rais

  1. JamiiForums Tanzania Wakili Ishabakaki: Idris Sultan anahojiwa kwa kuicheka picha ya Rais

    Mchekeshaji Idriss Sultan wa Tanzania anashikiliwa na polisi tangu Jumanne wiki hii. Wakili wa mchekeshaji maarufu nchini Tanzania Idriss Sultan ameiambia BBC kuwa msanii huyo anahojiwa na polisi juu ya 'kuicheka picha ya Rais John Pombe Magufuli'. Kwa mujibu wa wakili Benedict Ishabakaki...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

    Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
  3. JamiiForums Tanzania Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

    Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka. ====== UK repatriates 200 British nationals from Tanzania Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
  4. JamiiForums Tanzania Kwenye hili la COVID19, naweza kuona mahesabu ya Rais Magufuli. Je, tumuunge mkono?

    Wanajamvi, nimeona nianze kwanza na hako kakipande hapo juu ili niweze kwenda kwenye hoja yangu moja kwa moja! Kwanza niseme nimekuwa nikisumbuka sana na hali inavyoendele nchini, kana kwamba kiongozi mkuu na wasaidizi wake kuna jambo wao wanalifahamu lakini sisi hatulifahamu! Hata hivyo...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Magufuli kwa kumaliza mgogoro na Kenya

    Hongera Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongea na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na kisha kuumaliza mgogoro uliokuwa unataka kutokea katika mipaka yetu wa Tanzania na Kenya. Ieleweke kuwa mahusiano mazuri kati yetu na nchi majirani zetu ni kitu muhimu kiuchumi nk.Nitoe...
  7. JamiiForums Tanzania Singida: Rais Magufuli awasihi Watanzania kuchapa kazi. Corona haikuanzia Afrika na imewakoromea wote hata wale wenye uwezo

    Amewaponngeza Watu wa Singida na kufurahi mnama mkoa huo unavyopendeza. Amesema amefurahi kuona Watanzania wakiwa wandelea kuomba kuhusu #COVID19 Rais #Magufuli: Janga la #COVID19 limepungua sana pamoja na kuwa bado hailijaisha. Ndugu zangu tuendelee kuchukua hatua. Katika mkoa wa Singida...
  8. JamiiForums Tanzania Tuna imani na rais wetu Magufuli

    Kuna jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa siri nyingi zimefichwa kwenye maandishi ndio maana tunavitu vingi tunavyo lakini tunashindwa kuvitumia na waliotangulia kuyafunua hayo maandishi ndio silaha yao wanayoitumia kututumia. Tukiwa kwenye group moja la mitandao ya kijamii, Mchangiaji...
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye Burundi kuchagua Rais mpya leo, Mei 20 baada ya Nkurunziza kuongoza kwa miaka 15

    HATIMAYE Uchaguzi Mkuu wa Burundi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na jumuiya ya kimataifa, utafanyika kesho, huku ukielezwa kuwa ni mwanzo mpya wa demokrasia katika nchi hiyo iliyokubwa na changamoto mbalimbali za kukosekana utulivu wa kisiasa na kijamii. Wakati uchaguzi huo ukifanyika...
  10. JamiiForums Tanzania CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Uhuru, Je huyaoni haya

    Wafikirie wananchi wako ndugu, hali ni mbaya sana.
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anapenda kuona watanzania wakiumia?

    Wakulima wa nchi hii wanauza Mahindi, Mchele, Karanga, Machungwa kwa wingi katika miji ya Mombasa na Nairobi yaani wanategemea soko kwa 60%. Wafanyabiashara wa ng'ombe wa Tanzania ndi wanalisha nairobi na kenya nyama na wanategemea kipato kutoka Kenya. Tunauza mbao kwa wingi nchini Kenya...
  13. JamiiForums Tanzania Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Uzi huu ni mrefu. Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa. Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai amtaka Mbowe aache tabia ya kujipima ubavu na Mkuu wa nchi Rais Magufuli, aache kabisa!

    Up dates; Spika Ndugai amesema Mbowe kama KUB ni mtu muhimu sana pale bungeni na ni mjumbe wa kamati zote muhimu ikiwemo ya Uongozi, kamati ya haki, kamati ya kanuni na kamati ya bajeti. Pia kama KUB Mbowe anaruhusiwa kusimama bungeni wakati wowote na kuuliza au kushauri chochote tofauti na...
  15. JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, Haji Manara waguswa na juhudi za Rais Magufuli katika mapambano na Corona, Haji ataka Rais apewe kombe la ligi kuu ikiwezekana

    Msemaji wa Simba ndugu Haji Manara amesema hayo kufuatia hotuba ya Rais Magufuli jana, Jumapili kwamba ataangalia mwenendo wa ugonjwa wa COVID-19 nchini katika wiki hii ili kuona kama anaweza kuruhusu vyuo kufunguliwa na shughuli za michezo kuendelea. Manara amesema kuwa Simba imebakiza muda...
  16. JamiiForums Tanzania Ukakasi wa taarifa ya Rais Magufuli juu ya maendeleo ya ugonjwa wa COVID-19 nchini

    Habari ya mda huu wanajanvi! Bila kupoteza mda, kutokana na kauli iliyo tolewa na muheshimiwa Rais juu ya maendeleo ya ugonjwa wa Corona hapa nchini. Kwa mtu mwenye mtazamo mpana kimsingi ni kauli inayo pelekea mtu ajiulize maswali mengi na pengine yasiwe na majibu:- Ikiwa Rais yeye mwenyewe...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, kwa hili la COVID-19 hujengi Taifa bali unajenga chuki na hasira kwa wananchi

    Mh Rais samani I know una nguvu zote na Mamlaka ila hiki unakifanya kubeza njia za kisayansi na kupingana na watu wa afya wazi kweli unalitesa Taifa na kamwe hulijengi. Hivi kweli una apa nakujivuna as if huwoni nini kimeikumba dunia kweli basi hata kama niukweli basi kuna mambo bora usiseme...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Poleni Rais Magufuli na KUB Mbowe kwa vijana wenu kupata maambukizi ya Covid 19, Mungu ni mwema amewaponya

    Namshukuru Mungu kwa ushuhuda wa uponyaji kwa mtoto wa Rais Magufuli kadhalika mtoto wa Kiongozi wa Upinzani Bungeni mh Mbowe. Kwa mujibu wa Rais Magufuli mtoto wake alitibiwa nyumbani kwa tiba zetu za asili ikiwemo kula malimao, tangawizi na kujifukiza na Mungu wa mbinguni amemponya. Naye...
  19. JamiiForums Tanzania Waziri Ummy Mwalimu akanusha taarifa za Tanzania kufunga mpaka na Kenya

    Waziri amekanusha kwenye page yake na kusema habari hizo ni uzushi . BBC mnakwama wapi mbona mmekuwa wazushi hivi.
  20. JamiiForums Tanzania Kuendelea na shughuli zao za kawaida je Watanzania wamekubaliana na Rais wao!?

    Pamoja na janga la Covid 19 kuendelea kuukumba Ulimwengu na karibu Nchi nyingi kuwafungia wananchi wao lakini hali ni tofauti kwa upande wa baadhi ya mataifa ikiwa pamoja na Tanzania. Watanzania wengi wameendelea na shughuli zao za kawaida kama wanavyoaswa na Rais wao na inaonyesha hawana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…