rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

    Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake. Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
  2. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
  5. JamiiForums Tanzania Makundi ya kijamii yanayompa Ushindi Rais Magufuli 2020

    Siasa ni Sayansi na uwekezaji kwa jamii. Rais Magufuli na Chama Chake cha CCM wanaijua vyema Siasa na kwa uhakika waliweka mazingira tofautitofauti ya kuhakikisha makundi yote ya kijamii yanaiunga CCM. Nitaanisha Makundi kadhaa ambayo CCM imeweza kuyapoka kutoka upinzani na Makundi...
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wapinzani na Utekelezaji wa Sera ya Wagawanye Uwatawale (Divide & Rule Policy)

    Wanabodi, Historia ni somo la muhimu sana kwani linatuonesha ni wapi tulipotoka, tulipo na kutuwezesha kupanga na kutabiri kesho yetu. Wakoloni walipokuja Afrika hawakuja moja kwa moja. Walikuja kwa hatua, kwa kuwatanguliza wamishionari, wapelelezi na wafanyabiashara. Hawa walipeleleza tabia...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli aingilia kampeni za Tundu Lissu Kazuramimba Kigoma

    Wakati Tundu Lissu akiwa uwanjani huko Kazuramimba Kigoma amepita Rais Magufuli akasimama barabarani na kufanya mkutano karibu kabisa na alipo Tundu Lissu ambapo ameahidi kutoa milioni 10 siku chache zijazo. Kwa mujibu wa ratiba ya tume, Magufuli leo hapaswi kuwepo Kigoma kwa ajili ya kampeni...
  8. JamiiForums Tanzania GE2020 Kigoma: Mgombea Makamu wa rais CUF, Bi Hamida Huweishi agawa kadi kwa Vijana wa Uvinza, Nguruka

    MGOMBEA WA MAKAMU WA RAIS, BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI AGAWA KADI KWA VIJANA WA UVINZA TARAFA YA NGURUKA MKOANI KIGOMA Makamu wa rais, Bi. Hamida Abdallah Huweishi amefika katika tarafa ya nguruka na kuzungumza na wananchi wa nguruka na kuwaomba ifikapo tarehe 28,octoba wasifanye makosa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka Lindi: Yaliyojiri uzinduzi wa Kampeni za Chama cha ACT-Wazalendo

    Kampeni zinaendelea na leo Chama cha ACT-Wazalendo wanazindua kampeni zao Lindi, wagombea wote kwa upande wa Jamhuri na Zanzibar wameshawasili uwanjani na kwa sasa kikundi cha burudani kutoka Lindi kinatoa burudani ya utangulizi. Tuwe pamoja kujuzana yatakayojiri. ===== Maalim Seif: Nasema...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Moja ya mambo mazuri aliyofanya Rais Magufuli kuhusu kodi

    Wakati Rais Magufuli anaingia madarakani mwaka 2015, kodi ya majengo (property tax) iliyokuwa inatozwa kila mwaka na serikali za mitaa (LGA) kwa kila nyumba/jengo ilitegemea thamani ya nyumba. Kodi hiyo ilitozwa kwa asilimia 0.1. Hivyo watu wote wenye nyumba/majengo mijini katika maeneo...
  11. JamiiForums Tanzania GE2020 Wananchi wa Kijiji cha Mpeta, Tarafa ya Nguruka, Wilayani Uvinza, Kigoma wasimamisha msafara wa Bi. Hamida Abdallah Huweishi

    WANANCHI WA KIJIJI CHA MPETA TARAFA YA NGURUKA WILAYANI UVINZA MKOANI KIGOMA WAMESIMAMISHA MSAFARA WA MAKAMU WA RAIS, BI. HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI NA KUELEZA CHANGAMOTO ZAO KATIKA TARAFA YA NGURUKA. TUSIFANYE MAKOSA IFIKAPO OCTOBA 28,2020 TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII TUPATE...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu anastahili kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA lakini siyo Rais wa Tanzania

