rais

  1. JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na Mgombea Urais wa Tanzania Tundu Lissu, wahakikishieni watumishi wa Umma usalama wa ajira zao

    Wana JF; 1. Jana nilitupia uzi humu nikichambua mikakati ya CCM ya kujipatia ushindi haramu ktk uchaguzi mkuu huu nje ya ballot box kwa kuwatumia watumishi wa umma; walimu, manesi, madaktari wetu, polisi, TISS, DEDs, DCs na maRCs. 2. Mpaka sasa mgombea wa CCM, John Pombe Magufuli anaamini...
  2. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Huu utaratibu wa Halima Mdee na Lema kutumia sauti zilizorekodiwa za Rais Magufuli na Askofu Gwajima haukubaliki

    Lema katika kampeni zake amerekodi sauti ya Rais Magufuli wakati anamtumbua Mrisho Gambo na anawasikilizisha wananchi huku akiwashawishi kuwa Gambo hafai kuwa Mbunge. Halima Mdee naye kwenye gari lake la matangazo ya kampeni anarusha sauti ya askofu Gwajima akiponda vyeo vya uwaziri na ubunge...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gamanywa: Nimefanya utafiti wa soko la almasi na Tanzanite huko Ulaya, tumeibiwa sana Rais Magufuli ni Mwokozi

    Askofu Gamanywa amesema Tanzania imeletewa Rais Magufuli na Mungu ili aikomboe kutoka mikononi mwa mabeberu. Gamanywa amesema baada ya kufanya utafiti huko Ulaya amegundua mabeberu wametuibia sana na Rais Magufuli ameletwa na Mungu kuja kutuokoa watanzania. Gamanywa alikuwa katika majadiliano...
  4. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu anapouaminisha Umma kuwa atakuwa Rais bora kupitia hulka za mtu aliyesomea Sheria

    Kwanza nikiri wazi kwamba mtaji wa siasa ni maneno matamu, lakini siasa ni adui mkubwa wa ufahamu na nirafiki wa shetani, mwanasiasa si wa kumwamini 100% kwa sababu siasa ndio chanzo mabaya yote duniani. Tokea nimemfahamu mtu aitwaye Tundu Lissu nimejifunza kitu baada ya kufuatilia watu...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas azungumzia Ukomo wa Serikali kwenye Uchaguzi. Rais yupo hana ukomo na Mawaziri wapo ila wana ukomo

    Wanabodi, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas yuko Live on Times FM, 100.5, Azungumzia kuhusu ukomo wa Serikali wakati wa Uchaguzi, Rais wa JMT yeye yupo, in full, hana ukomo, pia mawaziri bado wapo ila wao wana ukomo!, hawaruhusiwi kutoa ahadi za kiserekali, na siku rais mpya...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Lipumba akiwa Kigoma Kaskazini: Nikiwa Rais nitaimarisha mazingira ya uwekezaji, kufanya biashara na ujasiriamali

    NIKIWA RAIS NITAIMARISHA MAZINGIRA YA UWEKEZAJI,KUFANYA BIASHARA NA UJASIRIAMALI"PROF.LIPUMBA" KIGOMA KASKAZINI Mazingira ya kufanya bishara Tanzania ni magumu sana. Kwa mujibu wa Ripoti ya Benki ya Dunia ya mazingira ya kufanya biashara ya mwaka 2020 – (Doing Business 2020), Tanzania ni nchi...
  7. C

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kaliua, Tabora: Dkt. Magufuli aeleza sababu za Kapuya "kukatwa" na Kamati kuu ya CCM, asema amechoka amuachie kijana. Kaliua inahitaji spidi mpya

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, John Magufuli ameweka bayana sababu za aliyewahi kuwa Waziri wa Elimu, Juma Kapuya kukatwa na Kamati Kuu ya CCM ingawa aliongoza kwenye kura za maoni za ndani ya chama na badala yake akapewa nafasi ndugu Aloyce Kwezi. "Kwenye mchakato...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Rais Alpha Conde wa Guinea amchochea makonde Waziri

    Rais wa Guinea Alpha Conde amemchochea makonde Waziri hadharani kwa kile alichodai Waziri kampiga hela za kununua barakoa. Mwingine nae kajenga daraja bovu nae kala konde, safi sana.
  9. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Rais Magufuli aliwahi kusema kuwa wapinzani hawana ilani, leo ameanza kutaja kurasa za ilani ya CHADEMA na kuzitolea ufafanuzi (Soma hapa)

    "Niliposikia wenzetu eti watagawanya nchi hii vipande vipande nilishangaa sana, tulipopata uhuru Baba wa Taifa alituweka pamoja kwa maana ya kwamba umoja ni nguvu, unapomsikia mtu anasema akipata madaraka atagawanya vipande, jua wanapotaka kutupeleke siko" Dkt. Magufuli "Kusema kila jimbo...
  10. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Sio hongo, mimi bado ni Rais, natangaza tenda ya barabara za mjini Itigi KM 10

