rais

  1. Nani wako kwenye msafara wa Rais Dubai? Au kuna sura tunafichwa tusijue uhusiano wao?

    Rais samia ameondoka nchini kwa kificho. Hatujui anakwenda kukutana nani, atakaa siku ngapi na ameandamana na nani. Ni ajabu. Kwanini tufichwe wakati anatumia fedha zetu mbali na kutumia jina letu maana anakwenda kule eti kutuwakilisha wakati anajiwakilisha? Huu nao ni ufisadi wa kimfumo...
  2. Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  3. R

    Neno Mh Rais alilotumia Jaji Mkuu ni kumhusu Rais wa TLS Mwabukusi na si vinginevyo

    Salaam! Mh Jaji Mkuu hakukosea, na hakuteleza alliotamka neno Mh Rais. Mh Rais aliyetajwa hapo ni Mh Rais wa TLS ndugu Mwabukusi . Sasa wenye data za kuungaunga waangaliapo video,tafadhali msipotoshe umma kwa makusudi. Mh Mwabukusi ni Rais halali kabisa na alishinda kihalali kabisa. Nj hayo tu.
  4. Rais Samia Suluhu Hassan asafiri kuelekea UAE

    Samia to the World!!!!! Mheshiwa Dr. Samia Suluhu Hassani amesafiri leo tarehe 02. 02. 2026 kuelekea Falme za Kiarabu UAE. Ambapo atashiriki katika mkutano wa World Government Summit (WGS 2026) na Uzinduzi wa Global Africa Investment Summit (GAIS. Ushiriki wa Tanzania katika WGS unaakisi...
  5. PostGE2025 Rais wa TLS: Kila anayatakiwa kuwajibika awajibike kwa maslahi mapana ya Taifa letu, viongozi msizungumze kutonesha mioyo ya wananchi

    Rais wa Chama cha Mawakili Tanzania (TLS), Boniface Mwabukusi, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini 2026 yenye kauli mbiu ‘Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa’, jijini Dodoma, amegusia suala la Oktoba 29, 2025 akisisitiza kuwa kila anayepaswa kuwajibika...
  6. Rais Samia Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=Kgl17Gp9Vec Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Mgeni Rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini, 2026, yenye kauli mbiu: “Mchango wa Mahakama katika Ustawi na Maendeleo ya Taifa.” Inafanyika leo Tarehe: 2 Februari...
  7. Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana

    Hii ni mara ya kwanza nchi kupata rais anayeishi kwenye mapango na kujificha hakuwa hivi alipo ingia anajua ameuwa watu wengi sana. Ndio maana anatajwa tajwa na kina mwigulu kila siku na bunge kila siku ili kumpumbaza amekataliwa na haibadilishi kitu.
  8. Dr Ashraf Marwan: Mkwe wa Rais wa Misri aliyegeuka kuwa Jasusi wa Mossad.

    Kama ungebahatika kutembelea jiji la Cairo hususani siku ya tarehe moja mwezi wa saba mwaka 2007, ungegundua ni siku na mwezi ambapo hali ya hewa ilikuwa ni joto kali sana kiasi kwamba muda wote ungekuwa unatokwa na jasho. Mitaa mingi ya mji wa cairo ikiwa ina msongamano ndivyo ilivyozidi...
  9. MSUTI wa katibu mkuu wa MAKAMU wa Rais kama wa Mzee wasira

    Mzee mbona MSUTI ni oversize?
  10. UJENZI wa OFISI ya MAKAMU wa Rais jengo kama hekalu la mfalme ni matumizi mabaya ya fedha, mtu WA mazingira OFISI ya Nini? Nchimbi hakupanda mti juzi?