    Nimefuatilia kwa karibu harakati za wakili msomi Tundu Lisu tokea aingie nchini kutoka Ubelgiji hadi sasa anapogombea urais wa JMT. Kiukweli ingependeza sana kama Tundu Lisu angekuwa ndiye mwenyekiti wa CHADEMA kwa sababu anamzidi sana Freeman Mbowe kimaarifa na kwa kukubalika. Lakini kwa...
  13. JamiiForums Tanzania KIGOMA: Rais wa Burundi, Evariste Ndaishimiye apokelewa na Rais Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika, asema ana uhakika Dkt. Magufuli atashinda uchaguzi

    Leo Rais wa Burundi, Evarist Nditiye amewasili nchini kwa ziara ya kiserikali na anapokelewa punde na Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma. 3:30 Asubuhi: Rais Magufuli ameshaingia uwanjani, kwa sasa wasanii kadhaa wanatoa burudani...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anajaribu kuifutia CCM dhambi zake

    Tanzania ilipata Uhuru kutoka kwa mkoloni miaka karibu miaka 60 iliyopita. Miaka 60 Ni mingi sana, inatosha kwa wananchi wote kupatiwa maji, umeme, viwanda, hospitali, shule, mabwawa ya umeme na umwagiliaji, reli, barabara kutokana na wingi wa rasilimali zilizoko nchini. Kwa miaka 60 CCM...
  15. JamiiForums Tanzania Kigoma: Rais Magufuli kupokea ugeni wa kiserikali wa Rais wa Burundi, Mh. Evariste Ndayishimiye

    Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, CP Thobias Andengenye anapenda kuwaarifu wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt John Pombe Joseph Magufuli kesho tarehe 19.09.2020 atapokea ugeni wa kiserikali, wa Rais wa Burundi, Mh. Evariste Ndayishimiye, ambaye atafanya ziara...
  16. JamiiForums Tanzania Kama tulikuwa na makamu wa Rais wawili, kwanini tusiwe na wakuu wa shule (Headmaster) wawili wawili kuongeza promotion na udhibiti wa shule?

    Kusema ukweli mwalimu mpaka aje kuwa headmaster ni ngumu sababu wapo wengi na mpaka mkuu wa shule aje kustaafu ina maana na mwalimu wa kawaida anastaafu. Sasa kwanini kila shule isiwe na wakuu wawili wanapeana majukumu, mmoja akisimamia taaluma mwingine anasimamia fedha za shule na miradi. Hiyo...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa Mheshimiwa Rais baada ya Uchaguzi

    Mimi kama Mtanzania mzalendo na mpenda maendeleo, katika kuunga mkono juhudi za maendeleo kwa Taifa. Ningependa kutoa rai kwa Mh Rais pindi atakapochaguliwa kwa mara ya pili kuelekeza nguvu zaidi katika miradi mikubwa anayo itekeleza hasa hasa mradi wa umeme na reli ya kisasa. Kwani endapo...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  19. JamiiForums Tanzania Mgombea Dkt. John Magufuli kuna wakati anamlaumu sana Rais John Magufuli

    Katika kpindi hiki kigumu kuna maajabu mengi sana yanaendelea kutokea. Kwa kiasi kikubwa chanzo cha maajabu yote haya ni huyu Tundu Lissu. Mfano wa maajabu ni suala la bei ya umeme. Kule Kigoma mgombea wa CCM Dkt.Magufuli amemlaumu na kumshangaa Rais Magufuli kwa kushindwa kuweka ahueni ya...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba (Ilolangulu): Nichagueni niwe Rais wa nchi hii ili niweze kutokomeza njaa kwa wote na kuhakikisha lishe bora kwa wajawazito na watoto

    NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII ILI NIWEZE KUTOKOMEZA NJAA KWA WOTE NA KUHAKIKISHA LISHE BORA KWA WAJAWAZITO NA WATOTO "PROF.LIPUMBA"ILOLANGULU AKIPITA KUSALIMIA. Nitahakikisha kuwa kila mwananchi anakuwa na uwezo au kuwezeshwa kupata milo mitatu kwa siku. Hatua za makusudi zitachukuliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…