samia suluhu

Jamhuri ya muungano, kazi iendelee
Samia Hassan Suluhu (born 27 January 1960) is a Tanzanian CCM politician and the designated President of Tanzania, due to be sworn into office following the death of president John Magufuli on 17 March 2021. She became Tanzania's first female vice-President following the 2015 General election, after being elected on the CCM ticket along with president John Magufuli. Suluhu and Magufuli were reelected to a second term in 2020. Before her tenure as vice-president she served as the Member of Parliament for Makunduchi constituency from 2010 to 2015, and was also the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015.
Prior to this, she served as a minister in the semi-autonomous region of Zanzibar in the administration of President Amani Karume. In 2014, she was elected as the Vice Chairperson of the Constituent Assembly tasked with drafting the country's new constitution.

View More On Wikipedia.org
  1. Course Coordinator1

    Nina hakika Samia Suluhu Hassani anatuchukia mimi na wewe

    Angalia anavyoshughulika na mambo ya Tz bara, toka ameingia madarakani hajawai kuzindua hata mradi wa kuku. Angalia alivyo lichukulia suala la Oktoba 29 kwa kuunda vitume uchwara bila kuomba radhi watanzania bara kwa kuuwawa kwa ndugu zetu zaidi 518 (pengine 2000) walifika. Angalia majibu yake...
  2. kilio

    Rais Samia Suluhu Hassan ang'ara COP31 Uturuki, hoja Nishati Safi ya kupikia mashuleni na Sekta za Afya.

    Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania adhihirisha ubora wake katika sekta ya nishati , Makubwa yanakuja baada ya COP31 Uturuki. #COP131 #SAMIA
  3. H

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii

    Uwekezaji katika elimu ya amali unalenga kuwapatia vijana wetu ujuzi wa kujitegemea. Tunampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kupanua elimu hii nchini. Serikali itaendelea kukamilisha vifaa vya mafunzo na miundombinu iliyobaki ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo. 𝐃𝐤𝐭. 𝐌𝐰𝐢𝐠𝐮𝐥𝐮 𝐍𝐜𝐡𝐞𝐦𝐛𝐚...
  4. figganigga

    Samia Suluhu akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa COP31

    Yaani akisimama na watu unamtafuta kwa tochi. Kumbe wakina Msigwa wanamkuza.. Nionesheni bila kuzoom Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha na viongozi mbalimbali wanaoshiriki katika Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31), Antalya...
  5. figganigga

    Zanzibar ya leo ndo ile aliyoiona Amani Abeid Karume. Asante Samia Suluhu

    Wakati Tanganyika tukiuana sisi kwa sisi 29.10.2025, wakati Tanganyika tukitekana, Wakati Tanganyika tuukipeana kesi za Uhujumu uchumi na uhaini. Wakati Tanganyika tukiwaletea figisu watu wetu wenye akili nyingi kma Mzee Warioba, Nchimbi, Tundu Lissu, Polepole na wengine wengi. Wakati taarifa...
  6. Zack Abdul

    Mwaka wa fursa kwa Vijana Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan hataki utani vijana mshindwe wenyewe,Fursa kibao,Haya changamkieni na Mwisho wa maombi 18/11

  7. Pakome

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu

    Sipo hapa kumsifia raisi Dkt Samia Suluhu Hassan lakini nataka tuelewe kuwa ni mzito sana sio mwepesi kama tunavyodhani, ni maji ya kina kirefu hayapimwi kwa mguu wala fimbo Kwa ufupi sana namfahamu raisi Samia kwa undani sana kuliko tunavyodhani Inawezekana tukadhani ni raisi mwanamke ambaye...
  8. C

    Rais Samia kuhudhuria mkutano wa COP31 nchini Uturuki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuondoka nchini leo, Novemba 10, 2026, kuelekea jijini Antalya, Uturuki, kuhudhuria Mkutano wa 31 wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP31). Kwa mujibu wa taarifa...
  9. figganigga

    The Tundu Lissu Effect: Samia Suluhu aanza kutekeleza matakwa yake kuhusu INEC

    The Tundu Lissu Effect: Samia Suluhu aufyata, aanza kutekeleza Matakwa ya Tundu Lissu kuhusu tume huru ya uchaguzi INEC. Samia Suluhu Hassan, amuapisha Jaji Mkuu wa Tanzania, George Masaju kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usaili wa Wajumbe wa Tume Huru ya Uchaguzi kwenye hafla iliyofanyika Ikulu...
  10. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako..

