rais

  1. JamiiForums Tanzania Ushauri: Rais Samia Suluhu Hassan iga mfano wa Angela Merkel

    Mama Rais anayengojea kuapishwa. Kwanza salamu. Tanzania inakujua na kukuamini tokana na uchapakazi na uzalendo wako. Hata hivyo, una kazi kubwa kuvaa viatu vikubwa vya marehemu Magufuli. Si haba. Unaweka historia kwa mara ya pili. Mara ya kwanza ulichaguliwa makamu wa kwanza mwanamke nchini...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Je, Walinzi wa Rais aliyefariki huhamia haraka kwa Makamu ambaye atakuwa Rais au ndiyo itakuwa imeshakula kwao?

    Kweli nimeamini kufa kufaana na kwamba Mafanikio yako kwa muda fulani yasikufanye ukawadharau wa chini yako kwani huenda nao Siku Moja wakawa juu na Wewe ukawa chini yao. Kutesa kwa zamu na sasa ni zamu ya Walinzi Wengine waliokuwa Wakichekwa na waliokuwa Juu yao na Kutanua na Boss wao...
  3. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe atuma Salamu za rambirambi kufuatia Msiba mzito wa Rais Magufuli

  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Katiba inaposema sifa za mgombea Urais ni kuwa na afya njema, msilidharau hili

    Kazi ya Urais ni majukumu mazito. Katiba inaposema sifa ni Mtanzania mwenye afya njema hiki ni kipengele muhimu sana. Uchovu wa kazi unaweza kupelekea kutokuwa na muda wa kuangalia afya yako binafsi na kusababisha madhara makubwa ya afya. Ningeshauri wagombea wawe wanafanyiwa upimaji wa afya...
  5. JamiiForums Tanzania Iyumbu, Dodoma: Rais Magufuli aagiza ardhi iliyotengwa na Serikali ili kuzika Viongozi kurudishwa kwa wananchi. Asema yeye atazikwa Chato

    Baada ya Mh. Rais kuzindua tawi la benki ya CRDB la LAPF Dom, sasa TBC1 wako live katika sherehe za uzinduzi wa mradi wa nyumba za makazi wa Iyumbu, Dodoma. Anazindua nyumba 150 za mradi wa Shirika la nyumba la Taifa (NHC) zilizopo Iyumbu, kata ya Iyumbu Mkoani Dodoma...
  6. JamiiForums Tanzania Rwanda yatangaza maombolezo hadi Rais Magufuli atakapozikwa

    Rais wa Rwanda, Paul Kagame, ametuma salamu za rambirambi kwa Tanzania kwa kuondokewa na Rais John Magufuli aliyefariki Machi 17 Pamoja na salamu hizo Rwanda imetangaza kuwa na siku za maombolezo ambapo bendera ya Taifa la Rwanda na Bendera ya Umoja wa Afrika Mahsriki itapepea nusu mlingoti...
  7. JamiiForums Tanzania Tulizeni Mioyo Watanzania: Taifa liko Salama Mikononi mwa Mama Samia Suluhu Hassan

    Naomba kuwapa pole Watanzania wenzangu kufuatia msiba huu mkubwa wa Taifa letu. Kifo cha Rais John J. P. Magufuli kumeacha ombwe na pia mafunzo kwa maisha yetu sote. Nimepokea kwa masikitiko makubwa msiba huu. Vyovyote vile ilivyo, kama nilivyowahi kusema huko nyuma hakuna ombwe la uongozi...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenyatta aihutubia Kenya msiba wa Magufuli, atangaza siku saba za maombelezo na bendera nusu mlingoti

    Leo Rais wa Kenya amelihutubia Taifa la Kenya juu ya kifo cha Rais Magufuli na kutoa pole kwa mama Janeth Magufuli na watanzania. Amesema anakumbuka ziara ya Rais Magufuli nchini Kenya na kwa pamoja wakafungua barabara inayoitwa 'Seven Bypass' na kwake binafsi anaikumbuka heshma kubwa...
  9. JamiiForums Tanzania Nimemsamehe aliyekuwa Rais wa Tanzania John Magufuli lakini sitomsahau kwa yote aliyonifanyia

    Inawezekana ningekuwa na chuki kiasi kikubwa sana kutokana na mambo mbalimbali ambayo aliyatenda au nena Mh. Rais alipokuwa Madarakani. Kwa njia moja au nyingine yalitesa na kuumiza watu wangu wa karibu na mimi mwenyewe pia. Lakini inapofikia mtu akawa mgonjwa mahututi akiwa kitandani hana...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya wanafanya propaganda chafu kwenye msiba wa Rais Magufuli

