Naomba niulize, kwa mfano Raisi ameona nchi imemshinda hawezi jiuzulu mwenyewe kisheria?
Kwani ni lazima amalize miaka mitano?
Na kwa mfano akijiuzulu nani anakabidhiwa nchi?
Raisi mstaafu wa awamu iliyopita anaweza kupewa nchi kwa muda?
Na kama watanzania tumemchoka hakuna mikakati yoyote...