rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Msibani kwa Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Job Yustino Ndugai katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma tarehe 10 Agosti, 2025.
  2. JamiiForums Tanzania GE2025 Zitto Kabwe: Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais

    Akizungumza katika mapokezi ya Wagombea wa nafasi ya urais Pemba leo Agosti 10, 2025 Kiongozi wa zamani wa ACT Wazalendo Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Mgombea wa nafasi ya urais ambaye ni Luhaga Mpina akishinda urais wamtangaze, wasimtangaze atakuwa rais.
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza waombolezaji kuaga mwili wa spika mstaafu wa bunge hayati Job Ndugai

    Wakuu, https://www.youtube.com/live/909l2HQbu64?si=zVs8a4iuk4a2mUUM
  4. JamiiForums Tanzania Mpina aliitwa mbunge wa Taifa na Rais Akihito kumteua katika nafasi zake 10

    https://youtu.be/bUHv7OhYLzA?si=QYkQwS6JTsb4cmgk Baada ya Rais kumfahamisha Mpina kuwa yeye ni mbunge wa Taifa na alisema ata Metis katika zile nafasi zake kumi. Leo hii Mpina ni mgombea U-Rais kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Hii ni moja ya zile nafasi kumi za Rais? Kule Zaire Mobutu alikua na...
  5. JamiiForums Tanzania Kulikoni Mbona rais Samia, ameanza kujitenga Kimataifa?

    Hali si nzuri Kwa mama Samia, Alipoingia madarakani Samia alikuja na kauli ya kuifungua nchi, alijaribu kurejesha taswira ya Tanzania kwenye mstari. Alisafiri nchi za ulaya kama zote na Marekani. Alikalibishwa ikulu ya white house na kupokelewa na Kamala. Vice president Kalama alimtembelea...
  6. JamiiForums Tanzania Sioni Rais Samia akiongoza miaka 5 ijayo.

    Atashindwa vibaya mno kwenye uchaguzi, ndiyo kwenye uchaguzi. Rais ajaye katulia tu.
  7. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia apewa Mbuzi wa Supu na Madereva Bodaboda na Bajaji baada ya kuchukua Fomu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye ni mgombea Urais kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi amepewa Mbuzi kwa ajili ya supu atakayotumia baada ya kuchukua Fomu ya Kugombea urais. Mbuzi hiyo iliyotolewa na Madereva Pikipiki za miguu mitatu (bajaji)na miwili...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa

    Rais Samia amesema Mbio za kuelekea Oktoba zimeanza rasmi, CCM tuko tayari kudemka kadri Ngoma itakavyopigwa.
  9. JamiiForums Tanzania GE2025 Wanachama CCM wajitokeza kumsindikiza Rais Samia kuchukua fomu

    Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi wakiendelea kumiminika katika viwanja vya Mtekelezo jirani na makao makuu ya chama hicho kwa lengo la kumpokea Mgombea Urais wa chama hicho na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye anachukua fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya...
  10. JamiiForums Tanzania GE2025 Agosti 9, 2025: Rais Samia achukua fomu ya urais

    Chama cha Mapinduzi kesho, Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi, Dk.Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dk.Emmanuel Nchimbi, wanaenda kuchukua fomu...kwenye Tume Huru Ya Uchaguzi Dodoma"- Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, CPA Amos Makalla
  11. L

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia kuitetemesha Dunia Kesho

    Ndugu zangu Watanzania, Kesho Dunia inakwenda kusimama ,kesho ndio kesho ,kesho macho yote Ya Dunia yanakwenda kuelekezwa Mkoani Dodoma ,kesho ni kama ile Fainali ya kombe la Dunia kati ya Argentina ya Lionel Messi Pamoja na Ufaransa ya Klian Mbappe. Kesho Dunia inakwenda kutetemeshwa na Rais...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo – Mtumba, leo Agosti 8, 2025

