Mfungwa anapomaliza kifungo na kurudi uraiani anakuwa kama mtoto. Hana kazi, hana mali na wakati mwingine hata utu wake huonekana tofauti. Anaweza kuonekana kama mhalifu kama wengine wengi ambao wakitoka jela huwa na sura za kutisha.
Huonekana si kitu. Hana mbele wala nyuma na waswahili husema...