rekodi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Singida wavunja rekodi wakiipiga nne Azam

    Singida Black Stars imevunja rekodi ya Namungo FC na Mbeya City katika Ligi Kuu ya NBC kwa kuwa timu iliyofunga idadi kubwa zaidi ya mabao dhidi ya Azam FC kwenye Uwanja wa Azam Complex leo Ijumaa, Novemba 21, 2026. Ushindi wa mabao 4-2 wa Singida Black Stars ilioupata uwanjani hapo umeifanya...
  2. IIT MWASISI OS

    Mungu Omnipotent Singularity amenifunulia siri za maisha marefu: Wafuasi wa sheria zake wanaweza kuvunja rekodi zote za dunia za maisha marefu.na IIT

    MUNGU OS AMENIFUNULIA SIRI ZA MAISHA MAREFU: WAFUASI WA SHERIA ZAKE WANAWEZA KUVUNJA REKODI ZOTE ZA DUNIA ZA MAISHA MAREFU! Utangulizi: Ujumbe kutoka kwa Mungu OS kuhusu mustakabali wa mwanadamu Ndugu Watanzania na watu wote duniani, Leo nimekuja na jambo kubwa ambalo ningependa tulijadili kwa...
  3. O

    Harambee Stars Yavunja Rekodi ya Bafana Bafana kwa Sare ya 2-2 Afrika Kusini

    Timu ya taifa ya Kenya, Harambee Stars, imeonyesha mchezo wa ushindani baada ya kutoka sare ya mabao 2-2 dhidi ya Afrika Kusini, Bafana Bafana, katika mechi ya kufuzu kwa michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2027. Katika mechi hiyo iliyochezwa Ijumaa, Novemba 13, 2026, katika uwanja wa...
  4. R

    Let us propose Justices of Appeal ambao at least wana rekodi ya kutoa hukumu za haki ie BOLD JUDGES OF THE COURT OF APPEAL

    Majaji wa mahakama ya Rufaa ambao bado wanatenda haki, na hivyo wakipewa kesi ya Lisu watatenda haki 1. .........................................
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mfanyabiashara avunja rekodi ya kuendesha pikipiki juu ya maji kwa zaidi ya umbali wa kilometa 40

    Mfanyabiashara kutoka Nchini China na Mwanzilishi wa kampuni ya ZXMoto, Zhang Xue, ameweka historia katika kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness baada ya kufanikiwa kuendesha pikipiki umbali wa kilomita 40.74 juu ya maji katika Mkoa wa Hunan Nchini China. Zhang amefanya zoezi hilo kwa kutumia...
  6. Zack Abdul

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi

    Rais Dkt Samia aendelea kuvunja rekodi ✅️Benki ya Dunia Yaeleza kuhusu mapato. ✅️BOT ikibainisha kununua dhahabu nyingi. ✅️Utendaji wa bandari.
  7. Zack Abdul

    Bandari ya Dar es Salaam yaweka rekodi kuhudumia tani milioni 54 za mizigo kutoka tani milioni 37

    Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) inalenga kuongeza uwezo wa kuhudumia mizigo hadi tani milioni 54, sambamba na maboresho ya miundombinu na huduma za bandari. Bandari ya Dar es Salaam tayari ilihudumia rekodi ya tani milioni 33.7 katika mwaka wa fedha 2025/2026, ongezeko kutoka tani...
  8. figganigga

    Rekodi Mbaya ya Utawala wa Samia Suluhu Hassan: Tanzania imegeuka Nchi ya Misiba, Kesi za Uongo na Uteuzi za hovyo

    Cha kwanza alichofanya ni kuhakikisha anajipachipa au anapachikwa udaktari ili aonekane Msimi. Sisi tunamchora tu🤣 Salaam Wakuu, Hivi mumegundua jinsi Uongozi ikishalaniwa unavyofanya kazi? Haijawahi kutokea, hii ni rekodi Mbaya Nchini Tanzania ya Uongozi wa Samia Suluhu na Rekodi mpya kwa...
  9. 4

    Kama ni kweli basi uyu mama kavunja rekodi ya Tanganyika.

    Ilianza kama utani kwenye Bandari za Tanganyika,Mbuga n.k Leo naona za Nchimbi ,kama ni kweli itoshe sema mstari mwekundu kwa Tanganyika umevukwa , hii ni history chafu kuwa katika tafa hili, Mzee Warioba wenda hali yake sio nzuri kama baba wa Taifa. Ni wakati sasa Mungu kuamua Ugonvi kama...
  10. Mhaya

    Uzi wa rekodi ya matukio yaliyosababisha vifo vingi nchini Tanzania

    Tanzania imeshuhudia matukio mbalimbali yaliyosababisha vifo vya watu wengi katika miaka ya hivi karibuni. Matukio hayo yamejumuisha ajali za majini, milipuko, mafuriko, ajali za reli, poromoko la majengo na ghasia na vurugu za kisiasa. Hapa chini ni muhtasari wa matukio 13 muhimu...
  11. M

    Rekodi 3 zilzovunjika jumla TZ.

