rais

  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kiliba: Matatizo ya wanachuo yameisha kipindi cha Rais Samia

    Kwani Wanachuo wenyewe mnasemaje? Rais wa TAHLISO Geofrey Kiliba akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es salaam kuhusu maslai wanayopata wanachuo kwa kipindi hiki cha awamu ya sita chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan.
  2. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said acha huu Upuuzi ambao Utakugharimu kwani Wewe ndiyo unashirikiana na RS Berkane ili Fainali CAFCC isiwe kwa Mkapa

    Halafu ulivyo wa hovyo unajifanya hujui lolote wakati unatumia Nafasi yako CAF ili Kuiumiza Simba SC kwa hili la Uwanja.
  3. JamiiForums Tanzania Msafara wa Rais Samia ukitoka upareni mazikoni kwa Cleopa Msuya

    Magari kama yote
  4. K

    JamiiForums Tanzania Hashimu Spunda na mpango kazi wa Rais Samia na CCM kutengeneza upinzani FAKE. Je, Watanganyika watang'amua hili?

    Watanzania ni wajuzi wa mambo ila sio wenye kuchukua maamuzi kwa haraka Watanzania ni wanyonge mno sera Yao ni mwenye nguvu mpishe na hii ndiyo sababu ya CCM na serikali kufanya watakavyo na hawajawahi kukwama. CCM katika kampein yake ya kujibakiza madarakani ikiwezekana hata...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Trump akutana na gaidi aliyekuwa akitafutwa kwa udi na uvumba na CIA

    CIA iliweka mezani kiasi cha fedha za kimarekani $10 million kwa yoyote atakaye mpata Muhammad Al-Jawlani https://x.com/USEmbassySyria/status/864144602584035328?t=jV1xFNQFpYt4svya5WAz6w&s=19 Leo hii Rais wa marekani kakutana na gaidi la magaidi lililokuwa linatafutwa tutegemee Trump kulamba...
  6. JamiiForums Tanzania Rais wa Finland, Alexander Stubb kufanya ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia leo Mei 14 hadi Mei 16, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Finland, Alexander Stubb, anatarajia kufanya Ziara ya Kitaifa nchini Tanzania kuanzia tarehe 14 hadi 16 Mei, 2025 kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Finland na Tanzania zina mahusiano ya miaka 60 na zimekuwa zikishirikiana...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azidi kutapanya pesa za umma, amwagia mamilioni ya shilling chawa wa Ruto, Cassypool anayetarajia kuwasili Tanzania kumnadi kwenye uchaguzi

    Wakati umma wa Watanzania ukiendelea kushuhudia huduma mbovu za kijamii kama ukosefu wa madawa hospitalini, miundombinu mibovu ya barabara, huduma mbovu za maji e.t.c, Samia ameendelea kuhonga pesa za umma kama njugu kwa chawa wake na awamu hii ametanua mipaka mpaka Kenya. Tanzania imepatwa na...
  8. JamiiForums Tanzania Kisa cha Generali Yoabu kumuua Generali Abneri bila ruhusa ya Mfalme Daudi ni kielelezo kuwa kuna Matukio hutokea Rais hahusishwi au hajulishwi

    Kwema Wakuu! Tulikuwa na Magufuli, akafanya aliyoyafanya. Yapo mazuri akapongezwa kwa mazuri. Na yapo mabaya akalaumiwa na kukemewa, kuliliwa na kutukanwa kwa Mabaya. Moja ya Mabaya yaliyotokea kipindi cha Magufuli ni pamoja na utekaji, kujeruhiwa na mauaji. Huku matukio hayo mengi yakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nyerere alituingiza kwenye tatizo!! kwanini mzanzibar anaruhusiwa kuwa rais wa Tanzania bara na mtanganyika haruhusiwi kuwa rais wa Zanzibar?

