rasmi

Ni Gusti Ayu Raka Rasmi (March 10, 1939 – March 17, 2018), also known as Raka Rasmi, was a Balinese dancer who introduced the stylized art of Balinese dance to the world. She was the youngest member of the Balinese dance troupe, the Bali Dancers, that was the first to perform in the United States in 1952.Rasmi began her career in 1951 as part of the Sekaha Gong Peliatan. She was then discovered by John Coast, former English Diplomat, who formed the Balinese dance group.Rasmi became the first to dance the Oleg Tamulilingan, or the Bumblebee, a then controversial dance in which male and female dancers circle each other.In 2005 she was part of an award-winning festival performance that brought together veteran local dancers with emerging artists.

View More On Wikipedia.org
  1. Q

    Tuliambiwa Samia atakuwa mgeni rasmi Nyerere day

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi, amemuwakilisha Samia kuadhimisha kumbukumbu ya siku ya Nyerere.
  2. HOJA Tuna Kampeni ya Usafi Kitaifa, lakini unafahamu kama Dar yenyewe ina Dampo rasmi moja tu?

    Habari za wakati huu wakuu, Siku hizi kila kona stori ni kuifanya Dar iwe safi tena. Tunaona wanasiasa na watendaji wakiwa mtaani na mifagio kwa mbwembwe nyingi, huku wakitangaza faini za hadi TZS Milioni 1 kwa mtu atakayetupa taka ovyo. Lakini wanafeli kujibu swali moja la msingi sana: Hizo...
  3. Natangaza rasmi, kwa sasa nahamia CCM na kuwaunga mkono

    Mwanzo nilidhani tunaweza kuwachomoa pale juu kwa vinyuzi vyetu vya hapa jf, nmegundua kua ccm haitokaa itoke madarakani kwa kutolewa na mtu yoyote yule labda waamue wao wenyewe. Kinachoweza kuitoa madarakani serikali ni nguvu ya wananchi wenye akili timamu kitu ambacho kwa Tanzania wananchi...
  4. Jaguar Wamezindua rasmi Jaguar Type 01 GT ya Umeme. Very Luxury ila Expensive!

    Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP. Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD. Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h. Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V...
  5. Itachukua miaka mingi sana ijayo Tanzania kua na kambi rasmi ya upinzani bungeni tena.

    Kwasababu, vyama vya siasa vya upinzani nchini Tanzania havikubaliki na wananchi kwasababu havina agenda zenye ushawishi, mashiko au maslahi mapana ya wananchi. Lakini baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani kua vibaraka wa mabwenyenye ya magharibi, kumedumaza pakubwa kuaminika kwa...
  6. As soon as possible Chadema itaanza rasmi kupitisha bakuli la michango ya pesa kutoka kwa wadau mbalimbali wa siasa Tanzania.

    Nimeona ni muhimu sana kuwajulisha na kuwaandaa kisaikolojia, ili wakati muafaka ukifika msione kama ni surprise. Chama hakina pesa kwa sasa na sio siri tena, chama kinapitia ukata mkali wa pesa za matumizi ya kawaida ya kuendesha chama kwa kiwango kibaya sana, na mchango wako wa hali na mali...
  7. Ado Shaibu: Bungeni hakuna kambi rasmi ya upinzani, tuko 11 tu

    Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amesema bunge la sasa halina kambi rasmi ya upinzani kwa sababu wabunge wa upande wa wachache ni 11 tu, sawa na asilimia tatu. Alitoa kauli hiyo jana katika mkutano wa hadhara wilayani Tandahimba, kata ya Kitama, mkoani Mtwara. Ado alisema mwaka 2015...
  8. I

    Seneta Edwin Sifuna Azindua The Equitable Party, Atangaza Kuingia Kwenye Kinyang’anyiro cha Urais 2027

    Seneta wa Kaunti ya Nairobi Edwin Sifuna amezindua rasmi The Equitable Party (TEP), akichukua uongozi wa chama hicho na kutangazwa kuwa mbeba bendera wake wa Urais kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2027. Lakini TEP si chama kilichoanzishwa leo. Dkt. Gilbert Marava Shanga, Mkenya anayeishi Marekani...
  9. 'Adriz the Goat ' nimerejea rasmi JF baada ya safari yangu meditation

    Moja kwa moja .. Mwezi wa saba mwaka huu nilichukua umamuzi wa kuondoka Jf kwa muda , malengo ya kuondoka ni mwendelezo wa utamaduni wangu wa mara kwa mara ikifika kipindi fulani nakuwa nje kabisa na mitandao ya kijamii kwa muda wa miezi kadhaa kabla ya kurudi tena . Vitu ambavyo nakuwa...
  10. SI KWELI Rasmi Freeman Mbowe ametimkia zake Chama cha mapinduzi (CCM)

