rais

  1. JamiiForums Tanzania Kuhusu lockdown Rais Magufuli yupo sahihi

    Salamu wanaJF katika strategies za kupambana na COVID 19 hakuna expert duniani.kila mmoja wetu ameweza kuwa na ushauri wake ambao ni valid kwa muktadha wa uelewa,taarifa,uzoefu,elimu n.k Rais Magufuli alichagua NO LOCKDOWN ..!! Baada ya msimamo huu hata mimi big fan wa Jembe Magufuli...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa anayofanya Rais Magufuli leo, yana tofauti gani na ya Kinjekitile Ngwale wa mwaka 1905? Tuwe wakweli na huru kujadili!

    Katika historia ambayo nilijikuta nakasirika baada ya kuisoma basi ni ya Kinjekitile Ngwale na vita yake ya majimaji mwaka 1905 hadi 1907. Ni historia inayochefua mno ukiisoma. Na kwakweli sijui hata ni kwanini inafundishwa kwenye mitaala. Tunaambiwa kuwa Kinjekitile aliwaambia watu wake endapo...
  3. JamiiForums Tanzania Hebu tuangalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais Magufuli Maabara kuu ya Taifa

    Ni jambo la kushangaza na kutia shaka kuona wataalam na wanasayansi wa Tanzania wanavyopinga uchunguzi wa Rais kwa hoja dhaifu. Hii inatia shaka juu ya uwezo wa wataalam tulio nao hapa nchini. Hebu tungalie hoja hizi zilizotumika kupinga Uchunguzi wa Rais kwa jinsi wataalam wetu walivyozitolea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa chama cha wauguzi asema kuna wauguzi wameambukizwa Corona na wengine wako kwenye Karantini

    Rais wa chama cha wauguzi Tanzania Mr. Alexander Baluhya amesema kuna wauguzi kadhaa wameambukizwa Corona lakini hawezi kutaja idadi kwa sababu yeye siyo msemaji wa serikali. Akijibu swali la mtangazaji Hassan Ngoma aliyetaka kujua hadi sasa ni wauguzi wangapi wameambukizwa na kufa kwa Corona...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea uchaguzi mkuu: Rais Magufuli kulifunga Bunge Juni 30, Shughuli za Bunge kumalizika Mei 30

    Rais John Magufuli BUNGE la Tanzania, sasa limeamua kufungasha vilago vyake, mwezi mmoja kabla ya muda wake wa awali uliopangwa na uongozi wa Bunge hilo. Kwa mujibu wa ratiba ya awali, Bunge la Jamhuri ya Muungano, lilipangwa kumaliza muda wake, tarehe 30 Juni 2020. Kwa mujibu wa taarifa hiyo...
  6. JamiiForums Tanzania Mabeberu? Rais Magufuli ameiathiri Serikali yake na ijayo

    Kwasasa ni wazi rais wetu John Joseph Pombe Magufuli ameamua kula sahani moja na mabeberu. Ukweli ni kwamba kwa sasa hatuwaamini na hawatuamini tena. Mwisho wa yote ni hitimisho la uongozi wa Rais wetu. Kila anaeitegemea Serikali ajiandae kwa miaka 8 mpaka 9 kutoka Sasa mpaka kurudia pale...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Watanzania nawaomba tuache sifia Kila kinachotoka katika kinywa cha Rais tutaangamia wote

    Watanzania wenzangu it's high time tuache kusifia nakupongeza kila neno linalotoka ktk kinywa cha mfalme. Ni bora mara Mia tukae kimya tusitoe pongezi tukitaka kuonekana watu tunampenda sana mkuu. Nataka niwaambie. Kama tunafikiri mfalme yupo sawa muulizeni why kajitenga? Pili tafakurini wote...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hatutasitisha mishahara ya watumishi wa Umma kwa sababu ya COVID-19

    Ukiacha mambo mengine aliyo yazungumzia mh Rais Jana kwenye hotuba yake jambo la kutia faraja kwa watumishi wa Umma ni hili. Kwamba watendelea kuwalipa mishahara kama ilivyo kawaida na haita punguzwa. Hili limewatoa hofu watumishi wengi walio kuwa na hofu ya kusitishiwa mishahara yao kwasababu...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Rais hakuna asiyependa kuishi na wewe umetudhihirishia

    Mimi naomba kupata majibu kutoka taasisi nyeti kabisa ya taifa hili Ikulu. Mh Rais anasema watu wachape kazi anasisitiza nakusisitiza nakubeza kila juhudi inayofanyika hata kama sio kwakusema moja kwa moja ila fumbo mfumbie mjinga. Uliposema watu wazushiwa hofu na una data watu wamepona Ummi...
  10. JamiiForums Tanzania Muda mwingine Rais Magufuli anapenda kufurahisha Jukwaa

