rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanufaika wa TASAF wamefikia 6,983,665

    Akiongea kwenye mkutano wa kampeni wa Tanganyika Packers, Rais Samia Suluhu Hassan alisema: Umasikini haujaisha, Tanzania yetu inapaswa kuwa na familia zenye furaha na usalama wa kifedha. Hivyo nashukuru Mpango wa TASAF, ambao umeongeza idadi ya kaya walengwa kutoka 876,440 mwaka 2021 hadi...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumetoa Sh. bilioni 700 kwaajiili ya ruzuku ya mbolea | Uzalishaji wa mazao ya chakula umefikia Tan 22.8.

    Dar es Salaam, Tanzania – Uzalishaji wa mazao ya chakula nchini umeongezeka kutoka tani milioni 17.1 mwaka 2021 hadi kufikia tani milioni 22.8 mwaka 2024, ongezeko linaloashiria jitihada za Serikali na wakulima kuongeza tija na kuhakikisha usalama wa chakula nchini. Aidha, Serikali inaendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumeongeza bajeti ya Kilimo kwa 322%

    Dar es Salaam, Tanzania – Bajeti ya Wizara ya Kilimo imeongezeka kutoka Sh. bilioni 294 mwaka 2021 hadi kufikia Sh. trilioni 1.242 mwaka 2025, ongezeko la Sh. bilioni 948 sawa na ongezeko la 322%. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za Serikali kuimarisha sekta ya kilimo na kuhakikisha wakulima...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli alikuja kama Messiah kisha akaondoka na kuacha ujumbe "MTANIKUMBUKA..."

    Ilikuwa wakati wa jioni huko vijiweni vya kawaida, pale mtaani, ambapo sisi marafiki tulikuwa tumekaa chini ya mti mkubwa, tukinywa chai moto na kutoana hadithi za maisha. Mmoja wetu, yule anayependwa na mazungumzo ya siasa, akaanza kwa sauti ya kushawishi: "Eh, rafiki zangu, mnakumbuka ile siku...
  5. JamiiForums Tanzania Wito: Tubadilishe Katiba, Samia sasahivi ni Rais au ni mgombea wa Urais?

    Nadhani IKULU Sasa zilitakiwa ziwe wazi, kila mgombea atokee kwke akambe KAZI ya kuajiliwa kuwa Rais Inakuaje Samia analala IKULU? Chanzo ni katiba MBOVU, Kama majimbo hayana wabunge, kama wizara hazina waziri ni wakati mwafaka Sasa Mgombea wa CCM atokee IKULU aombe kibalia IKULU atokeeeee
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampiku Hayati Magufuli kwenye kila sekta

    Dar es salaam, Agosti 2025 – Akihutubia Taifa kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oct 29. 2025, Rais Samia Suluhu Hassan amesema Serikali yake imefanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii katika kipindi cha miaka minne iliyopita. Rais Samia alisema kuwa Bajeti ya Serikali...
  7. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia: Tumefanya makubwa kuhakikisha taifa linarejea kwenye utulivu

    "Siwezi kusema kwamba tumefanya kila kitu kilichoelezwa kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi, lakini kwa ujasiri mkubwa naweza kusema tumefanya makubwa kuhakikisha nchi yetu inajengwa na Taifa linarejea kwenye hali ya utulivu tuliyozoea.” - Mgombea Urais wa CCM, Rais Samia Suluhu kwenye uzinduzi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukaribu wa Mwamposa na Rais Samia, sioni ajabu washarika wa Mwamposa kupewa oda ya kufika kwenye kampeni za Mama

    Ukweli ni kuwa, bila kuokoteza watu kiujaujanja, kampeni za CCM tenu hii, lazima ziwe kituko Kuna akina sisi mpaka tutapiga pesa ili tu tukajaze kampeni zaohalafu kula hatupigi Kuna wale machinga wa kariakoo lazima waende ili tu kulinda maeneo yao, cha ajabu uchaguzi ukiisha, mgambo wapo...
  9. JamiiForums Tanzania Ukiwa rais Afrika, kila kitu chako kinakuwa rais na rahisi

    Ukiwa rais, hata mbwa wako anakuwa rais wa mbwa wote. Ukiwa rais, hata kuku wako anakuwa rais wa kuku wote, ukiwa rais, kila kitu kwa watu wako kinakuwa rahisi. Ukiwa rais, hata gari lako ni rais wa magari yote nchini mwako. Tulizoea kuyasikia haya huko Congo zote, Equatorial Guinea, na Libya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Maisha, hulka za mtoto wa Rais, zaweza kuathiri taswira ya Rais na uongozi wake.