    Ile OFISI inayokarabatiwa ya MAKAMU wa Rais ni kuchezea fedha za UMMA, MAKAMU wa Rais Tanzania ni OFISI ya kutulizia mijitu nguri michokonoko dhidi ya WENZAo ndio maana kupewa KAZI zinazo usu mazingira TU Sasa mtu WA mazingira OFISI kama Ile ya Nini? Nchimbi kwa Nini hakupanda miti juzi?
  11. Rais Samia akizindua Mpango Mkakati wa KKK kwa Watoto wa Awali, Darasa la I na II

    https://www.youtube.com/live/6AuU7vpGdDs
  12. L

    Wanaofikiria kumhujumu na kumkwamisha Rais wetu wanajisumbua

    Ndugu zangu Watanzania, Nawapeni tu taarifa ya kuwa kama kuna mtu ama watu ama kikundi cha watu iwe ni ndani ya Nchi ama kutoka nje ya Nchi kinachoweza kuwa na mawazo ama Dhamira ya kumhujumu Rais wetu na Kumkwamisha Rais wetu Mpendwa katika kulitumikia Taifa letu. Ni lazma wafahamu ya kuwa...
  13. Ado Shaibu: Vyombo vya dola vifanye uchunguzi wa kina, vijiridhishe kama waliokamatwa Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru kama alivyoahidi Rais

    Mbunge wa Jimbo la Tunduru Kaskazini kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amezitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi pamoja na Wizara ya Katiba na Sheria kufanya uchunguzi wa kina ili kujiridhisha kama watu wote waliokamatwa katika matukio ya Oktoba 29, 2025 wameachiwa huru, kama...
  14. Kumbukizi: Hayati Rais Magufuli alivyookoa mamilioni ya kupeleka ndege nje kwa ajili ya kuchorwa

    Hayati Rais Magufuli, Machi 28, 2019 alifanya ziara ya kustukiza kwenye karakana za Shirika la Ndege nchini (ATCL) kukagua ukarabati wa ndege ya serikali iliyopakwa rangi kwa gharama nafuu takriban Tsh milioni 5 ikilinganishwa na gharama zilizopaswa kwenda kutumika nje ya nchi kiasi cha zaidi...
  15. K

    Rais wa Botswana anawaheshimu wananchi waliomchagua awatumikie

    Kauli ya ilituendelee tunahitaji vitu.... Je tumefeli wapi?
  16. Prof. Shemdoe aongoza Watumishi TAMISEMI kupanda miti kuadhimisha Siku ya Kuzaliwa Rais Dkt. Samia

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM -TAMISEMI), Mhe. Prof. Riziki Shemdoe amewaongoza viongozi na watumishi wa ofisi hiyo, kupanda miti katika viwanja vya OWM- TAMISEMI Mtumba, ikiwa ni ishara ya kumuunga mkono Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...
  17. S

    Asenga aibua ishu ya mtoto wa Rais Samia kupewa unaibu waziri - Sakata la Abdul - ''NONGWA TU''

    https://youtu.be/A9g01IWawAs?si=MpgoXABf4N-5Efu-
  18. Saasisha Mafuwe: Rais Samia hajawahi kuwa mnyonge, ni shupavu kweli

    Wakati wa kujadili hotuba ya Rais Samia, Mbunge wa Jimbo la Hai mkoani Kilimanjaro, Saasisha Mafuwe (CCM), akitoa taarifa Bungeni kuweka sawa kauli ya Mhe. Ester Bulaya (CCM) kauli ya ''Mnyonge mnyongeni na haki yake mpeni'' na kusema Rais Dkt Samia ni shupavu na hajawahi kuwa mnyonge.
  19. Anne Kilango: Watanzania tujue Rais Samia anaongoza Taifa kubwa sana Afrika Mashariki

    Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Anne Kilango, akichangia mjadala wa hotuba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka Watanzania kufahamu kuwa Rais anaongoza taifa kubwa na lenye idadi kubwa ya watu Afrika Mashariki.
  20. Rais Samia: Leo mtoto akitaka Pera lazima akalinunue sokoni sisi tulikuwa tunapita tu uko msituni na tunakula

    Rais Samia amesema kuwa ni wajibu wa kila Mtanzania kuhakikisha anapanda mti kwa lengo la kurudisha uoto wa asili na kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi ili kuweza kuacha urithi kwa vizazi vijavyo. Akizungumza wakati wa zoezi la upandaji miti katika siku yake ya kuzaliwa leo Januari 27...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…