafsi niliyaona mehu maana nikiwa...
Tujiulize: Kama Samia ndiyo muhula wa mwisho kwanini anaogopa wapinzani wa ndani na nje ya CCM.
Samia anaogopa kila mtu na anatumia madalaka ambayo ni fake vibaya. Nchimbi kawekwa kizuizini kwa kuongelea katiba mpya, Lissu kafugwa, na ACT wazalendo nao mgombea wao alitolewa kwenye kugombea...
Naandika hii baada ya kuona hukumu ya kufungwa miaka minne kwa Mh Tundu Lisu.
Lakini ukiona aina ya hukumu hiyo imekaa kisiasa ikiwa ni kama kumkomoa au kumkomesha ili ashindwe kufanya shughuli zake za kisiasa na kijamii.
Sasa swali ni kwamba huo ushungi na majuba yana maana gani anapovaa...
Ujenzi wa Kituo cha Umahiri cha Nishati Jadidifu katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) umefikia asilimia 99, kikiwa na mtambo wenye uwezo wa kuzalisha megawati 1.6 za umeme. Mradi huo unatarajiwa kukamilika Desemba 2026 na kuunganishwa na Gridi ya Taifa kupitia TANESCO, hatua inayolenga kuimarisha...
dkt. samia
dkt. samia suluhu hassan
hassan
hongera
jamhuri
jamhuri ya muungano
kipindi
kipindi cha pili
kutimiza
mmoja
muungano
muungano wa tanzania
mwaka
mwaka mmoja
pili
rais
rais wa jamhuri
samiasamia suluhu
samia suluhu hassan
sana
suluhu
tanzania
uongozi
wako