    Hao anaowaita mabeberu na kuwashutumu yeye mwenyewe kila kitu chake anachokitumia anakito kwa mabeberu. Ukianzia mifumo ya ulinzi anaotumia ni ya mabeberu, vifaa vya ulinzi kama Rada, frequency vyote ni mali zao Mavazi hizo suti kutoka Italy anazovaa, Simu, Mikanda, Viatu, Miwani, Saa vyote...
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa wataalamu wa maabara Yahya Mnung'a yupo mubashara Clouds 360 anazungumzia utafiti wa Rais Magufuli

    Anaitwa Yahya Mnung'a yuko clauds tv kwa sasa. Kaulizwa papai linaweza kuwa na corona Majibu: papai haliwezi kuwa na corona ila linaweza kuwa aliyelipeleka alilitoa wapi na limepitia katika mikono ya watu gani. Swali: je maabara yetu inaweza kuwa na hujuma na wataalamu hewa? Majibu: maabara...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Magufuli yawa "Lulu" duniani kote, Wachina na Wahindi wataka itafsiriwe kwa lugha za mataifa yao

    Haya ninayoyashuhudia kwenye mitandao ikiwa ni comments ya wana Afrika mashariki walioko sehemu tofauti tofauti duniani yanaiingiza Tanzania katika historia mpya. Kwanza watu wengi wamefuatilia hotuba ya Rais Magufuli iliyorekodiwa na kuwekwa mitandaoni. Na wengi wameusifu utafiti uliofanywa na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)

    ‪Dkt. Mhidize alikuwa Mkuu wa Hospitali ya Jeshi (JWTZ), Lugalo‬ ‪Anachukua nafasi ya Bw. Laurean Rugambwa Bwanakunu ambaye uteuzi wake umetenguliwa‬ UPDATE: 04-05-2020 Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bohari ya Dawa, Laurean Rugambwa akimkabidhi ofisi Mkurugenzi Mkuu Mpya Brig. Jen Dkt...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba ya Rais, nimepima mkojo wa binadamu kwa kutumia Kipimo cha Malaria, na Kipimo kimesoma "Negative"

    Baada ya kupima mkojo wa binadamu kwa kutumia MRDT ambacho Ni kipimo kinachotumika kupima Malaria, nilitegemea majibu yangekuwa Invalid au undetermined lakini Cha kushangaza kipimo kimeonyesha negative kwa sababu kipimo hiki hutumika kupima damu. Je kwa majibu haya Kuna uwezekano hata vipimo...
  15. JamiiForums Tanzania Rais anapata wapi mamlaka ya kuagiza Spika asilipe posho za Wabunge?

    Wakuu, ile dhana ya uwepo wa Mihimili Mitatu inayojitegemea ni DANGANYA TOTO TU. Magufuli amedhihirisha hilo leo kwa kuagiza Ndugai asilipe posho za Wabunge walioamua kujiweka "karantini". Kama Rais ana mamlaka ya kuliingilia Bunge, vipi kuhusu Mahakama? Atashindwaje kutoa maagizo yanayofanana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Mama Samia amedhihirisha anaweza kuaminika kubeba majukumu makubwa zaidi

    Huyu Mama yuko strong kwa uhalisia; TAZAMA: - Aliongoza vizuri sana Bunge la katiba. - Amekuwa anawakilisha vizuri taifa kwenye forums za kimataifa za wakuu wa nchi. - Anamwakilisha vizuri raisi kwenye mbalimbali yanayomshinda kwa sababu mbalimbali. - Kipindi hiki janga la korona hajaonekana...
  17. JamiiForums Tanzania Ni kama Rais wetu yupo 'vitani all the time' according to mind reading!

    Uzi tayari!
  18. N

    JamiiForums Tanzania Neno la Rais lina nguvu; mbuzi wachanganyikiwa mitaani

    kihehere chao kunywa maji yenye corona sasa wamestuka wanajipiga nyungu kwa kwenda mbele
  19. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, samahani mimi sijakuelewa kuhusu COVID-19 tests...

    Mh Rais sisi Watanzania pamoja na unyonge wetu nakuku amini kama Rais wetu kiukweli hatukuelewi na mimi sitaki kuwa mnafiki napenda niweke kumbukumbu sio kubishana na mwalim hapana ila kumwambia mwalim sijakuelewa. Leo umesema mlipeleka sample za mbuz?, oil,mafenesi na mapapai na vilileta...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Mbunge wa Vunjo mh Mbatia ndio mpinzani mwenye uzalendo

    Rais Magufuli amempongeza mbunge wa Vunjo mh Mbatia ambaye ni mwenyekiti wa NCCR Mageuzi kwa namna anavyofuatilia suala la Corona na kuishauri serikali. Rais Magufuli amesema mara kadhaa mh Mbatia amekuwa akimpigia simu na kumtumia Meseji za kumtia moyo katika haya mapambano. Chanzo: Channel ten!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…