rais

  1. JamiiForums Tanzania Mnafurahi kupewa mwaliko kuonana na Rais wa JMT; je, mtanufaika vipi kisiasa?

    Itokee mmetinga ikulu Magogoni au Chamwino Idodomya hivi wapinzani wa serikali ya CCM mtapata manufaa gani ya kisiasa? Kwamba sababu rais wa JMT amekubali kukutana na vyama vya upinzani ndio itakuwa sababu ya kuwapa boost kisiasa? Wananchi watawakubali Chadema kama ilivyokuwa nyakati za Dk...
  2. JamiiForums Tanzania Miaka 57 ya Muungano: Rais Samia ielekeze serikali yako ijenge taifa

    Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano. Nikupongeze wewe binafsi Mh.Rias kwa salamu ambayo inaonda matabaka na kuleta umoja ndani ya Jamuhuri ya Muungano. Hongera sana kwa ubunifu huu naamini ni mwanzo tu na mengi yatafuata. Niende moja kwa moja kwenye mada husika, Tumekuwa na awamu tano...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aambiwe Makamu wa Rais ni Mkubwa kwa Rais wa Zanzibar, au anafanya makusudi!?

    Nimesikiliza hotuba zake nyingi sana! Kubwa ile ya bungeni juzi. Mama nadhani kwa makusudi anataka kulazimisha Rais wa Zanzibar ni mkubwa kiutawala kwa Makamu wa Rais. Kwenye hotuba zake nyingi. Anaanza kumuaddress Rais Zanzibar kabla ya Makamu wa Rais wa Tanzania. Hii siyo sawa hata kidogo...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Mpango: Changamoto hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa wananchi

    Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema changamoto ambazo zimekuwa zilijitokeza mara kadhaa hazimaanishi Muungano sio imara au hauna manufaa kwa Wananchi. Amesema, "Serikali zetu zimekuwa zikibainisha changamoto hizo na kufanya jitihada za dhati kwa pamoja kuzipatia ufumbuzi kwa wakati na...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Tusisahau: Ili uwe mwenyekiti wa CCM ni lazima kwanza uwe ni Rais wa JMT!

    Hata kama haijaandikwa popote huo ndio ukweli wenyewe kwamba Rais wa JMT ndiye anakuwa mwenyekiti wa CCM. Na Rais wa Zanzibar anakuwa makamu wa mwenyekiti. Ramadhan kareem!
  6. E

    JamiiForums Tanzania Viongozi hawa walikuwa wanamtumikia Rais badala ya wananchi

    Eti watendaji wengine wakawa wanamtumia tu Rais badala ya wananchi wakawa wanapita huku na kule kuita waandishi wa habari wenye camera ili tu mradi Rais awaone wanafanya kazi bila kujali utendaji wao saa ingine ulikuwa unawaumiza wananchi kweli kweli, Sehemi ingine wananchi wamebaki maskini kisa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Ni nani aliyesema Rais Samia karekebisha mambo! Kama ni hivyo basi Taifa tumepoteza dira

    Habari wanaJF, Hoja: Ni either tumekuwa taifa la WANAFIKI zaidi au TUMEPOTEZA DIRA kabisa. Mh Rais hajarekebisha chochote. Nimekuwa nikifuatilia mijadala hasa ktk mitandao ya wanajamii (Twitter, Insta na ktk majukwaa ya CCM) kwamba Mama amefanya vizuri, na kwamba sasa tupo sawa kama Taifa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Samia atakuwa Rais bora kwa kuwa karuhusu kukosolewa

    Wote tumesikia karuhusu na kiukweli kalazimisha watu waikosoe serikali. Tumeshaona wabunge tena wa CCM wakiwa mbele kuikosoa serikali. Hawa watataka wawazidi CHADEMA na wenzao katika kuikosoa serikali na tayari tumeona wameshaanza. Wapinzani kama CHADEMA na wenzao nao wataendelea kukosoa huku...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja 5 ambazo viongozi wa vyama vya siasa watazungumza na Rais Samia Hassan

    Bila kuchoshana na maneno mengi, naomba niingie kwenye mada moja kwa moja. Kwa maoni yangu, nadhani hoja zifuatazo ndizo zitakuwa ajenda kuu kipindi viongozi wa vyama vya siasa wakikutana na Rais Samia Hassan ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, kama Rais mwenyewe alivyoahidi kukutana na wanasiasa...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia kukubali kukutana CHADEMA ni kuwasaliti Watanzania wazalendo

    Hiki chama cha siasa kinachoitwa Chadema kimejaa wanasiasa wanafiki na wajali matumbo yao. Hawana nia njema na taifa letu. Sio wa kuwakaribisha ikulu kabisa. Kipindi taifa letu linapambana na janga la Korona mwaka jana walitoka bungeni na kutaka tuweke Lockdown. Walikuwa wakipotosha kuwa watu...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM wanasema, Mhe Rais tunakupa chama ila tambua ukiangaika na walioaribu utawala uliopita utaleta matabaka, wasamehe.

