saa

  1. Isenye

    Kuna jirani yangu saivi saa 7 na dakika 49 usiku namsikia anasonga ugali

    Wakuu Huyu jirani yangu sijui anafuga misukule. Yani muda huu saa saba usiku mtu anapika ugali?
  2. Victor Mlaki

    Muda huu 12: 23 tarehe 5/11/2026 limepita tetemeko kubwa la ardhi eneo la Masumbwe Geita likiwa na uelekeo wa Magharibi lililodumu kwa sekunde kadhaa

    Ukubwa wa tetemeko hili ni mkubwa kuwahi kutokea kutokana na mtetemo wake, kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 15 katika eneo hili hili linaweza kuwa tetemeko lenye mtetemo mkubwa kuwahi kutokea maeneo haya mchana. Kwa upekee limepita muda nilioutaja hapo juu na kujirudia tena saa 1:22pm. Mtetembo...
  3. N

    Jana tarehe 06 Novemba, 2026 saa 9 mchana nimembadilishia mwanangu wa miaka miwili jina la Dunstan

    Yaani nimemshukur Mungu sana kwamba mwanangu Innocent bado ana miaka miwili na hivyo nilivyoanza kumwita Innocent tangu jana na kuliacha jina la Dunstan tayari ameshalipokea na wanafamilia wote wamepokea kwa asilimia 100 uamuzi wangu. Dunstan litabaki kuwa jina baya sana kwangu mimi. Akina...
  4. Roving Journalist

    Bunge La 13, Mkutano Wa 5, Kikao Cha 6 Tarehe 03 Novemba , 2026, Asubuhi

    https://www.youtube.com/watch?v=7S-uLGhMxNs
  5. Troll JF

    Police Kenya wasema suala la Mwaipaya lipo kwenye uchunguzi waomba siku moja kuwasilisha kiapo Kinzani counter Affidavit maamuzi saa 9 mchana

    Suala la kutekwa kwa Mtanzania Jijini Nairobi bado halijapata jawabu kwani Wakili wa serikali amesema suala hilo lipo kwenye Uchunguzi hadi sasa. Suala hilo limeibua mnyukano wa kisheria Wakili Martha Karua amesema leo Mwaipaya alitakiwa kuletwa akiwa hai au amekufa mahakamani na kuiomba...
  6. S

    TANESCO acheni kukosa ustaarabu: mkisema umeme utakatwa saa 12 asubuhi na kurudi saa 12 jioni, basi rudisheni umeme saa 12 jioni sio saa mbili usiku!

    Tanzania tuna silka moja ya kuongea uongo hasa linapokuja suala la wakati. Mtu anakuambia nitafika hapo baada ya dakika kumi halafu anafika baada ya saa nzima. Mkutano unaotakiwa kuanza saa tatu asubuhi unaanza saa tano asubuhi. Kiongozi alisemwa atafika saa nne asubuhi anafika saa sita mchana...
  7. Nuel27

    Mfumo wa kukata tiketi za SGR online uko chini (haufanyi kazi) kwa zaidi ya saa 20 sasa

    Najaribu kukata tiketi ya treni ya SGR lakini tangia jana usiku mfumo haufanyi kazi ,nilitegemea nikiamka nitakuta mfumo umerekebishwa ila cha ajabu mpaka wakati huu hali bado ni ile ile na TRC hawajatoa tamko lolote mpaka sasa. Hili shirika linafikirisha sana kuhusu uendeshaji wake 🚮
  8. R

    Mawakili wa Lisu kuongea na wana habari leo 24.10.2025 saa tano

    The placard tells it all Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimetangaza kuwa Mawakili wa Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, wanatarajiwa kufanya mkutano na waandishi wa habari leo, Oktoba 24, 2026, katika Makao Makuu ya chama hicho, Edwin Mtei House, Mikocheni jijini Dar es Salaam...
  9. Boss la DP World

    Doumbia asipofunga kesho nipigwe ban ya saa 24

    Lile striker la boli nasikia linatupia huko kambini ni balaa. Kesho Diara kazi anayo.
  10. peno hasegawa

    TRC mliwaza nini kuondoa route ya saa 3 asubuhi ya SGR kutoka Morogoro kwenda Dar ? Mjibuni Afande Sele!