  11. D

    Rais Samia ni kama Lamine Yamal pale Barcelona

    WANAFIKI na wenye husda Wanamchukia na kumkaba kwa Nia ya kumuumiza kabisa lakini mama anawapiga vyenga na matobo ya hatari mpaka Kuna wakati wanagongana wenyewe. Lamine Yamal anafanya hivyo hivyo pale Barcelona WANAFIKI na wenye husda wanapambana kuhakikisha hapatani na yeyote. Mama anawalamba...
  12. figganigga

    Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijengea Tanganyika japo Banda la kuku

    Ndani ya Mwaka Mmoja, Angalia Nyumba Hussein Mwinyi kawajengea Wazanzibari, lakini Samia Suluhu kashindwa kuijenga hata Banda la kuku Tanganyika. Samia Suluhu ungozi wake utakumbukwa kwa Utekaji, Mauaji kubambikia Watanganyika kesi. Kwenye uongozi wake, Watanganyika wengi wamefunguliwa kesi za...
  13. figganigga

    PostGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu kwenye Mtandao wao

    Baada ya Watu kulalamika kwamba huyu Mzanzibar Samia Suluhu Hasaan hakupata hata 20% bali Tume ndo imechakachua matokeo, sasa wameona aibu. Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) ya Tanzania, imefuta Matokeo ya Samia Suluhu ya 29.10.2025 kwenye Mtandao wao ili kuondoa Ushahidi. Sasa hakuna...
  14. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako 🇹🇿

  15. H

    Tanzania’s Minister for Foreign Affairs Amb. Kombo (MP), represented H.E. President Dr Samia Suluhu at the opening ceremony of the 28th Commonwealth

    Tanzania’s Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Ambassador Mahmoud Thabit Kombo (MP), represented H.E. President Dr Samia Suluhu Hassan at the opening ceremony of the 28th Commonwealth Heads of Government Meeting (CHOGM) in Antigua and Barbuda on 3 November 2026. He...
  16. Zack Abdul

    Hongera sana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutimiza mwaka mmoja wa kipindi cha pili cha uongozi wako

  17. figganigga

    PostGE2025 Je, Samia Suluhu yamsuta? Mtoto Angel alopigwa risasi 29 Oktoba 2025, asaidiwa na kununuliwa Nyumba Upanga!

    Tanzania ina vituko.. Eti kuna mfadhili kasema asitajwe jina ila ana uwezo wa kuamlisha Mkurugenzi wa Muhimbili aede kwa akina Angel, kisha akawaamuru Muhimbili wamitibie hadi apone, halafu akawamuru wamtafutie nyumba wakae yeye na Familia yake. Alidanganywa eti waliopigwa risasi walilipwa...
  18. D

    Salome Makamba: Maeneo yote ya vijijini na yale yenye sura ya vijiji wataunganisha umeme kwa TZS 27,000 maelekezo ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan

    Serikali imesema itaendelea kuwaunganishia wananchi huduma ya umeme kwa gharama ya Shilingi 27,000 katika maeneo ya mijini yenye sura ya vijiji yanayokidhi vigezo vilivyowekwa. Kauli hiyo imetolewa leo, Oktoba 28, 2026, Bungeni, ikiwa ni sehemu ya jitihada za Serikali kuhakikisha wananchi wengi...
  19. figganigga

    Wafuasi wa Samia Suluhu wangemuiga Hussein Bashe, wasingekuwa wanamwaga damu ya Binadamu

    Kinacho sababisha watu kuteka binadamu, kuua ni Umasikini. Yaani Matajiri wanatumia pesa zao kuwapa Masikini ili wamwage damu za masikini wenzao na hao Masikini wanaoua wenzao, wanajisifu kwa kumwaga damu ya Binadamu fukara mwenzao ili kumfurahisha Mtawala/ tajiri alowatuma. Yaani masikini...
  20. Zack Abdul

    DKT. SAMIA SULUHU HASSAN ANG’ARA AFRIKA KWA DIPLOMASIA YA AMANI

    Uwezo wa Dkt. Samia Suluhu Hassan katika diplomasia na mahusiano ya kimataifa unaifanya Tanzania kuendelea kuwa sehemu muhimu ya juhudi za kukuza amani na mshikamano barani Afrika. Kupitia mazungumzo, ushirikiano na maridhiano, diplomasia inakuwa daraja la kutatua migogoro na kujenga mahusiano...
Back
Top Bottom