    Mtoto wa Rais kwenye jamii kwa namna Moja au nyingine ni prominent figure. Ndio maana kwa kawaida mtoto wa Rais anatakiwa kupewa Ulinzi muda wote. Watu wa Itifaki wanafahamu. Vyombo vya habari huwa attracted na habari za kushtua, kushangaza, kufurahisha au kuumiza. Hivi karibuni kumekuwa na...
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Samia anarudisha Fomu ya Uchaguzi Mkuu muda huu Agosti 27, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=Z2GEtzscmaY https://www.youtube.com/watch?v=2cTVOqAW2xg Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Dkt. Samia Suluhu Hassan akirudisha fomu ya Uchaguzi Mkuu Tanzania katika Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Tanzania (INEC) Dodoma, leo tarehe 27 Agosti, 2025.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia alivyowaapisha Viongozi wateule, Ikulu Chamwino, Dodoma, leo Agosti 26, 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b3GTpUdBkQs Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino, Mkoani Dodoma, tarehe 26 Agosti, 2025. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Khamis Mgeja ashauri hukumu ya Malisa aliyofungua kupinga Rais Samia kugombea iwe fundisho kwa CCM

    SIKU chache baada ya Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma kuifuta kesi ya Kikatiba ya Kupinga uteuzi wa Dkt. Samia Suluhu Hassan kugombea urais Oktoba 29 2025, mmoja wa makada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ameibuka na kutaka kesi hiyo iwe fundisho kwa wana CCM wengine. Kada huyo wa CCM, Khamis Mgeja...
  14. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wanawezaje kushitakiwa/kuwajibishwa?

    Akizungumza Jumapili Agosti 24, aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Cuba, Humphrey Polepole alipendekeza kuwepo kwa sheria ya kuwawajibisha viongozi kwa matendo wanayofanya wawapo madarakani. Je, sheria za Tanzania zinasemaje kuhusu viongozi wa juu akiwamo Rais wa Jamhuri ya Muungano, Makamu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanasema kuna mtu alipeleka maneno ya uongo eti Ummy kasikika anamsengenya Mama

    Kwa asili wanawake wanasengenya na ni wambea haijalishi ni rais. Ukimsengenya rais au akipelekewa umbea kwa rais basi kama ni mteule wake ujue ndio mwisho wako. Nimesema hivyo maana kuna mtendaji mzuri kama Ummy Mwalimu ametemwa uwaziri na sasa amepigwa pin asigombee ubunge. Sio Tanga mjini tu...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tuitaadhari nchi yetu na udini, baadhi ya maaskofu wanaonesha hasira kwa kukosa Rais au Mstaafu wa upande wao, wanaeneza mgawanyiko na chuki nchini

    Hoja hii hailengi kuamsha chuki dhidi ya imani yoyote, bali kutahadharisha kuhusu hatari ya kuingiza udini kwenye siasa. Tanzania ni ya wote bila kujali dini, dhehebu, kabila au historia. Kwa miaka mingi walikuwa na "access pass" ya moja kwa moja hadi juu kabisa ya mamlaka. Walizoea kumuona...
  17. JamiiForums Tanzania Nyerere: Tunapoongea kuhusu Tanzania na uhuru wake

    Inavyoonekana ni kwamba washirika wakubwa wa Mwalimu Nyerere katika harakati za kudai uhuru wa nchi hii walikuwa watu waliovaa balaghashia. Huenda hii ndiyo sababu ya Mwalimu Nyerere kuzoea kuvaa kofia aina hiyo muda mwingi. Pia haishangazi kuona Mwalimu Nyerere kuamua Kiswahili kiwe lugha ya...
  18. JamiiForums Tanzania GE2025 Doyo: Nikiwa Rais nitalipwa milioni 6 kwa mwezi, wabunge watalipwa milioni 4 tu

    “Nikiwa Rais wa Nchi hii watu watakimbia fomu za Ubunge maana nitwalipa mshahara mdogo wa Milioni 4 Kwa Mwezi, na mimi kaka Rais nitalipwa Milioni 6” Doyo Hassan Doyo - Mgombea Urais - NLD
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Kombo akutana na Makamu wa Rais wa JICA

    Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Rais Hussein Mwinyi amesaliti maridhiano na umoja wa kitaifa Zanzibar?

    https://www.youtube.com/watch?v=MCNhPjrsMLA&t=87s
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…