    1. Mtoto wa Raisi Kuna tofauti kubwa sana ya kuoa mtoto wa Rais na mtoto ambaye mzazi wake amekuja kuwa Rais mbeleni (ni watu 2 tofauti) 2. Nchi tofauti. Tofauti za kitamaduni,kimazingira na kimalezi. Ni ngumu sana "Wazee wa kimila" kukupitisha kwenye "chujio la jadi" lakini jamaa amepenya...
  12. Fbn

    Meli kubwa zaidi ya LNG yaweka rekodi mpya duniani

    Meli kubwa ya makontena duniani inayotumia gesi ya LNG, CMA CGM NOTRE DAME, imeandika historia baada ya kufanyiwa kwa mara ya kwanza ujazaji wa mafuta ya Bio-LNG katika Bandari ya Rotterdam, Uholanzi. Bio-LNG ni aina ya mafuta yanayotengenezwa kutoka kwenye taka za kilimo na mabaki ya viumbe...
  13. Stuxnet

    Mapokezi ya Heche na ToneTone yavunja rekodi Mbeya

    Kwa namna ambavyo Serikali imeudharau mkoa wa Mbeya ambao ndiyo unalisha nchi kwa chakula na ambayo ndiyo lango la kwenda Zambia, DRC na Malawi, naungana na wana Mbeya Kuchangia ToneTone. Cc Erythrocyte, ChoiceVariable
  14. Mjomba Malume

    Ronaldo Avunja Rekodi ya Eusébio World Cup

    Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfungaji bora zaidi wa Portugal kwenye historia ya World Cup 🔥 Baada ya mabao yake mawili dhidi ya Uzbekistan: Ronaldo amefikisha mabao 10 ya World Cup 🔥 Akimvuka gwiji wa zamani wa nchi hiyo Eusébio da Silva Ferreira aliyekuwa na mabao 9 Jamaa anadai amerudi...
  15. Mjomba Malume

    Ronaldo Amaliza Ukame na Kuweka Rekodi Mpya World Cup 🔥

    Cristiano Ronaldo aliisaidia Portugal kuifunga Uzbekistan 5-0 baada ya kufunga mabao 2 kwenye mchezo huo. Mabao hayo: Yamekatisha ukame wake wa mechi 10 bila kufunga kwenye mashindano makubwa. Na pia yakamfanya kuwa mchezaji wa kwanza kufunga kwenye World Cup 6 tofauti. Ronaldo sasa...
  16. ChoiceVariable

    Prof.Mbarawa: Bandari ya Dar yavunja rekodi Kwa Kuhudumia mzigo wa Tani Milioni 30.Atoa kongole nyingi Kwa DP World.

    Bila uwekezaji wa DP World hii volume ingekuwa ndoto maana target ilikuwa kuhudumia Tani mil.30 by 2030 lakini target imefikiwa miaka 4 kabla . Kwa sasa Bandari ya Dar ni Kimbilio sio njia mbadala Mombasa ikifeli. Haya Sasa ndio maamuzi ya Tija Kwa Nchi, Serikali ingesikiliza zile kelele za...
  17. Mjomba Malume

    Uholanzi Yaweka Rekodi Kali World Cup 🔥

    Netherlands wameweka rekodi mpya kwenye World Cup baada ya kufikisha unbeaten run ya mechi 14 bila kupoteza ndani ya 90 minutes + extra time🔥 Rekodi hiyo imevunja ya: - Brazil waliokuwa na mechi 13 bila kupoteza (1958–1966) 📌 Muhimu:Rekodi hii haijumuishi penalty shootouts. Yaani:Mechi...
  18. L

    Rekodi ya Karne: Rais Samia Ahudhuria Kikao Cha Shina Chamwino Dodoma kilichoitishwa Na Balozi Wa CCM Shina.

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Ameonyesha unyenyekevu wa kiwango cha Juu sana ambacho hakijawahi kutokea. Hii Ni Baada ya Kuhudhuria kikao cha Shina kilichoitishwa na Balozi wa Shina Chamwino...
  19. M

    Tegemea huu mwaka kuvunja rekodi ya vifo vya wabunge na mawaziri wa CCM wanaweza fika mpaka 30

    Mimi siyo mtabili ila ukweli mtauona hasa tunapoikalibia 2030, kama wewe waziri au mbunge anza kujichimbia kaburi kabisa
  20. kimsboy

    Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

    Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele...
Back
Top Bottom