riba

  1. Y

    Wadau naulizia benki au taasisi gani za fedha zinazotoa mikopo ya riba nafuu kwa wafanyabiashara wa kati na wajasiliamali

    Wadau naulizia taasisi gani au benki gani inayotoa mikopo ya riba nafuu kwa wajasiliamali au wafanyabiashara wa kati
  2. J

    Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na Menejimenti ya Benki ya Equity nchini

    BASHE AENDELEA KUHAMASISHA TAASISI ZA FEDHA KUTOA MIKOPO YA RIBA NA MASHARTI NAFUU KWA WAKULIMA; UJENZI WA MAGHALA NA MIUNDOMBINU YA UMWAGILIAJI BAADA YA KUKUTANA NA MENEJIMENTI YA BENKI YA EQUITY Dodoma, Tanzania. Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe amekutana na kufanya mazungumzo na...
  3. TRA yavifutia riba vyombo vya moto ambavyo havijasajiliwa

    Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022. TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
  4. Umasikini mbaya sana, Nasubiri NMB washushe riba nikope

    .
  5. Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  6. T

    Taasisi gani inatoa mikopo isiyo na Riba kwa wafanyakazi wa Serikali?

    Nikiwa kama muajiriwa wa serikali naomba kufahamu ni taasisi gani ya kifendha inatoa mikopo ya pesa isiyokuwa na RIBA kwa watumishi wa Serikali? Mwenye kufahamu naomba anifahamishe jinsi gani naweza kunufaika na huo mkopo.
  7. CRDB mmefanya kibaguzi haiwezekani Zanzibar mtoa mikopo isiyo na riba,Tz bara mikopo iwe na riba

    Hii imekaaje wadau naona imekaa kibaguzi sana,ina maana sisi Tanzania bara hatuna uhitaji na hiyo mikopo au? Zanzibar ni wa muhimu sana kwenu kuliko sisi? Au Zanzibar ni masikini sana mmeamua kuwapa upendeleo? Kila siku wajasiriamali wanalia kuhusu riba lakini mmeweka pamba masikio. Kama swala...
  8. NMB walazimishwe kushusha riba zao za mikopo

    Tayari Benki Kuu walishatangaza kupunguza riba kwa mabenki ili nao washushe kwa wateja wao. Hapo nyuma riba zilikuwa 20%, Badae wakaja 18% na 17% CRDB wameshusha kutoka 17 kwenda 16 NMB wakakomaa na 17, Sasa leo CRDB wametoka 16 hadi 13% NMB ndio kwanza hata habari hawana. Ni kweli NMB ina...
  9. Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  10. G

    Natafuta mkopo wa riba nafuu kutoka kwa mtu binafsi

    Habari wadau, Mimi sina sifa ya kukopesheka Bank, Hivyo nina shida ya mkopo wa M3 kwa mtu binafsi dhamana niliokua nayo ni kiwanja kipo songea changalawe kipo barabarani kabisa kiwanja kina kibanda cha chumba na sebule na mbele kuna nyumba ya block najenga ipo nusu mkataba wa mauziano ya...
  11. L

    Riba ya mikopo benki itashuka lini?

    Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%. Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16% Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya. Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
  12. Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

    Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
  13. M

    Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  14. Benki gani haisumbui kutoa Mkopo na yenye Riba nafuu?

    Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu? Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
  15. Agizo la Serikali la kushusha riba za mikopo limeshaanza kutekelezwa?

    Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
  16. Viwango vya riba (Interest rate) thread

    Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate) -Viwango vya riba ni kiasi cha pesa ambacho kinaongezeka kwenye pesa ambayo mkopaji amekopa baada ya muda...
  17. USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  18. Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  19. Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

    Habari ya uzima wanajamvi? Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini. Huku niliko hakuna Benki...
  20. X

    Maombi ya uwezeshwaji kwa riba

    kwa jina naitwa david nahitaji mkopo wa haraka kiasi ni sh. 700,000 nitarudisha 1,000,000 kwa muda wa miezi 5...dhamana ni kadi ya gari la mzazi
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…