sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. Hizbu Sharifu

    Siri ya waliofanikiwa ni sababu ya nguvu zitokanazo na walionyuma yao

    Watu wengi wamekua wanatafuta siri ya mafanikio bila kujua mafanikio yao yapo mikononi mwa nani? -Kuna watu wanafanikiwa sababu tu wazazi wao wanafurahi kuona wakifanikiwa -Lakini kuna wengine wanafanikiwa ni kwasababu ya ibada na mungu yupo katika kila jambo lao -Pia kuna wanaofanikiwa...
  2. Pfizer

    DAWASA yafafanua sababu ya ukosefu wa maji maeneo ya Kibaha hadi Kisarawe

    ‎ DAWASA yaomba radhi wateja kukosekana kwa huduma Kukosekana huduma ya Maji Kibaha hadi Kisarawe.. DAWASA yatoa sababu ‎ Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imetoa ufafanuzi kuhusu changamoto ya ukosefu wa huduma ya maji iliyowakumba wakazi wa maeneo...
  3. E

    Waziri Kombo: Raia akimrushia jiwe Polisi, general order yake inamwambia 'Attack first'

    Wakuu Jana bungeni Waziri wa diplomasia na mambo ya nje Kombo raia wa Zanzibar anayefanya kazi Tanganyika amesema katiba yetu inataka polisi akirushiwa jiwe ampige risasi haraka raia anayerusha na kilochotokea Oct 29 ni cha kikatiba Yale mauaji yalfanyika kwa sababu polisi walirushiwa mawe...
  4. Best home tutor

    Sababu ya mabinti wa siku hizi kuzaa mapema ni nini?

    Salama. Jamani sasa hivi kwenye miji iliyochangamka mabinti kujitunza imekua uongo kabisa . U can't imagine mabinti wadogo mtoto ana mzaa mtoto ,watoto wadogo wa kike wanakunywa pombe kali ni kama akili imestuck ,wanavuta Sitara na shisha sasa najiuliza ! Mtoto anamleaje ? Will she be a good...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    Wanaume wengi mshukuru mfumo umewabeba. Wanawake wangewatesa Sana kwa sababu wanawake wengi wanaakili na wanajitambua kuliko wanaume wengi

    WANAUME WENGI MSHUKURU MFUMO UMEWABEBA. WANAWAKE WANGEWATESA SANA KWA SABABU WANAWAKE WENGI WANAAKILI NA WANAJITAMBUA KULIKO WANAUME WENGI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Zamani nilikuwa nakataa kwamba wanawake wanaakili kuliko wanaume. Kwa sababu sisi Watibeli Wanaume hatuwezi zidiwa...
  6. Tlaatlaah

    Ni ipi hasa hua sababu ya msingi kwa Chadema kuchukia vyama vingine huru vya siasa nchini?

    Kila chama cha siasa kilichoanzishwa nchini, kina itikadi, agenda na falsafa yake ya kufikia malengo yake. Je, Kulikoni sasa chadema hua wanaona wivu dhidi ya kuimarika na kushamiri kwa vyama vingine vya siasa vyenye malengo yasiyo fanana na yao, na kukerwa sana na maendeleo ya kisiasa kwa...
  7. Fbn

    Kumbukeni ukoloni wa wajomba na history wa kulipiza kuna mtu mmoja analipeleka taifa sababu ni ujombani

    Hapa kinachoendelea ndio kile kinachoendelea afrika kila kona,maana ndio muendelezo wa familia zengine zilipata embe dodo,zengine zina endelea kwa kujificha. kwa kwetu hapa leo mda huu 11:18 nimetoa mada siku ya alhamisi. Utabiri afrika inaweza kuwa sehemu zilizo saidia na ndizo zitakuwa...
  8. Dalton Elijah

    Ayoub Rioba: Ninaomba Serikali ichukue hatua ngumu kukomesha hii 'narrative' ya utekaji. Tutaharibu Nchi yetu nzuri bila sababu za msingi!

    Watanzania ni watu wanaopenda amani na hawajazoea kuishi kwa hofu. Niwapongeze Polisi kwa kujibu haraka kwamba wanachunguza tukio la 'kutekwa' Msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, ndugu Djumbe. Nitoe pole kwake na kwa familia yake! Kuna maadui zetu wanaweza kutumia mwanya wa...
  9. Stability

    Hivi mpaka sasa sub-saharans bado tunaamini sababu ya tabu zetu ni wazungu?

    Mimi nafikiri ni mengi tumefichwa na tukaruhusu kufichwa zaidi Ila naamini hadi sasa mnaelewa mchawi wenu ni nani
  10. Forrest Gump

    Asilimia 90 ya wadada nilioachana nao kwa sababu walitaka kunipanda kichwani na kuni-control vile watakvyo. Wadada wa kisasa wamekuwa "control freaks"

    Ingebakia basi wao kupenda pesa na maisha mazuri iishie hapo lakini hawa viumbe ni chupa za chai ambazo hazijai, Yani mtu anapata hivyo vyote na bado anataka akupelekeshe kama bwege kisa tu labda uzuri au wewe kumuonesha unyenyekevu.
  11. MamaSamia2025

    Rais Museveni; Africa iliachwa nyuma kimaendeleo na Asia kwa sababu ya kutaifisha biashara za sekta binafsi.

