Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.
Tanzania imeandika historia mpya katika sekta ya usafiri wa anga na utalii baada ya Shirika la Ndege la Brussels Airlines kuzindua rasmi safari zake za moja kwa moja kati ya Brussels, Ubelgiji na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) katika hafla iliyofanyika Juni 3, 2026.
Kuanza...
29 May 2026
Jaji Mstaafu Profesa Ruhangisa - Kwa Nini Katiba Mpya kwa Viongozi ...
https://m.youtube.com/watch?v=yeWcy3FJ6S0
Jaji Mstaafu wa Mahakama Kuu Prof. John Ruhangisa wakati wa mahojiano maalum ya kipindi cha Katiba Kitaa jijini Arusha.
John Eudes Ruhangisa ni msomi mashuhuri wa...
Wabunge wapya wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki waliopigiwa kura hivi karibuni na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambao ni Ndugu Kambarage Wasira, Fatma Kange na Cosato Chumi, wameapa leo 01 Juni 2026 wakati wa kikao cha Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA) kuanza shughuli...
Wakazi wa eneo la Msumi, Kata ya Mbezi wilayani Ubungo, wameanza kupata huduma ya majisafi kufuatia kukamilika kwa Mradi wa Maji wa Msumi uliotekelezwa na DAWASA kwa gharama ya zaidi ya shilingi bilioni 1.2.
Kupitia mradi huo, wakazi wameanza kukabidhiwa vifaa vya maunganisho mapya sambamba...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Mei 28, 2026 amewasili kuwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kitaifa la Wadau wa Mazingira pamoja na maadhimisho ya miaka 40 ya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) yanayofanyika katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC)...
Unaweza kumfundisha mtoto wako kutafuta na kutumia pesa kwa kuanza kumjengea tabia ya kuweka akiba, kuelewa thamani ya kazi kupitia shughuli ndogo za nyumbani, na kumshirikisha katika maamuzi ya kifamilia ili kueleza tofauti kati ya matakwa na mahitaji ya msingi
Kujenga akili ya kifedha...
Hivi karibuni China imeandika historia mpya ya teknolojia duniani.
Kwa miaka mingi Marekani, South Korea na Taiwan zilikuwa The Big 3 Cartel walitawala GPU na memory chips. Wakiamua supply, wakipandisha bei, na dunia nzima ikalazimika kufuata.
Sasa China imevunja ukuta huo. Enzi ya kutegemea...
Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda .
Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada .
Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa...
Kwa wanaopenda Tanzania tuko katika wakati mgumu sana kama nchi . Washauri wabaya na uvivu na kujiachia kizanzibari sasa Mama ambaye alikuwa maua yenye harufu nzuri 2021-2022 sasa maua yamekufa kabisa ni lazima yaote upya au tuoteshe mengine. Haya maua ni too late sasa
IMETHIBITISHWA: Mkuu wa Hamas, Izz al-Din al-Haddad, ameangamizwa bila huruma huko Gaza.
Hii inadhibitisha wazi kuwa Israel ina mkono mrefu!!
Habari za kifo hiki ziwafikie Mzee wa Uharo Ritz Adiosamigo mdogo gallow bird gTurn na Wafuga Midevu na Majini Popote walipo duniani mipango ya mazishi...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya Siku ya Mazimgira Duniani yatakayofanyika jijini Dodoma Juni 5 mwaka huu.
Katika hafla hiyo, kutafanyia pia uzinduzi wa Programu ya mageuzi ya kimkakati ya Mazingira endelevu Tanzania (2026 - 2030).
Akizungumza leo na...
"Lango la Ushindi" la Bint Jbeil laangukia mikononi mwa majeshi hodari ya Israel!!
Kikosi kazi cha 'Argentina' cha IDF imekamilisha shughuli zake kwa kuuteka mji wa Bint Jbeil kufuatia kutekwa kwa mji wa kusini mwa Lebanon, ambao hapo awali ulielezewa na Marehemu Gaidi Hassan Nasrallah kama...
Kuna mkanganyiko mkubwa wa idadi ya vifo vilivyotangazwa na tume ya jaji Chande
Lakini pia imezua maswali..
Je idadi hiyo iko documented police ama hospital?
Je death certificate zake zipo?
Je postmortem report zake zipo
Je vibali vya mazishi vipo?
Je makaburi yao yapo? Nknl
Ndugu zangu Watanzania ,
Habari ndio hiyo ya kuwa Mfanyabiashara Fred Ngajiro (Vunjabei) ameibuka kinara katika kura za maoni za kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Isimani, Lukuvi, huku akiongoza katika kata nyingi zilizopigwa kura.
Kwa mujibu wa matokeo ya awali, Vunjabei...
Esmaeil Qa'ani, kamanda wa Kikosi cha Quds cha Kikosi cha Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, amewasili Baghdad na amepangwa kukutana usiku wa leo na viongozi wa makundi ya Washia kujadili kutatua migogoro yao.
Katika wiki mbili zilizopita, kutokubaliana miongoni mwa viongozi wa Washia...
Katika mazingira ya elimu, mahafali si sherehe ya kawaida bali ni jukwaa la maono, msukumo na mwelekeo wa maisha ya wahitimu. Ndiyo maana uchaguzi wa mgeni rasmi hubeba uzito mkubwa kuliko inavyodhaniwa, kuna wakati viongozi waandamizi haswa mkuu wa shule pamoja na wasaidizi wake huzungusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.