    Mgombea wa Urais wa JMT kupitia CCM, Dkt. Magufuli Dkt. Magufuli anaendelea na kampeni na leo yuko Itigi mkoani Singida. Magufuli akiwa na Mwigulu na wanaCCM wakiserebuka Akiwa huko akaongelea uzuri wa nyumba za Singida na kusikitika zinavyopigwa vumbi ndipo ghafla akaitwa meneja wa Tanroad...
  11. JamiiForums Tanzania Ningekuwa Rais Magufuli, ningetangaza Machifu na Watemi wanaojulikana waanze kulipwa mshahara wa Tsh.laki nne kila mwezi

    Ukipiga hesabu laki NNE Mara mikoa ishirini na tank ni tsh milioni kumi,ndogo sana kwa serikali kwa kila mwezi kuwalipa mishahara. Ningefanya hivyo kwa sababu machifu hawana chanzo cha mapato kama watumishi wa Mungu Ila wanatunza tamaduni na mila zetu,pia wanatuepusha na balsa na mikosi kwa...
  12. JamiiForums Tanzania GE2020 Ni kwanini 'Ajira' za kuwa Mshauri Mkuu wa Rais/Kampeni Meneja wa Mgombea Urais nchini Tanzania huwa hazitangazwi wengine tuziombe?

    "Ni mara chache sana kukuta watu wamefurika hivi tena asubuhi saa 2, wenzetu kule wanajua kuchakata, wanatumia picha za miaka ya zamani waonekane wamejaza watu kwenye kampeni zao, waje wajionee kwenye kampeni za CCM watu walivyofurika, hongereni sana." - Dkt. Magufuli, Igalula. Kwa haya...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Wenzetu kule wanachakata picha ili waonekane wamejaza watu kwenye mikutano yao, waje waone kwetu

    Hayo kayasema asubuhi hii Tabora
  14. JamiiForums Tanzania GE2020 ACT-Wazalendo wamuunga mkono Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu

    RASMI: ACT-WAZALENDO YAMUUNGA MKONO MGOMBEA URAIS WA CHADEMA Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo Taifa, Maalim Seif Sharif Hamad ametangaza chama chao kumuidhinisha Mgombea wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa mgombea wao wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maalim Seif ameyasema hayo saa chache...
  15. JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Vitambulisho vya Machinga sio lazima, acheni uongo

    Mgombea Urais kupitia CCM Dkt John Magufuli amesema, watu wanazusha kwamba Machinga wanalazimishwa kuwa na vitambulisho, sio kweli. Vitambulisho sio lazima. ''Vitambulisho havilazimishwi ni lazima itolewe elimu kwa wanaoshiriki kwenye vitambulisho ili wakafanye bishara mahali popote, tunataoa...
  16. JamiiForums Tanzania Ni 'Mpuuzi' gani 'alimdanganya' Mzee Stephen Wassira kuwa Tundu Lissu anataka kuwa Rais wa Tanzania kwakuwa tu alipigwa Risasi Dodoma?

    "Kuna watu wanagombea urais nimewasikia mwingine anasema ameonewa sana 'nimepigwa risasi', hiyo kupigwa risasi ni jambo baya lakini sio kila anayepigwa risasi anafaa kuwa rais, vinginevyo watu wote wangetamani kupigwa risasi ili wawe marais." - Stephen Wasira. globalpublishers Nyie Watoto wa...
  17. JamiiForums Tanzania GE2020 Hatimaye CCM na mgombea wao waanza kutumia chopa kama usafiri wa kampeni

    Hatimaye Chama Cha Mapinduzi kimeamua kuanza kutumia chopa kama sehemu ya usafiri wa kampeni zake. Chopa hiyo itaanza kutumika kwenye nusu ya pili ya harakati za kampeni kuelekea October 28,chopa hiyo yenye usajili wa 5Y-HSN imekodiwa toka nchini Kenya kwa mmoja wa wanasiasa na mfanyabiashara...
  18. JamiiForums Tanzania GE2020 Mwenyekiti wangu CCM Taifa, Rais Dkt. Magufuli tafadhali achana na Kauli kama hii katika 'Kampeni' zako kwani zinakuharibia na zinachanganya

    "Leo tutakubaliana?, kwa sababu siku nyingine huwa nawaeleza halafu hamfuati,niliwaambia mnichague mimi mkasema sawa, nikawaambia mnichagulie na mbunge wa CCM hamkunichagulia, nataka niwaeleze ukweli wala siwafichi asingekuwa Kapuya hii barabara nisingeijenga, mambo ndivyo yanavyokwenda...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anzisha television ya Chama cha Mapinduzi CCM kwa sababu kuu tatu au nne muhimu zifuatazo ..

    Utangulizi;kuna Mali za Serikali na Mali za chama,Chanel ten na TBC In Mali ya serikali. 1.itakuwa inaonyesha hotuba mbalimbali za marais waliotangulia na viongozi wengine. 2.Maisha binafsi ya viongozi baada ya kustaafu. 3.Mambo mbalimbali yaliyofanywa na viongozi ktk kuleta maendeleo. 4.Nyimbo...
  20. JamiiForums Tanzania GE2020 Bi. Hamida: Tumchague Prof. Lipumba awe Rais na mimi niwe Makamu wa Rais tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." KASULU, KIGOMA. Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…