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu akitembelea Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo iliyopo Mtumba Jijini Dodoma tarehe 08 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisikiliza maelezo kuhusu Maabara Kuu ya Kisasa ya Kilimo...
  13. JamiiForums Tanzania Bashe amkabidhi Rais Samia tuzo kutambua mchango wa Rais kwenye sekta ya kilimo na uvuvi

    Wakuu Kwenye maadhimisho ya sikukuu ya NaneNane leo Wizara ya Kilimo na Ufugaji ambayo inaongozwa na Hussein Badshe imemgaia Rais Samia tuzo
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia atumia dakika moja kwaajili ya kumwombea aliyewahi kuwa Spika wa bunge Job Ndugai

    Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametoa daikika moja yakumwombea aliyewahi kuwa spika wa jamhuri ya muungano wa Tanzania aliyefariki dunia Agosti 6, 2025, Rais Samia maefanya hivyo leo Agosti 8, 2025 katika maadhimisho siku ya Wakulima dunia (NaneNane) ynayofanyika...
  15. JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Rais akihitaji muongee ana kwa ana Ikulu upo tayari?

    Ndugu Polepole, Salaam! Tangu ujihuzuru nafasi ya Balozi huko Cuba umekuwa na mlolongo wa ushauri kwa Rais wa Tanzania na watanzania. Ushauri huo umefuatana na baadhi ya malalamiko ktk maeneo kadhaa, ikiwemo:- (a). Uchaguzi ndani ya CCM; (b). Haki za kibinadamu; (c). Kalenda ya Uchaguzi...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa, Agosti 8, 2025 Dodoma

    Rais Samia Akishiriki Maadhimisho ya Sikukuu ya Nanenane Kitaifa katika Viwanja vya Nanenane Jijini Dodoma, leo tarehe 8 Agosti, 2025. https://www.youtube.com/live/jQHC1KDAtsY?si=wJAJj3luERusy52n ============= Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, akiwahutubia wakazi wakati wa kilele...
  17. JamiiForums Tanzania Zaidi ya 1,000,000 waajiriwa sekta ya Kilimo, mnaolalamika maisha magumu njoo shambani

    Rais Samia Katika utekelezaji wa miradi ya kilimo, jumla ya ajira 1,084,481 za muda mfupi na za kudumu zimezalishwa kupitia miradi ya uzalishaji na utafiti, ujenzi, ukarabati na usanifu wa umwagiliaji (Hotuba ya bajeti) Hata hivyo programu ya Jenga Kesho Iliyo Bora (BBT), na Vyama vya...
  18. JamiiForums Tanzania Hii picha ya Rais Samia imenibubujisha machozi ya furaha

    Wakuu Kiukweli Rais Samia anapambana sana kuinua hali za watanzania kiuchumi. Hii picha imenibubujisha sana machozi ya furaha.
  19. JamiiForums Tanzania Rais anasikitika wananchi wanafurah hii Ina maana Gani kwa Rais, naomba wakamatwe wote mpaka tuzike ndo watoke rumande

    Nauliza hivi kweli Rais anauzunika ANALIA wananchi mnaruka ruka mna adabu nyie kweli? Nafahamu Pascally Mayalla na Proffesa Mussa Assad mnafurah ila ndo mkodi mziki? Naomba mwekwe ndani mpaka azikwe.
  20. W

    JamiiForums Tanzania KUMBUKIZI | Rais Samia: Siasa ni mchezo wa fikira na mawazo na kulumbana kwa hoja

    Rais Samia 08 Machi 2023 akiongea na BAWACHA alinukuliwa kusema "Wote tumejawa na furaha. Na hiyo ni kwa sababu ya matunda ya mazungumzo na maridhiano. Ndugu zangu siasa ni mchezo. Mchezo wa fikira na mawazo, kulumbana kwa hoja, kuangalia kakosea wapi tumzodoe na mimi naona kaongea nini namjibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…