Miaka kadha kitambo huko, enzi hizo inshu ya miamala y kifedh almaarufu mpesa, ndio yameanza kuingia mawakala walikua wachache sana, hasa mikoani.
Pale geita alikiwepo tajiri mmoja aitwae walwa shop, jamaa alikua na duka kubbwa la miamala, njia ya kwenda benki ya nmb na nbc miaka hiyo, biashara...
Hali ya taharuki na hofu imetanda miongoni mwa wakazi wa maeneo ya mipakani kufuatia tukio la kusikitisha ambapo watu nane waliripotiwa kuuawa kwa kupigwa risasi. Shambulizi hilo lilihusisha watu wenye silaha kali wanaodhaniwa kuwa wanamgambShabaab, jambo ambalo limezua wimbi la majonzi makubwa...
Mshukiwa wa mauaji ambaye anatuhumiwa kuwafyatulia risasi na kuwaua takriban watu sita katika shambulio la kwenye mji wa kitalii wa kraków nchini poland siku ya jumamosi, amefariki dunia akiwa hospitalini,
Tukio hilo la nadra la ufyatuaji risasi kiholela katika uwanja mkuu wa kihistoria wa mji...
Unajiuliza kwanini na wao wasinge kaa nao vijana na watoto wale kwa upendo na kuwashauri kwa amani bila risasi ili hao vijana wasifanye fujo?
Huo uvumilivu mnao utaka kwa walimu leo dhidi ya kukosa adabu kwa wanafunzi ninyi serikali mlishindwaje kuutumia huo uvumilivu 29 oktoba 2025?
Kwa...
Mtu kama tundu Lissu alipigwa risasi 16 na akapona huyo hana Mungu?
Wakati wewe Nape Nauye ulitishiwa bastora tu na yule askari aliyeukumiwa kifungo cha maisha na sasa yuko jera siku hiyo ulijamba ushuzi ambao hukuwai kujamba leo unataka Lissu mtakatifu amgeukie Mungu wa Ntwara au?
Nani wa...
Mhubiri mtata nchini Nigeria, Yahaya Ibrahim Masussuka, mwenye miaka 47, amepigwa risasi na kuuawa na watu wenye silaha waliomvamia nje ya nyumba yake katika Jimbo la Katsina, kaskazini mwa Nigeria.
Tukio hilo pia liligharimu maisha ya msaidizi wake.
Masussuka alijulikana sana kwa msimamo na...
Unapoona mwanajeshi Yuko mstari wa mbele anaanza KULETA uoga hadharani na kuanza kutisha wenzake hafai hata kidogo .
Haijalishi ujasiri wa zamani ambao aliwahi kuwa nao lema lakini Kwa sasa hafai Frontline .
Kama mange kimambi ambaye Hana hata kadi ya Cdm anamtoa kwenye mstari je angekuwa...
Ile ripoti kama haikumshauri mh rais na serikali yake, iwatibu wa majeruhi waliojeuliwa tarehe 25/10/2025, basi ile haikuwa tume ulikuwa ni "ushuzi" tu ulioundwa kupoteza muda wa watanzania.
Nimemwaga machozi baada ya kukutana na clip ya mtoto Anger kule the chanzo mtoto akilalamika kuanza...
https://www.instagram.com/p/DfK43SzjUOo/
Mfadhili ajitokeza kumsaidia mtoto Angel aliyepigwa risasi Oktoba 29 Manzese: Kugharamia matibabu Muhimbili, makazi na elimu.
Mama wa Angel awashukuru Watanzania, mfadhili na Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa msaada wa hali na mali.
Pia soma ~ Mtoto wa...
Kifo ni kifo tu, kiwe kwa risasi, kiwe kwa kunyonga, kitokee kitandani ni kifo tu.
Magufuli alipanga Lissu afe kwa risasi Mungu akakataa ila akajibu instantly, safari hii wamepanga Lissu afe kwa kunyongwa, naimani Mungu atakataa tena lakini atawajibu kwa kipimo kile kile pengine zaidi.
Kama ni...
Laurent Kweka anaye tuhumiwa kumuua Mkewe, aliyefahamika kwa jina la Jenipher, kwa kumpiga risasi nyumbani kwao Bunju A, Mtaa wa Mkoani, Zone ya Senzele, Mkoani Dar es salaam, Kufikishwa Mahakama ya Kinondoni leo.
Tukio hijo la mauaji lilitokea alfajiri ya Oktoba 1, 2026 ambapo Kweka alimuua...
Dada wa marehemu Jenifer (Jeni) Urassa ambaye anaitwa Bella Urassa amesema hawezi kusema uongo, ni kweli mdogo wake alimweleza siku chache kabla ya kuuawa kuwa alikuwa na hofu kuhusu usalama wa maisha yake, akihusisha hofu hiyo na mgogoro wa umiliki wa nyumba yao iliyopo Bunju, Dar es Salaam...
Kesi za wanaume kuua wake zao kwa kuwapiga risasi Marekani zimekuwa nyingi sana.
"Kweka" hao kwa Trump wakishaua wake zao wanageukia watoto kuwaua halafu baadaye nao wanaelekeza mtutu nakujiua.
Ni jana tu huko New Jersey Marekan Insurance executive David Gronnick, 61, kamuua mke wake Lora...
NInapotafakari kisa cha Kweka kumpiga risasi mke wake na kujipeleka polisi huku akijua kinacho mkabili, najaribu kuvaa viatu vyake nahitimisna kuwa huyu bwana atakuwa amepitia mengi kwenye ndoa yao.
Bahati mbaya jamii hulalia upande wa mwanamke maana kwa kuwa wanaume wapo masculine jamii...
Kwa tukio hili la Mwamba linalotrend Mtandaoni la kutamndika mkewe risasi na kumuua kisa kikidaiwa kuwa ni ugomvi uliochagizwa na mali, je najiuliza ndoa ni sehemu salama kwa sisi tunaotaka kuoa au tusubiri kwanza?
Pia soma: Huyu mume kijana aliyemwua mke wake, ukweli ukoje wajameni?
Majuzi nilikuwa river side vikao vya harpsichord
Yaan wachaga wameanza kuogopwaa aisee
Toka mmoja huko kumtwanga mkewe watu wameanza kuogopa wachaga wenzetu
Na wa arusha huko mjipange
Soma Mume adaiwa kumuua mkewe kwa risasi huko Bunju, Dar es Salaam
Habari da Mai, huyo kaka alie muua mkewe Iko hivi, huyo kaka alienda kupiga akabainika na saratani ya utumbo, baada ya kumjuza mkewe ndio likaibuka sakata la kubadili hati ya nyumba, kumbuka hapo jamaa haja jua hata anatibiwaje mke kesha anza kabadili hati ya nyumba Ina mana alikua kesha jua...
Shimo la Mungu lipo Mtwara, wilaya ya Newala jirani na makazi ya alyewahi kuwa Waziri wa Utawala Bora ndg Mkuchika....
Hatma ni nyingi kwa watekwa nyara na serikali hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.