    .
  11. Wizara ya Ardhi

    Mmuya aagiza kasi upatikanaji wa hati za ardhi sasa kupatikana ndani ya saa 48

    ★ Aelekeza kuanzishwa Kliniki ya Upimaji wa Mashamba ★ Awasisitiza wawekezaji kuendeleza maeneo yao kuepuka migogoro Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Kaspar Mmuya, amesema kipaumbele cha Wizara kwa sasa ni kuongeza kasi ya utoaji wa hati za miliki za ardhi ili...
  12. W

    Miji 28 Ifakara sasa kazi kwa saa 24

    Serikali imemtaka mkandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 Ifakara kufanya kazi kwa saa 24 ili kufikisha huduma ya maji kwa wananchi mapema. Naibu Waziri wa Maji Mhe. Mhandisi Kundo Andrew Mathew (Mb) amesema akikagua mradi huo Oktoba 2, 2026 kuwa uamuzi wa kufanya kazi hivyo utafanikisha...
  13. Isenye

    Nimekunywa dawa za mafua aina ya cetrizeni leo saa 2 asubuhi, saa 5 asubuhi nikanywa konyagi,je kuna madhara yoyote?

    Salamu Nimeamka na mafua,nimepiga dawa aina ya cetrizeni ilikua saa 2 asubuhi, ilipofika saa 5 asubuhi shetani akanipitia nikapiga toti ya konyagi,nimeenda saa 7 nimepiga konyagi ndogo nzima na soda ya tonic. Je kuna madhara yoyote?
  14. figganigga

    Hukumu ya Tundu Lissu ni tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi

    Yaani namanisha tarehe 06 November 2026, saa 3:00 asubuhi ndo siku ambayo Tundu Lissu atakuwa Uraiani. Kama aliweza kuvumilia mwaka na nusu Gerezani, hatashindwa kuvumilia mwezi mmoja. Hongera sana Tundu Lissu kwa kazi nzuri Mahakamani. Sasa unatakiwa uitwe profesa. Baada ya kusikiliza...
  15. Tyrone Griffins

    Kwa muonekano wa kigentleman hakikisha hukosi saa hizi mkononi!

    Habari wana jukwaa,naomba mnipokee mimi ni mgeni humu nilikuwa guest member kwa miezi miwili kabla ya kujiunga rasmi hii leo,naombeni ushirikiano wenu nauza Accesories mbalimbali classic pamoja na mavazi,accesories kama vile miwani,saa za kike na za kiume,wallet,handbags,cheni zinapatikana kwa...
  16. Alexido jz instagram

    OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  17. Design Your Idea

    Sasa hivi saa nne na dakika 30 unafanya nini?

    Unachezea simu? Unacheza na mpenzi? Unacheza na chupa pub? Unacheza na fikra zako? Unaangalia TV? Unapiga stori?
  18. McLaren

    Hawa watu wanaoekwenda Gym saa 7 mchana vyanzo vyao vya mapato ni vipi?

    Nimepita kwenye Gym moja hapa mtaani Nimekuta iko open na kuna watu wanafanya mazoezi humo ndani Yaani wakati watu waanatafuta hela hawa jamaa wao wanafanya mazoezi, wanatafuta hela saa ngapi? Wajuzi naomba mnijuze
  19. Meneja Wa Makampuni

    Rubani wa F-15 wa Marekani asimulia alivyohangaika kwa saa 50 kwenye milima ya Iran

    Mmoja wa maafisa wawili wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye ndege yao ya kivita aina ya F-15E ilidunguliwa juu ya Iran mwezi Aprili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo. Kanali wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye jina lake halijawekwa wazi kwa sababu za kiusalama, amezungumza kwa...
  20. Mwalimu Mkuu

    Tetesi: Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi....Mahakama imemtaka kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi saa 2:30

    Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, ameachiwa huru kwa masharti na Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma baada ya Serikali kuondoa nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili. Kaijage ameachiwa leo, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Denisi Mpelembwa...
Back
Top Bottom