rufaa

Rufaa is an ethnic group in Sudan. They speak Sudanese Arabic. The population of this group is at several 100,000. Most persons in this minority are Muslims.

View More On Wikipedia.org
  1. Mwenyewe alitaka afungwe jela ili afanane na Nyerere na Mandela. Tupunguze mihemko ya kukata rufaa tupate radhi yake

    Mheshimiwa Lissu anatamani afungwe ili awe siti moja na Nyerere, Kenyatta, Mandela, Kaunda na Mugabe. Nadhani tumuache aendelee na kifungo. https://youtube.com/shorts/HOJXYfboUkA?si=p1x7sIbU9YOctQuL
  2. K

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga

    Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga. Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa. Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
  3. Je, rufaa ya Lissu itakuwa huru kama hukumu ya awali ilitokana na maelekezo ya ngazi za juu?

    Kama kuna madai kwamba hukumu ya Tundu Lissu iliathiriwa na maelekezo kutoka nje ya mfumo wa mahakama, basi swali muhimu linakuwa: Je, tunapoingia kwenye hatua ya rufaa, ni utaratibu gani utakaohakikisha kuwa maamuzi yatafanywa kwa kuzingatia sheria na ushahidi pekee, bila shinikizo lolote...
  4. Wanaohoji hukumu ya Mh. LISSU wanatuchanganya raia, kateni rufaa kimyakimya

    Mifugo yangu yote ng'ombe, mbuzi na kondoo nimeiwekea alama maalum. Wakati namtafuta ng'ombe wangu mmoja aliyepotea jana usiku kwenye maboma ya wafugaji wenzangu nilimkosa ng'ombe wangu lakini nikamkuta mbuzi wangu ambae pia nilikuwa simuoni wiki moja iliyopita. Je, mbuzi wangu siwezi kumchukua...
  5. L

    Lissu Akikata Rufaa Kesi Yake Itaanza Kusikilizwa 2027 Huko Kwa sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka

    Ndugu zangu Watanzania, Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu . Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
  6. MAJIBU YA MAAMUZI NA RUFAA KATIKA KESI YA TUNDU LISSU- JUDGEMENT 06-11-2026

    Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare) Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
  7. R

    Majaji wa Malawi watapandishwa kuwa majaji wa Rufaa

    Watakuwa wana handle ksi kutoka high court ambazo zilikuwa na maslahi ya wateuzi wao kwa watakao appeal.
  8. Hapa bila ya rufaa, kuna ule wimbo ndoto za udaktari, kwisha habari

  9. Z

    Nawashangaa sana viongozi wa Chadema, kama wanaituhumu Mahakama kuwa imetumiwa dhidi ya Lissu sasa wanataka kukata rufaa ya nini na kwenda wapi?!!

    Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine. Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
  10. Maandalizi ya Rufaa ya Lissu: Nyaraka Zimekamilika na Kufailiwa, Dhamana Yake Inanukia

    Mahakama Kuu imemwamchilia huru Lissu katika kesi ya tuhuma za uhaini. Lakini, hapo hapo ikaamua kumtia hatiani chini ya kesi mpya ya kushtukiza kwa kosa la uchochezi. Sasa Mahakama hiyo imeamua kumfunga Lissu kifungi cha miaka minne. Hata hivyo, mawakili wa Lissu hawajalala. Ni mwendo wa...
  11. Q

    Lissu atatoka December 2027, kama hatokata rufaa au kupata msamaha wowote

    Nimefanya hesabu kwa kutumia masharti ya Kifungu cha 49(1) cha Prisons Act, Cap. 58 na Kifungu cha 172(2)(c) cha Criminal Procedure Act, Cap. 20. Prisons Act, Section 49(1): Hutoa uwezekano wa kupata punguzo la theluthi moja kwa mwenendo mzuri na kufanya kazi. Punguzo la 1/3 la miaka 4 = Mwaka...
  12. Wakikata rufaa tu kesi inaenda miaka 2 mbele halafu hukumu tena ya miaka 4 uchaguzi 2030 anaukosa.

    These things have been planned. Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani. Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana. NB Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
  13. A

    DOKEZO Changamoto ya wizi Hospitali ya Rufaa Simiyu (Simiyu RRH) ipo muda mrefu, ishughulikiwe vizuri

    Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali. Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa...
  14. Taifa Gas na Amber Energy Wakata Rufaa Dhidi ya Uamuzi wa FCC Kuzuia Ombi la Kampuni hizi kununua Udhibiti wa PAE PanAfrica Energy Corporation

    Wakuu, salaam. Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal) limetoa tangazo kwa umma kuhusu rufaa iliyowasilishwa na kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited na Amber Energy Investment L.L.C-FZ dhidi ya Tume ya Ushindani (FCC). Rufaa hiyo imesajiliwa kama Rufaa Na. 16 ya Mwaka 2026. Warufani ni...
  15. A

    KERO Ucheleweshwaji wa utoaji wa majibu ya rufaa za Utumishi Ikulu

    Habari za kazi? Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu. Hadi sasa, hatujapokea...
  16. Mahakama Kuu yatupilia mbali rufaa ya Selasini: Mbatia ashinda vita ya Kisheria na kufutiwa tuhuma zilizomchafua

    MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia. Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
  17. N

    Rasmi:Yanga yakata rufaa TFF kupinga ushindi wa Simba kwenye Dabi ya kariakoo iliyopigwa tarehe 10/10/2026.

    Habari zenu wanajamvi. Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu. Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
  18. A

    KERO Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Kitete tumechoka na majibu mabovu wakati stahiki zetu hatuzipati

    Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu. Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
  19. A

    KERO Walinzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini – Mtwara ni wasumbufu, wanasumbua Watu getini

    Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa Wananchi hasa katika utaratibu wa uingiaji. Walinzi wanaolinda geti la hospitali hiyo wamekuwa...
  20. Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…