    Siku moja tusikie mwigulu nchemba ni rais wa Zanzibar au tumuone mnyakyusa kutoka mbeya akiiongoza ikulu ya Zanzibar ! Kwa Nini mngoni ,mmatumbi na mndengeleko wasiwe na sifa ya kuongoza zanzibar ? Ila wazanzibar wanakuja kutawala Tanganyika? Kwanini muungano wetu upo kama msaafu Kila anaejaribu...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna

    Rais Samia wakati unaingia madarakani mwaka 2021 usafiri wa mwendokasi ulikuwa unatoka Kariakoo hadi Kibaha lakini sasa hakuna. Mwaka 2021 magari ya mwendokasi yalikuwa yanatoka Kariakoo mpaka mbezi lakini sasa hakuna. Tunashukuru sana Rais Samia kwa kuwafanya wanyonge kuwa wanyonge zaidi.
  11. U

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Qatar kumzawadia Rais Trump ndege ya kifahari boeng 747- 8 jumbo jet, yeye adai itatumika kama air force one

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Marekani Donald Trump yuko tayari kupokea ndege ya kifahari aina ya Boeing 747-8 kama zawadi kutoka kwa familia tawala ya Qatar wakati wa safari yake ya Mashariki ya Kati wiki hii ijayo, na maafisa wa Marekani wanasema inaweza kubadilishwa na kuwa ndege inayoweza...
  12. JamiiForums Tanzania Qatar yamzawadia Rais Donald Trump ndege Boeing 747-8 ya kifahari!!

    Vyombo vya habari vya Marekani vinaripoti kwamba Rais Trump anatarajiwa kupokea "ikulu inayo kuruka" kama zawadi kutoka kwa mtawala wa Qatar- Boeing 747-8 yenye thamani ya mamia ya mamilioni ya dola, iliyopambwa kwa dhahabu na samani za kifahari. Cha kushangaza ina vifaa vingi vya kusikiliza...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi aifariji familia ya marehemu Charles Hillary

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ametoa mkono wa pole kwa familia ya marehemu Charles Hillary, aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo, tarehe 11 Mei...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia kaonesha wazi kutojali uhai wa wananchi wanaopotezwa kwa kusema ni "Drama"

    Hii inahudhunisha sana, inaumiza sana na inakera sana, yaani watu wanapotezwa kila uchwao harafu Rais anaongea kwa dhihaka eti wanafanya drama! , Mzee Ali kibao ni drama? Mdude ni drama? Waliotekwa kisutu na kuteswa na kuvunjwa miguu na mikono ni drama? Azory Gwanda ni drama? Ben saa nane ni...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Ufilipino, Rodrigo Durtete atimiza miezi kadhaa Jela akisubiri Mashtaka ya Mauaji

    Rais wa zamani wa Filipino ametimiza miezi miwili Jela kwa tuhuma ya makosa dhidi ya ubinadamu na Mauaji. Tuzidi kumpa Moyo katika kipindi hiki kigumu anachopitia ndani ya jela.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025

    Rais Samia akishiriki kuaga mwili wa Hayati Cleopa Msuya Mei 11, 2025 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga tayari ameshawekwa sawa alipokwenda Dodoma

    Alipokuwa Dodoma na kufika Bungeni inasemekana mamlaka zilimuweka kitimoto na kukubali Yanga kucheza. Tatizo ni namna ya kuwalainisha Mashabiki wa Yanga. Ila tayari kuna mbinu imeshaanza kutumiwa na Ali Kamwe kuanzisha propaganda za majigambo kuwa SIMBA WASIFIKIRI KUWA YANGA INAWAOGOPA. Kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Kama ningekuwa Rais Samia

    Uzi huu utumike kuonesha upande wa pili ambao Rais Samia pengine hauoni. Naamini huwa anapita humu jamvini na akiuona huu Uzi hawez acha kufungua. Kwa upande wangu kama ningekuwa Rais Samia.. 1. Ningemuachilia huru Tundu Lissu.. maana kumuweka ndani ni kumuongezea umaarufu na siku mtu huyu...
  19. JamiiForums Tanzania Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar

    Mke wa Rais wa Zanzibar akutana na Mke wa Rais wa Msumbiji Zanzibar Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Taasisi ya ZANZIBAR MAISHA BORA FOUNDATION (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi, amekutana na kuzungumza na Mke wa Rais wa Msumbiji, Mama Gueta Selemane Chapo, aliyetembelea...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Korea kaskazini: Tutaipa Burkina faso msaada wo kijeshi.

    Kutokana na matishio ya kiusalama na matishio ya kumuua Rais Ibrahim Traore wa Burkina faso, kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema serikali yake itaipatia Burkinafaso msaada mkubwa wa kijeshi endapo Taifa lolote la nje litajaribu kuivamia Burkinafaso. Sambamba na Korea kaskazini nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…