Rufaa is an ethnic group in Sudan. They speak Sudanese Arabic. The population of this group is at several 100,000. Most persons in this minority are Muslims.
Mheshimiwa Lissu anatamani afungwe ili awe siti moja na Nyerere, Kenyatta, Mandela, Kaunda na Mugabe. Nadhani tumuache aendelee na kifungo.
https://youtube.com/shorts/HOJXYfboUkA?si=p1x7sIbU9YOctQuL
Majaji wa Rufaa : Jaji Ndunguru anaweka uchawa kuchukuwa kazi zenu!!! msiwe wajinga.
Tumefika wakati hata watu wenye akili zao wanajifanya wajinga ili wapande vyeo maana huu utaratibu wa udikteta mchara tulio nao huwezi kuwa na akili ukapendwa.
Ndiyo maana wafanyabiashara wengi na CEO kama...
Kama kuna madai kwamba hukumu ya Tundu Lissu iliathiriwa na maelekezo kutoka nje ya mfumo wa mahakama, basi swali muhimu linakuwa: Je, tunapoingia kwenye hatua ya rufaa, ni utaratibu gani utakaohakikisha kuwa maamuzi yatafanywa kwa kuzingatia sheria na ushahidi pekee, bila shinikizo lolote...
Mifugo yangu yote ng'ombe, mbuzi na kondoo nimeiwekea alama maalum. Wakati namtafuta ng'ombe wangu mmoja aliyepotea jana usiku kwenye maboma ya wafugaji wenzangu nilimkosa ng'ombe wangu lakini nikamkuta mbuzi wangu ambae pia nilikuwa simuoni wiki moja iliyopita. Je, mbuzi wangu siwezi kumchukua...
Ndugu zangu Watanzania,
Napenda kuwatahadharisha CHADEMA na Lissu wao kuwa kama na ikiwa watajaribu Kukata Rufaa basi watakuwa wanajisumbua na kujipotezea Muda tu .
Kwa Sababu kwa Sasa Muda Siyo Mrefu Majaji Wataanza kwenda Likizo Ya Mwisho wa Mwaka ambapo kurejea kwao ni kuanzia 2027 mbele...
Please see attached na ruksa kuongezea panapostahili. Documents za rufaa ( kwa kiswahili na Kiingereza) nimeziandaa kutokana na nyaraka ya hukumu kama ilivyoletwa humu na mdau tucker carlson ( Asante kwa kushare)
Kwa hati ya rufani, nukuu kifungu cha 9(1)(b)(i) na (ii) cha The Appellate...
Hawa viongozi ni wanafiki sana, wanaituhumu Mahakama na Majaji kuwa wametumika kumuadhibu Lissu wakati huohuo wanataka kukata rufaa kwenda Mahakama ya Rufaaa!!! hawa jamaa ni wanafiki na wazandiki kweli!!! Wanajiona wajanja na wanaakili kuliko wengine.
Hawa watu haswa viongozi wa Chama na...
Mahakama Kuu imemwamchilia huru Lissu katika kesi ya tuhuma za uhaini.
Lakini, hapo hapo ikaamua kumtia hatiani chini ya kesi mpya ya kushtukiza kwa kosa la uchochezi.
Sasa Mahakama hiyo imeamua kumfunga Lissu kifungi cha miaka minne.
Hata hivyo, mawakili wa Lissu hawajalala.
Ni mwendo wa...
Nimefanya hesabu kwa kutumia masharti ya Kifungu cha 49(1) cha Prisons Act, Cap. 58 na Kifungu cha 172(2)(c) cha Criminal Procedure Act, Cap. 20.
Prisons Act, Section 49(1): Hutoa uwezekano wa kupata punguzo la theluthi moja kwa mwenendo mzuri na kufanya kazi.
Punguzo la 1/3 la miaka 4 = Mwaka...
These things have been planned.
Uchochezi hapo sasa na report ya jaji chande na lila zitaletwa mahakamani.
Kesi itapelekwa kwa mwendo wa kinyonga lengo kuu uchaguzi 2030 upite CCM ni watu katili sana.
NB
Rostam alishawahi kusema huwezi kupata haki katika mahakama zetu hizi zinazofuata maelekezo
Mimi ni mfanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Simiyu (Simiyu RRH), niliajiriwa miaka kadhaa iliyopita. Kwa muda ambao nimefanya kazi katika hospitali hii, nimekuwa nikishuhudia changamoto nyingi, ikiwemo tuhuma za wizi na upotevu wa mali na fedha za hospitali.
Hivi karibuni Mkuu wa Mkoa...
Anonymous
Thread
changamoto
hospitali
hospitali ya rufaa
mrefu
muda
muda mrefu
rufaa
simiyu
vizuri
wizi
Wakuu, salaam.
Baraza la Ushindani (Fair Competition Tribunal) limetoa tangazo kwa umma kuhusu rufaa iliyowasilishwa na kampuni ya Taifa Gas Tanzania Limited na Amber Energy Investment L.L.C-FZ dhidi ya Tume ya Ushindani (FCC). Rufaa hiyo imesajiliwa kama Rufaa Na. 16 ya Mwaka 2026. Warufani ni...
Habari za kazi?
Sisi ni wahanga wa manyanyaso katika utumishi wa umma, na tumekata rufaa katika Ofisi ya Rais, Ikulu, tukitafuta haki zetu za ajira. Hata hivyo, mchakato wa kushughulikia rufaa zetu unaendelea kwa kasi ndogo, huku muda ukizidi kwenda bila kupata majibu.
Hadi sasa, hatujapokea...
MOSHI, TANZANIA — Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Moshi, imetoa hukumu iliyohitimisha mnyukano wa kisheria na kisiasa kati ya wanasiasa wa siku nyingi nchini, Joseph Roman Selasini na James Francis Mbatia.
Hukumu hiyo, iliyotolewa tarehe 13 Oktoba 2026 na Mheshimiwa Jaji S. H...
Habari zenu wanajamvi.
Nikiwa mmoja wa jopo la wanasheria wa Yanga tumepeleka rufaa TFF kwenye kitengo husika kupinga ushindi wa Simba katika Dabi ya kariakoo iliyopigwa dimba la uhuru octoba kumi mwaka huu.
Badda ya kufanya uchunguzi makini na kukusanya ushahidi usio na shaka tumegundua kuna...
Watumishi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Tabora Kitete tumechoka na majibu mabovu ya Makatibu na Mhasibu, wamekuwa wakitujibu vibaya sana tukiwa tunadai stahiki zetu.
Watumishi wanajitolea sana muda wao mwingi wanautumia kazini lakini yakija malipo ya extra na call mtu anakatwa unakuta mtu...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
kitete
majibu
rufaa
watumishi
Wananchi wanaofika kupatiwa huduma za matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kusini iliyopo Mitengo katika Manispaa ya Mtwara mkoani Mtwara kuna changamoto ya Walinzi kuwa wasumbufu kwa Wananchi hasa katika utaratibu wa uingiaji.
Walinzi wanaolinda geti la hospitali hiyo wamekuwa...
Anonymous
Thread
hospitali
hospitali ya rufaa
kanda
kanda ya kusini
kusini
mtwara
rufaa
walinzi
wasumbufu
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu.
Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara.
Ado alisema mwaka 2015...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.