    Kupitia mitandao ya kijamii, kumekuwepo taarifa inayodai kuwa aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amejiunga rasmi Chama Cha Mapinduzi (CCM). Chapisho hilo linadai: “Rasmi Freeman Mbowe ametimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM).” Chapisho lina ujumbe ufuatao:Kwa muda mrefu...
  11. M

    Lt. Herbert Mabonga: Vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu, vinavyojulikana kama “safe houses” walitekwa na kuteswa

    Lt. Herbert Matanda Mabonga, anasema alihudumu katika Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Uganda (UPDF) kama afisa wa ujasusi na baadaye aliliacha jeshi. Katika video/tamko refu lililotolewa Septemba 30, alidai kuwa vyombo vya usalama viliendesha vituo visivyo rasmi vya kuwashikilia watu...
  12. Jamiiforum sasa rasmi kutumika bila VPN

    Mtandao wa Jamiiforum sasa upo hewani bila VPN, baada ya kula Ban kwa miezi kadhaa
  13. 3

    Rasmi TRA yatoa tamko kwa Ommy Dimpoz alivyokwepa kodi

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema inaendelea kuchunguza ukwepaji kodi kupitia udanganyifu wa taarifa za magari, ikiwemo aina, modeli, mwaka wa kutengenezwa na thamani ya gari. TRA imesema katika operesheni iliyofanyika Septemba 26, 2026, eneo la Palm Beach Casino, Dar es Salaam, ilibaini...
  14. NI RASMI IMETHIBITISHWA JKT, JWTZ NA POLISI NI MALI YA CCM

    Kutokana na kauli ya Kada wa CCM kua majeshi yote ni mali ya CCM na Hakuna jeshi lolote lililokanusha mpaka sasa, hivyo imethibitika kua majeshi yote ni mali ya CCM
  15. Q

    John Heche: Kauli ya Chacha imeithibitishia dunia tuliyokuwa tukisema. CHADEMA kitatoa tamko rasmi

    Hii ni kauli muhimu sana, imethibitisha yale ambayo tumeyasema kwa miaka yote. Leo kiongozi wa juu wa ccm amethibitishia Watanzania na Dunia kwa wale waliokua wanafikiri tunasema uongo au tunawazushia.. polisi, usalama wa Taifa na jeshi la wananchi wamsikilize bwana Chacha. Vyombo vya ulinzi...
  16. Kwaheri JF: "Mpinzani" nastaafu rasmi baada ya miaka 16 ya uwepo wa kimya kimya na amani

    Wakuu na wanajukwaa wenzangu,Leo natangaza kustaafu rasmi JamiiForums. Nilijiunga hapa mnamo mwaka 2010 kwa jina la Mpinzani. Tangu siku hiyo, nimekuwa member muungwana sana—sijawahi kupigwa 'ban' wala kugombana na mtu yeyote humu ndani. Nilikuja kwa amani, na sasa naondoka kwa amani.Baada ya...
  17. N

    Tungependa kutambulisha rasmi suluhisho na bidhaa yetu ya Jamiisound kwa wadau na wapenzi wa muziki na mashabiki

    Utambulisho wa JamiiSound: Platform ya Kusambaza na Kusikiliza Muziki (Music streaming platform) katika hatua zake za awali. Tunafurahi kuwatambulisha Watanzania wenzetu JamiiSound, moja kati ya bidhaa zetu nyingi ya kidijitali inayolenga kurahisisha usikilizaji, ugunduzi na usambazaji wa...
  18. OKTOBA 1, SAA SITA USIKU

    Nitatambulisha msanii wangu mpya, jina lake, sura yake, jina la record label. NITATOA TAREHE PIA YA KUACHIA KAZI YANGU YA KWANZA HIT SONG, DUNIA ITASIMAMA NA MVUA ISIYO NA MADHARA ITANYESHA KWA UWEZO WA MUNGU KUASHIRIA BARAKA TELEEEE. Pia tafanya press conference humu jamii forum kwani ni...
  19. CIVILIAN-COIN NALIMI KISANDU (Civilian-Coin) amewasilisha ofisi za NIDA-Kahama(Shinyanga) Nyaraka rasmi za kubadili jina

    Katika taarifa zetu tulizozipata Toka kwa wadau wetu ni kuwa takribani wiki mbili Sasa tangu CIVILIAN-COIN awasilishe Nyaraka za kubadili jina la kwanza kwenye NIDA iliyopo. Nyaraka tulizoziona ni Deedpol ya kiapo Cha mahakama ya Wilaya Kahama, affidavit of signature, Gazeti la Serikali la...
  20. L

    Rais Samia Mgeni Rasmi Mkutano wa Kimataifa Wa Wabunge Wanawake Ukanda wa Maziwa Makuu November 2 Hadi 5 Mwaka Huu Ikiwa Atapata Nafasi

    Ndugu Zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia,nuru ya Wanyonge na nyota ya Matumaini. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika mkutano wa Kimataifa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…