rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa amteua Mohamed Dewji (Mo) kuwa mshauri wake kwenye masuala ya Uwekezaji

    Rais wa Afrika kusini Cyril Ramaphosa amemteua Mohamed Dewji kuwa mshauri wake wa Masuala ya uwekezaji. Mohamed dewji 'MO' atashiriki vikao vyote vinavyohusiana na uwekezaji na atakuwa miongoni mwa washauri wa Rais Ramaphosa kwa kipindi Cha miaka mitatu. ---- Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kwa Katiba za nchi nyingine Spika ndiye angekuwa Rais kwa miezi mitatu

    Katiba yetu ni nzuri sana ndio maana mambo yote yameenda kwa amani kabisa ndani ya siku 21 za maombolezo. Katika baadhi ya nchi Rais akifa Spika ndio anaongoza nchi kwa siku 90 na kuitisha uchaguzi. Ndio kusema ingekuwa hapa, Spika Ndugai ndiye angekuwa mkuu wa nchi na baadae kusimamia zoezi...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba mshahara wa Rais upandishwe uwe kama zamani

    Kwanza napenda kumpongeza mama yetu mpendwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya. Kitu kingine ningeomba sana mshahara wa Rais upandishwe tena uwe angalau kama enzi ya Rais Kikwete. Magufuli alijishushia mshahara lakini lazima tujiulize, je alikuwa anauhutaji? Kwa kuanza tu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tuliaminishwa na iliyokuwa Serikali ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kuwa tatizo limedhibitiwa na halipo, kulikoni leo tena limeibuka?

    Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro amewataka makamanda wa polisi wa mikoa ya Mtwara, Lindi, Tanga, Dar es Salaam na Unguja na Pemba kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kufanya operesheni ya pamoja ili kumaliza tatizo la dawa za kulevya. Chanzo: Habari Leo Online...
  5. JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais, Serikali imeshindwa kuiwezesha MSD, msiwarushie mipira Wafawidhi

    Mimi si mtumishi wa Afya, lakini mateso anayopata mtoto wa dada wa kunyonya (mtumishi wa afya), yamenifanya nitambue wapi serikali inakosa. Ni jambo la ajabu sana kuona kuna uharamisho mkubwa wa kusema uwongo miongoni mwa viongozi wakuu wa Serikali hasa Afya. Mtume Muhammad s.a.w.w. amesema...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yafungua milango ya majadiliano kwa magazeti yaliyofungiwa

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amesema agizo la Rais Samia Suluhu Hassan kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa kufunguliwa, linahusu televisheni za mtandaoni pekee. Hata hivyo, Bashungwa ameeleza leo Jumatano, Aprili 7 2021 kuwa Serikali inafungua milango...
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Wamilili wa Online Tv walipwe fidia, waliozifungia wachukuliwe hatua, maana Rais amesema zilifungia kimakosa

    Huu ni ukweli mtupu, mwanasheria nguli na mgombea urais wa JMT kupitia Chadema anasema kweli tupu. Kama hawakuwa na makosa walipwe fidia na walioshiriki kuzifungia bila makosa wachukuliwe hatua.
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu aitaka Wizara ya Habari kuvifungulia Vyombo vya Habari vilivyofungiwa. Avitaka kufuata Sheria na Kanuni

    Rais Samia Suluhu ameiagiza Wizara ya Habari kuvifungulia vyombo vya habari vilivyofungiwa, na kuhakikisha vinafuata sheria. Aidha, ameagiza sheria kanuni na adhabu ziwe wazi, ifahamike kosa fulani adhabu yake ni fulani, ili isionekane kuwa serikali inaminya uhuru wa habari. Rais Samia amesema...
  9. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Rais ameagiza kufunguliwa kwa Online TV tu na sio Vyombo vingine vya Habari

    UFAFANUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameelekeza Televisheni za Mtandaoni (Online TV) tu ndio zifunguliwe na SIO vyombo vya habari vingine yakiwemo magazeti vilivyofungiwa kwa mujibu wa Sheria. Gerson Msigwa Msemaji Mkuu wa Serikali
  10. JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa kuelekeza kero ya namna ya ukusanyaji kodi, Lakini sijasikia kero ya Bodi ya Mikopo wa Elimu ya Juu

    Huwa sipendi kuwachosha wanajukwaa naenda moja kwa moja kwenye maada.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuwa " kuna kero ya board ya mikopo ya elimu ya juu hususni sheria mpya ya mwaka 2016. Sheria hii mhe Rais ni kandamizi kwa sababu ya mambo mawili,mosi sheria hii inatumika kuwakata...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tafadhali AAR msichukue Maamuzi haya kwani Tanzania ya sasa tuna Rais mzuri Mama Samia Suluhu Hassan ( Mrejesha Tabasamu ) kwa Wananchi

