Jaguar Wamezindua Jaguar Type 01 Luxury Electric GT, yenye zaidi ya 1,000 HP.
Type 01 inakuja na motor tatu, moja mbele na nyuma mbili, kwahiyo ni AWD.
Ina acceleration ya 0-100 km/h kwa sekunde 3, na top speed ya 241 km/h.
Inakuja na battery kubwa la 118 kWh, ikiwa chini ya 850V...