rais

  1. JamiiForums Tanzania Wazungu wanajua kuwa Tanzania sasa inae Rais sahihi

    Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema NO kwa ushauri wa kijinga wenye haara nyingi kwao waliokuwa wakipewa wa wazungu. Walishindwa kusema...
  2. J

    JamiiForums Tanzania UBUNGO: Rais Magufuli afungua daraja la juu la Kijazi (Kijazi Interchange)

    Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. === MATUKIO MBALIMBALI YALIYOJIRI: Rais Magufuli amewasili Ubungo tayari kabisa kufungua barabara za...
  3. JamiiForums Tanzania Tunatekeleza maelekezo ya Rais kwa vitendo, barakoa za mabeberu zina mapandikizi ya COVID19

  4. JamiiForums Tanzania Ujasiri wa Rais Magufuli juu ya janga la korona katika ulimwengu wa roho

    Awali ya yote napenda kutoa salamu za dhati kabisa kutoka katika kina cha nia yangu kwenu nyote nikiwa na uhakika salamu hii itapokelewa na kila mtu atakayesoma andiko hili na kuruhusu kuelewa zaidi ya uelewa ulivyo. Natamani sana andiko langu niliweke katika lugha ambayo itamfanya kila mmoja...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Prof. Nyagori: Rais Magufuli yuko sahihi kulinda raia wake, barakoa zinaweza kutumiwa na magaidi kusambaza virusi vya corona

    Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo na yale nyemelezi katika taasisi ya Jakaya Kikwete Prof Nyagori amesema magaidi au watu wenye nia ovu wanaweza kutumia barakoa kusambaza virusi vya Corona. Akihojiwa na Salim Kikeke wa BBC Prof Nyagori amesema kiongozi yoyote duniani mwenye nia ya dhati ya...
  6. JamiiForums Tanzania ACT Wazalendo au Rais wa Zanzibar ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais?

    Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais? Twende kikatiba zaidi, Ibara ya 39(1)(2)inasema. 39.(1) Kutakuwa na Makamo Wawili wa Rais ambao watajuilikanakama Makamo wa Kwanza wa Rais...
  7. JamiiForums Tanzania Ngurumo: Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu

    Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu Ansbert Ngurumo | 21st February 2021 Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini mambo machache ambayo ni muhimu kuyajadili kwa ufupi. Nitadokeza mambo 10 tu. Kwanza, Magufuli...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Museveni: Mungu ana kazi nyingi, hawezi kuwa tu hapa Uganda akiwaangalia wajinga

    Mseven adressing the nation ====== Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi nyingi na hawezi kuwa Uganda tu akiwaangalia wajinga Ameongeza kuwa Mungu amewalinda na hakuna kifo...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais ndiye kiongozi mkuu wa nchi tumempa nafasi tumwache afanye kazi yake, kelele za nini?

    Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza taifa letu. Watu tusijifanye tunajua sana kuhusu corona kiasi cha kuona kama rais na serikali...
  11. JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Watanzania endeleeni kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Korona. Sijazuia matumizi ya Barakoa!

    Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
  13. K

    JamiiForums Tanzania Covid-19: Huu mgomo wa Umma kwa Rais wao utaliponya Taifa

    Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume. Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona maana tutatishwa sana. Kilichopo ni changamoto ya kupumua ambayo dawa yake ni kujifukizia, kufanya kazi...
  14. JamiiForums Tanzania Nani anafaa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi baada ya kifo cha Balozi John Kijazi?

    Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu. Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia. Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo. Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
  15. JamiiForums Tanzania Robert Amsterdam awalalamikia Jumuia ya Madola kuhusu Rais Magufuli kukataa Corona ipo

    ''Wiki hii kampuni yetu imewasilisha barua ya nyongeza kwa malalamiko yetu mbele ya jumuia ya madola. Kukataa kwa uzembe kwa Magufuli juu ya janga la COVID-19 inawakilisha ukiukaji wa haki za binadamu chini ya Azimio la Harare. ''
  16. J

    JamiiForums Tanzania Father Dkt. Kitima: Tunakubaliana na Rais Magufuli kwamba tumuombe Mungu na tuchukue tahadhari za kisayansi dhidi ya Covid 19

    Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za kisayansi dhidi ya ugonjwa wa Corona. Father Kitima amesema ni vema wananchi wakachukua tahadhari zote...
  17. JamiiForums Tanzania Tamko la Tanganyika Law Society(TLS), Juu ya Wimbi la Pili la Mlipuko wa Ugonjwa wa Korona nchini

    TAARIFA KWA UMMA Ndugu Watanzania, TAMKO LA TLS JUU YA KUWEPO KWA WIMBI LA PILI LA UGONJWA WA KORONA NCHINI Mnamo tarehe 13 Februari 2021 Baraza la Uongozi la TLS lilikutana kutekeleza majukumu yake na moja ya ajenda ya kikao hicho ilikuwa ni umuhimu wa TLS kuitaka Serikali kutoa tamko...
  18. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Rais aliyepaswa kuongezewa muda

    Kama Tulikuwa Na Lengo La kuongeza Muda wa Rasi kukaa madarakani Tungemuongezea Huyu Mzee, Ni Moja kati Ya Watu Wanaojali Utu Mpaka muda huu angehakikisha ma kundi maalum yameshapata chanjo bora ya covid na si bora chanjo.
  19. JamiiForums Tanzania Kiti cha Rais kinatatua shida za wananchi kwa kutumia mamlaka ipi?

    Mimi hadi sasa sielewi mambo yanavyo kwenda. Naona JP anachapa injili balaa, sasa najiuliza athiest mmekubali kiongozi mliyemchakua asimame mbele yenu na kunena habari za Yesu kristo ? Na kumekua na mvutano sana watu ubishana ni dini ipi inamuabudu Mungu wa kweli ? Kama kiongozi wetu...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

    " Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli. Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…