    Nikijadiliana na wazee wa chama Tawala wenye ushawishi ndani ya chama na serikali kuhusu hatma ya chama nadhtushwa na mawazo yao japo yapo sahihi. Wanasema kisiasa endapo Rais na Mwenyekiti wa Chama ataamua kwa dhati kuisafisha serikali atambue atakuwa ameamua kuiua ccm. Wazee Hawa wanasema...
  12. JamiiForums Tanzania Mazungumzo kati ya Rais na Vyama vya siasa , Vyama vyaambiwa vipeleke ajenda zao kwa John Shibuda au kwa Msajili wa Vyama vya siasa Francis Mutungi

    Baada ya kufika huko zitakusanywa na baadaye zitafikishwa kwa Mh Rais kwa hatua zaidi . Francis Mutungi ni Msajili wa vyama vya siasa mwenye tuhuma nyingi za kuhujumu vyama vya siasa akishirikiana na kada mwingine wa ccm aitwaye Sisty Nyahyoza , sasa kuvitaka vyama vya siasa vipeleke ajenda...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia amekubali ombi la kukutana na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe

    Katibu Mkuu wa CHADEMA Mh. John Mnyika ametoa taarifa kuwa Rais Samia amekubali ombi la Mh Mbowe kukutana naye katika tarehe itakayopangwa baadaye. https://www.jamiiforums.com/threads/hotuba-ya-mwenyekiti-wa-chadema-freeman-mbowe-aliyoitoa-jana-aprili-11-2021.1858436/ Naomba kuwapa taarifa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Nape ndiye Rais ajaye 2025, akikatwa CCM ataenda upinzani watampitisha

    Kwa kuwa siasa ni mchezo usiotabirika, kadhalika anaeweza kuimudu ni yule mwenye uwezo mkubwa wa kusoma alama za nyakati. Alifanya kosa kidogo kwa kuchelewa kumsoma bosi wake wa awali ila amecheza karata vizuri ambapo kwa sasa ameanza kuteka mioyo ya makundi mbalimbali ndani na nje ya chama...
  15. JamiiForums Tanzania Toka tumepata uhuru hadi leo, hatujawahi pata Rais wa maana!

    Kipimo cha Kiongozi au Rais ni kuwatoa wale anaowaongoza kwenye matatizo, tena kuwatoa haraka. Sasa basi, toka tumepata uhuru miaka 60 iliyopita tumepata marais wa 5, huyu ni wa sita. Wote hawa tukiwapima kwenye kipimo cha kututoa kwenye matatizo yetu wanapwaya vibaya. Bado raia sisi ni...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Naona mwanamke ndio anafaa kuongoza Bunge linaloendana na Rais Samia Suluhu. Tunao Gaudencia Kabaka, Anna Mghwira n.k

    Kiu ya Rais wetu ni kuona Bunge linajadili vitu kwa upana na kwa kuwa bunge chini ya Spika Ndugai anaonekana kuzidiwa lakini anashindwa kusema asaidiwe kwa sababu Mhe. Rais anapenda kuona kuona wanaozidiwa wanaomba kusaidiwa lakini hafanyi hivyo basi kwa niaba yake tunaomba Mhe. Rais msaidie...
  17. JamiiForums Tanzania Hotuba ya Rais Samia; Mfumo wa hotuba za viongozi wetu ni ule wa 'kusadikika'

    Baada ya kuisikiliza hotuba ya rais wetu Samia Suluhu Hassan, naungana na wengine kuwa kwa ujumla ilikuwa nzuri, ya matumaini tuendako na ya usuluhishi wa kitaifa. Ni dhahiri kwamba rais asingeweza kusema yoooote yanayotaka kusemwa, lakini ameifanyia uadilifu fursa ya kuwepo pale. Tatizo...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Rais haya ya sasa yatapita, utafika wakati wataizoea hali halisi mpya

    Kuna wanaosema Mheshimiwa Rais angalau angesubiri mpaka apewe uenyekiti wa Chama ndio aongee kwa mamlaka na kuwakaripia wote wanajaribu kumfanyia fitina za chini kwa chini. Wanaona kama vile maamuzi yake ya kulihutubia bunge yameongozwa na jazba zaidi kutaka kuwaonyesha mamlaka aliyonayo hao...
  19. JamiiForums Tanzania Vyama vya siasa mkikutana na Rais Samia mtamwambia nini?

    Sio vema mkazungumze hoja zenu binafsi kama vile nilipigwa, nilivunjwa mkono, biashara yangu ilifungwa, na mambo kama hayo kwa Rais ambae ni mpya na ambae yuko serious kutaka kujaribu kunza ukurasa wake mpya. Kunzia sasa kila chama kirudi kwa wanachama wake wakusanye maoni yao juu ni mambo gani...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais na Mhe Makamu wa Rais mnalinda matumizi mabaya ya Mali ya umma?

    Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa atapewa haki na baraka za Serikali kufuja Mali za umma ni vigumu Serikali hiyo kuadhibu Watumishi wa Umma...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…