    Huyu mzee ana madini hatari. Msikilize https://www.facebook.com/share/v/18Z3GKN5RQ/
  12. A

    DOKEZO Viongozi wetu wa Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) hawatetei maslahi yetu sababu wanaogopa kutumbuliwa

    Siku ya Wauguzi Duniani ilikuwa Mei 12 ila wahusika ambao wako kwenye nafasi kubwa za Chama cha Wauguzi Tanzania (TANNA) waliogopa kuwasilisha kwa watawala hoja za wanachama wao kwa sababu wanaogopa kuenguliwa nafasi zao. Wanafanya hivyo kwa kuwa wao maslahi yao ni makubwa wanajua wakitumbuliwa...
  13. M

    Kwenu wabunge wa Kanda ya Ziwa: Airport ya Mwanza iboreshwe lakini hoja zenu za kikanda zisiwe sababu ya kupinga ujenzi wa uwanja wa Serengeti

    Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport? https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao. Tumechelewa sana kuweka...
  14. Idugunde

    Ni hoja ya isiyofaa kupendekeza rais Samia aongezewe muda kukaa madarakani kwa sababu ya katiba mpya.

    Kwanza mpaka sasa hivi kama alivyosema Mzee Warioba alipigiwa kura na Tume ya uchaguzi ya Jaji Mwambegete sio wanannchi. Mchakato wa katiba mpya upo tayari maana rasimu ya warioba tayayri ilishaweka kile ambacho watanzania wanakihitaji. Yaani katiba ambayo itakidhi mahitaji ya Watanzania. Ambao...
  15. Waufukweni

    PostGE2025 Mwabukusi: Si kweli Vurugu za Oktoba 29 zilisababishwa na 'Gen Z' ni sababu za Wazee kushindwa kuwajibika

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema hayo Mei 11, 2026, wakati akiwasilisha uchambuzi wa chama hicho kufuatia ripoti ya Tume ya Uchunguzi ya Matukio ya wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu 2025. "Vilevile swala la ukiukwaji wa haki za binadamu, Tume...
  16. R

    Kuchelewa kusikilizwa kwa kesinya Tundu Lisu: hii inaweza kuwa sababu?

    Kuna mtindo ambao amekuja nao Masaju, VJ kuwa kesi za Court of appeal zisikilizwe kwa mtindi wa sessions. Ikiwa na maana kuwa session inaweza kuwa ya civil, criminal, matrimonial ???(Sina uhakika kama na hii ni civil kwa mtindo wa mahakama)etc. Ukipitia TanzLII, utaina kuwa judgements zote za...
  17. R

    Tatizo la majeraha ya Mzize kuchelewa ni sababu ya umri

    Kuna kipindi kulikuwa na mjadala kuhusu umri wa Mzize, wapo waliosema ni mtoto au kijana wa miaka 20 na wengine wakasema amedanganya umri. Majeraha aliyopata yameweka kila wazi kuhusu umri wake.
  18. M

    Hii ndiyo sababu unaweza kupoteza muda na pesa kusomea biashara chuoni; ni heri ujifunze kwa kufungua duka dogo au kuwa winga

    Watu wengi wanapoenda kusomea biashara chuoni lakini wakifika wanatamani hata kukimbia, ni majuto. Walichofikiria watakikuta na wanachokikuta ni vitu viwili tofauti. Badala ya mtu ku-focus kwenye biashara, anakutana na mzigo mkubwa wa kozi nyingi kwa wakati mmoja. mfano kila semesta (miezi...
  19. ChoiceVariable

    Wanaume Wengi Waliokuwa Watumishi Wakistaafu Wanakufa Mapema Kwa sababu Wanakutana na Ghasia za Mke ambazo alizokwepa akiwa kazini

    My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na mda mwingi kutumia Kwa Mke maana ukiistaafu hana mda na wewe na hawanaga fadhila hasa kama...
  20. C

    Mwamuzi wa Kenya alikuwa sawa kwa sababu "HAKUPENDELEA"HIyo inatosha kuliko hawa wetu Wanaopendelea

    Kuna timu imeshaona itaaibika iwapo mechi zote za ddrby zitachezeshwa na waamuzi kutoka nje na kwa hiyo imeanza kampeni kali ya kuonesha mwamuzi wa Kenya aliyechezesha mechi ya derby hafai. Simba huwa wamezubaa na kuziacha kelele hizi ambazo zinaweza kusababisha kughairishwa kwa utaratibu wa...
Back
Top Bottom