rais

  1. Iko wapi zawadi kutoka mwezini tulipewa na rais Richard Nixon

    Baada ya misheni ya kwanza ya Apollo 11 kufanikiwa, Rais Richard Nixon alituma zawadi kwa mataifa 135 duniani, ikiwemo Tanzania. Zawadi hii ilijumuisha: Chembe nne ndogo za mchanga wa mwezi (zenye ukubwa wa punje za mchele) zilizowekwa ndani ya tufe la plastiki, Bendera ndogo ya Tanzania ambayo...
  2. Mh Rais naomba umpatie tuzo Dudubaya, na mkurugenzi MSD, mwongezee cheo kwa wizi wake.

    Dudu BAYA apewe tuzo, na mkurugenzi MSD mpandishe cheo awe mwizi mkuu wa serikali Tanzania.
  3. M

    Kwa hiyo adhabu ya mafisadi ni kuwaaibisha?! Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Rais Samia

    Leo Rais Samia amesema kuwa ripoti ya CAG ijayo itaje wanaofanya vibaya ili waone aibu, hivi anatambua kuwa kuiba ni aibu tosha ambayo wameivumilia hivyo ya kutajwa ni ndogo na hawawezi kuwaza wala kustuka? https://www.instagram.com/reel/DWgypeRjIYe/ Yaani mtu aibe pesa inayoweza kujenga...
  4. R

    Rais Samia: Kuna changamoto mifumo ya Serikali kutosomana kikamilifu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akipokea Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ya mwaka 2024/2025; Taarifa ya Utendaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU); na Taarifa ya Mwaka ya Tathmini ya Utendaji Kazi wa Ununuzi wa...
  5. U

    Rais wa bunge la Iran Mohammad Bagher Ghalibaf adaiwa kuuawa na jeshi la Israel

    🇮🇱🇮🇷➡️ The IAF has eliminated someone important in the heart of Tehran. Rumours say it was Mohammad Bagher Ghalibaf, the president of the Iranian parliament. We will find out soon enough but here is his obituary in advance. Mohammad Bagher Ghalibaf is/was an Iranian politician and former...
  6. S

    POTOSHI Hivi ndivyo Rais Ruto alivyo hivi kwa sasa?

  7. Siku za hivi karibuni ulinzi wa Makamu wa Rais umeongezeka

    Wale wenye jicho la tai nadhani mmenielewa. Tangu alipoenda Chato kwenye kumbukizi ni kama mambo yamebadilika. Yajayo yanaweza kufaurahisha.
  8. Rais hataniwi, Wakenya mwacheni mama yetu tumieni AI Kwa ajili ya baba yenu

    Rais hataniwi kamwe, Ila Magufuli aliweza kumtania Jakaya, hata alipozingua alimsemelea kwa kaka yake selemani. Wakenya mwacheni mama yetu tafadhali, mnatumia AI kuonesha mama yetu azungusha Nini? Itumieni kwa baba yenuuuu
  9. M

    Mufti ataka Rais Samia aombewe

    Mufti ataka Rais Samia aombewe
  10. Kauli mbiu ya Rais gani iliwahi kufanikiwa hata kidogo tu?

    1. Ukweli na Uwazi-Mkapa 2. Maisha Bora kwa kila Mtanzania-JK 3. Tanzania ya Viwanda-Magufuli 4. Kazi na Utu-Samia
  11. E

    Jukwaa la Kutetea Wamasai Lapinga Ripoti za Tume za Rais Kuhusu Ngorongoro

    Jukwaa la kimataifa la kutetea haki za Wamasai, Maasai International Solidarity Alliance (MISA), limetangaza kupinga vikali ripoti mbili za tume za rais zilizowasilishwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan Machi 12, 2026 katika Ikulu ya Chamwino State House. Katika taarifa yake ya Machi 18, 2026, MISA...
  12. SSP Notker Kilewa: Gari la Mgonjwa likikutana na Msafara wa Rais, gari la Mgonjwa litasubiri

    Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026...
  13. R

    Askofu Shoo: Kamwe tusione aibu au makusudi kuzungumzia haki, wala sauti za haki kusumbua masikio yetu

    Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa. "Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini...
  14. Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki

    Aliyekuwa naibu wa Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua akimwiga kwa utani Naibu Rais Kithure Kindiki.
  15. Iran: Rais Masoud Pezeshkian anakusudia kujiuzulu.!!!!!!

    Rais wa Iran anatarajiwa kubwaga manyanga hivi karibu baada ya yeye kushindwa kutekeleza majukumu yake kikamilifu. Haya yanajiri kutokana na viongozi wengi wa Iran kuwindwa kama Sungura na Majeshi ya Israel!!
  16. J

    Je Unajua ni kwanini Israel Hawasumbuki Kumuwinda na Kumuua Masoud Pezeshkian, Rais wa Iran?

    Masoud Pezeshkian ni Rais wa Iran aliyechaguliwa kwa kura nyingi za Wairani wakitarajia labda kutokana na misimamo yake ambayo haichagizwi na allah na pia mafundisho (hadith) ya Muhammad anaweza leta unafuu ktk kujiamulia maisha yao kwa Uhuru. Pezeshkian aliongezewa ktk orodha ya wagombea urais...
  17. Mkusanyiko wa Kumbukizi ya Miaka mitano tangu kifo cha Rais Magufuli

    https://www.youtube.com/watch?v=dfB86i6-Bck
  18. Pata bure mfumo wa bulk SMS, API na msg za trial.

    Ni sisi ONFON MEDIA pekee ambao tunakupatia mfumo wa BULK SMS bure, tunafanya API buree, na tunakupatia msg za majaribio buree. Pale utakapokuwa tayari kununua msg kwajili ya matumizi yako utashangaa zaidi, kwani gharama zetu ni nafuu kulinganisha na popote pale. Sisi ndiyo tunawauzia hao...
  19. Rais Samia amuasili mtoto mchanga aliyetelekezwa Nzega

    Rais Samia Suluhu Hassan, amemuasili mtoto mchanga wa kike Machi 11, 2026, katika makazi yake, Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma. Mtoto huyo aliyepewa jina la Grace Samia Suluhu Hassan alitelekezwa mjini Nzega, mkoani Tabora, na amekabidhiwa kwa Rais Dkt. Samia na Mkuu wa Wilaya ya Nzega...
  20. Rais Samia ampa Mzee Zahir Zorro Tsh. Milioni 10

    Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA) amemtembelea na kumjulia hali Mwanamuziki Mkongwe wa muziki wa dansi Zahir Ally Zorro nyumbani kwake Kigamboni Jijini Dar es salaam kwa lengo la kumpa pole kutokana na changamoto za kiafya anazopitia. Katika ziara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…