    Nimeangalia KTN News usiku wa leo, kweli Kenya wanafanya coverage kubwa sana kwenye msiba wa Rais Magufuli usiku kucha. Wamebase kwenye negative tu za Rais Magufuli kiasi hakuna jema kabisa. Kwanza wanaaminisha dunia kuwa Magufuli hajafariki kwa ugonjwa wa moyo ila ni Covid-19. Kwa station...
  11. JamiiForums Tanzania Salamu za rambirambi kutoka kwa viongozi, ofisi na watu mashuhuri Kufuatia kifo cha Rais Magufuli

    WAZIRI MKUU WA UINGEREZA Boris Johnson ameandika kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter kusikitishwa na taarifa za kifo cha Dkt. John Magufuli RAIS WA BENKI YA MAENDELEO YA AFRIKA Dkt. Akinwumi "Akin" Adesina ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Rais Magufuli kupitia ukurasa...
  12. JamiiForums Tanzania Kisheria, kifo cha Rais hutakiwa kuombolezwa siku 21 na sio siku 14

    Sheria ya mazishi ya viongozi inasema, endapo Rais aliyekuwa madarakani akifariki dunia, na baada ya Makamu wa Rais kupata taarifa rasmi zilizothibishwa atatakiwa kutangaza kifo kwa mujibu wa taratibu. Sheria inamtaka Makamu wa Rais atangaze maombolezo ya siku 21 ambapo bendera itapepea nusu...
  13. JamiiForums Tanzania Kufuatia kifo cha Rais Magufuli, CHADEMA yaahirisha Mkutano wake na Waandishi wa Habari uliopangwa kufanyika Makao Makuu ya chama

    Ndugu Mwandishi wa Habari tafadhali zingatia tangazo hili kutoka CHADEMA . CHADEMA
  14. G

    JamiiForums Tanzania Rais anapofia madarakani, utaratibu ni upi kwa sheria za nchi yetu?

    Ningependa kujua ikiwa ikatokea bahati mbaya amefariki katika ajali au namna yoyote iwayo, nani ateyeshika nafasi ya uongozi wa taifa letu? ====== 37(5) Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, kujiuzulu, kupoteza sifa za uchaguzi au kutomudu kazi zake kutokana na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania KASHFA: Polisi wa Buguruni Dar, wadaiwa kudhulumu kilo 800 za nyama na kugawana

    Wafanyabiashara wa nyama za mafungu huko Vingunguti wamelalamikia kitendo cha Bodi ya nyama kukamata nyama zao na kuzipeleka kituo cha polisi Buguruni ambako badala ya kuiteketeza waligawana na kubakiza makongoro. Akiongea katika eneo la tukio Meya wa Jiji la Dar es Salaam mh. Kumbilamoto...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu. Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena. Rais Magufuli...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, vunja vunja Wizara hii katika uchapakazi wako Ikulu

    Baada ya ukimya na kutoonekana kwa JPM kama ilivyo kawaida yake, Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amewatoa hofu Watanzania, "Rais ni mzima bukheri wa afya na anachapa kazi Ikulu". Naye Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan akasema, "nchi iko salama, tushikamane kuliko wakati wowote." Kwa kauli hizi...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi wanyonge wa Chasimba Wazo wampinga Waziri Lukuvi wamwomba Rais Magufuli aingilie kati na kuwasaidia

    Wananchi wanaoishi mtaa wa Chasimba na Chatembo eneo la Wazo Tegeta wamemwomba Rais Magufuli aingilie kati mgogoro wao na kiwanda cha Cement na kuwasaidia. Wananchi hao wamesema uamuzi wa waziri wa ardhi wa kuwataka kumlipa mzungu tsh 6400 kwa kila mita moja ya mraba kufidia maeneo yao ya...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame afanya mabadiliko makubwa ya uteuzi wa Magavana wa Majimbo nchini Rwanda

    Rais Kagame amefanya mabadiliko hayo kwa mujibu wa mamlaka aliyokabidhiwa na Katiba ya nchi hiyo. Wapo waliotumbuliwa na wapo waliohamishwa. Orodha kamili imeambatanishwa kwa ufafanuzi zaidi
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Zuio la mahindi kuingia Kenya, ni kwasababu makamu wa Rais anataka soko la mahindi yake

    Makamu wa Rais wa Kenya, William Ruto, amedaiwa kuwa na shamba la mahindi hekari 500,000 nchini DR Congo, ambapo ametumia nguvu yake kisiasa kupata uhakika wa soko la mahindi yake Baadhi ya wabunge wa DRC wamethibitisha hilo. Ili kupata soko la mahindi alilazimika kuzuia mahindi kutoka Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…