    Nami Generalist nawaombeni AAR badilisheni upesi haya Maamuzi yenu kwani Tanzania ya sasa inaongozwa na Rais mzuri, mwelewa, mkarimu na makini Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan. ------- AAR Healthcare Ltd is set to exit Tanzania on reduced visitor numbers to its eight clinics and financial...
  12. JamiiForums Tanzania Kosovo yapata Rais Mwanamke mwenye umri wa miaka 38

    Hakika hakuna kinachoshindikana chini ya mbingu. Mwanasheria nchini Kosovo amekuwa Rais wa kwanza wa kike na mwenye umri mdogo zaidi. Hongera kwake The 120-seat parliament gave 71 votes to Osmani amid an opposition boycott, making her Kosovo’s second female president. Politicians in Kosovo...
  13. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais juu ya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa/Wilaya, Wakurugenzi /DED

    MH. RAIS , Numeona nitumie jukwaa hili kukupa ushauri wangu kuhusu kupanga safu mpya ya wakuu wa Mikoa, wilaya na wakurugenzi ( DED) . Ili ufanisi uwepo kwa serikali yako yakupasa kuondoa wachumia tumbo wote ( praise team ) ambao walikuwa tayari kujidhalilisha au kufanya maamuzi yeyote...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Uenyekiti wa CCM kwa Rais Samia ndio nyenzo ya kusimama imara kwenye Urais

    Mitandaoni kumeibuka kikundi cha watu ambao naamini ni wanasiasa ambao kwa namna moja au nyingine wanataka kukwamisha juhudi za Mhe. Rais katika kuwatumikia Watanzania. Kikundi hiki kipo nyuma na mbele katika kupingana na muelekeo na mtazamo wa Mhe. Rais na yote inatokana na kuona wapo kwenye...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Kuna watu kwenye system wanatumia nguvu sana kumchafua Rais Samia, Mtafeli Samia ni chaguo la Mungu

    Kuna watu baada ya Rais na Amiri jeshi mkuu Mh SSH kuanza uteuzi wa viongozi mbalimbali kuna watu roho zimewauma sana na wanatumia watu sana ili wamchafue Rais wetu kipenzi, Kuna watu hawakutaka awe pale sasa watu wanajifanya kumkosoa sana na kundi linaloongoza ni lile kundi la mataga waliokua...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mungu anaifahamu vema katiba Yetu; alimtwaa JPM huku akijua VP ndiye atakuwa Rais wetu. Watanzania tupokee hii zawadi kwa mikono miwili

    Mungu hutembea katika maagano, maagano ambayo hufanyika Kati yake na wanadamu aliowaumba akawapa thamani ya Kwanza Kati ya viumbe vyake Vyote. Mandalio ya moyo ni ya Mwanadamu, lakini jawabu la hayo latoka kwa Mungu. Mungu anaifahamu fika katiba Yetu, na kwamba hawezi kuruhusu kifanyike kitu...
  17. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia Suluhu: "Hatari ya Mtawala kujipa sifa za Mungu"

    HATARI YA MTAWALA KUJIPA SIFA YA "mungu" Kwa Mkono wa Robert Heriel. Mwaka Juzi niliandika makala niliyoipa kichwa kisemacho "NJAMA ZA IKULU, HATA RAIS/MFALME ANAWEZA KUDANGANYWA" Soma hapa 👉👉👉👉Hata Rais hudanganywa: Njama za Ikulu ndizo hizi katika makala hiyo nilieleza kinaga ubaga namna...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, anza na Dkt. Abassi ameonesha dharau na kiburi kwako

    Watanzania wamesikia kauli yako ya kutaka vyombo vya habari vilivyofungiwa vifunguliwe ila vifuate sheria Kama Mkuu wa Nchi na Kama Mama umeona utoe huo msamaha tuanze upya lakini ukasisitiza vifuate Sheria. Lakini huko kwenye vyombo vya habari kuna ajira nyingi zilipotea na kusimama, amri...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu: Kuna jambo nilikuwa nasolve limenishinda nguvu nikaliacha

    Nimesikiliza hotuba ya jana ktk uapisho wa viongozi mbalimbali, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu ameonesha kuna jambo gumu alikuwa analitatua likamshinda akaachana nalo. Jambo gani hili? Akiachana nalo halina madhara kwetu sisi wananchi na Serikali yake?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wafuatao wasipokunjua nafsi Rais atakwama au itamlazimu awaweke pembeni Taifa lipone

    Tukubali kwamba wapo watu katika Hali yakibinadamu wamedhalilika kutokana na namna walivyohudumu awamu ya tano na wanavyopaswa kuhudumu awamu ya sita. Watu hawa walijitwalia utukufu na heshima bandia kwa kinga iliyowekwa na awamu iliyopita ila sasa hivi kinga na heshima vimeondoka. Kwa muktadha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…