rais

  1. JamiiForums Tanzania Hakainde Hichilema aapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia

    Hakainde Hichilema ameapishwa kuwa Rais wa Taifa hilo katika sherehe ambayo imehudhuriwa ya maelfu ya watu Jijini Lusaka. Anakuwa Rais wa 7 kuongoza Taifa hilo baada ya kumshinda Edgar Lungu katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika Agosti 12, 2021 Uapisho wake umehudhuriwa na Marais wa Nchi mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia kasafiri na kundi kubwa la watu, kodi za Watanzania zinatumiwa vibaya

    Rais Samia huku unatuletea matozo. Imagine hao wote unaosafiri nao kwenda Zambia kwa kodi za Watanzania.
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hili, nampongeza sana Rais Samia

    Hamjamboni wanangu wana jamvi? Ni muda mrefu watanzania wamekuwa wakisikia viongozi wao wakienda ughaibuni bila kujua walioandamana nao. Haya mambo ya kuficha waliokuwa au wanaoandamana na viongozi kwenye ziara za nje hasa rais yalianza wakati wa Jakaya Kikwete aliyependa kuzurura huku akijaza...
  4. JamiiForums Tanzania Linganisha Delegation ya Botswana na ya Tanzania kwenye kuapishwa Rais Mteule wa Zambia

    Wakati wenzetu Botswana wakipeleka High Level Government Officials sisi tunapeleka Makada wa CCM. Botswana wanaenda kujenga au kuimarisha economic networking na mengine, sisi tunawapeleka akina Shaka wakawafundishe Zambia jinsi ya kuiba kura na kutumia state apparatuses kubaki...
  5. JamiiForums Tanzania Rais Samia abadilishiwe washauri, mbona anazidi kupoteza dira?

    Mwelekeo wa mheshimiwa mbona unatia mashaka? Siku zinavyo kwenda mbele ndivyo ambavyo anazidi kuonekana tofauti sana kwa kauli na matendo. Jee ni washauri wabovu au hulka zake tuu?
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini CHADEMA haikualikwa kwenye Sherehe za kuapishwa Rais Mteule Zambia?

    Kesho ni siku ya kuapishwa kwa Rais Mteule wa Zambia na Kiongozi wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe ameshawasili kuhudhuria sherehe hizo. Imekuaje CHADEMA chama kinachojiita kuwa ni chama kikubwa cha upinzani Tanzania hakikupata mwaliko ?
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia ameona kasoro pekee Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kuwa ni ujazwaji uliokosewa wa wagombea wa upinzani?

    Wakati akipokea ripoti ya Tume ya uchaguzi kwa ajili ya uchaguzi mkuu uliofanyika mwaka 2020, hapo tarehe 21 mwezi huu, Ikulu jijini Dar, nilimsikia Rais Samia Suluhu Hassan, akielezea dosari alizoziita ndogo, zilizofanywa na Tume ya uchaguzi Katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2020, kuwa ni...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Rais alisema chanjo ni hiari. Mawaziri Mollel na Dorothy, wanasema 70% wasiotaka kuchanjwa ni wajinga

    Video imebeba ujumbe wote. Hapa chini akimjibu Spika na barua yake ya wito kumtaka atokee mbele ya kamati ya maadili, kinga na haki ya Bunge la JMT... Amesema, atakwenda Dodoma kesho J'3 tarehe 23/8/2021 kama barua inavyosema. Aidha kasema haogopi chochote, hayumbi ktk misimamo yake bila...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashauriwe vyema uchumi unakufa

    Huwezi kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kuongeza kodi (tozo). Unapoweka kodi kubwa unaua uchumi. Uchumi unapokufa huwezi kupata hiyo kodi. Shughuli za kiuchumi zinaposhuka kuna watu hawataweza kuajiriwa katika maisha yao yote. Watu watamaliza vyuo lakini hawatapata fursa ya kuajiriwa katika...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia atupa kijembe kwa wapinga chanjo ya UVIKO-19. Asema hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa

    “Kuna Mwanangu (Goodluck Gozbert) aliimba ‘hauwezi kushindana na Mwanadamu mwenye kinywa’, mwenye kinywa atasema tu anayotaka kusema lakini ukweli utabaki palepale, chanjo hizi za Covid-19 zinasaidia kupunguza maumivu na hatari ya vifo kwa Watu". “Chanjo hatusemi ni kinga kabisakabisa lakini...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima amshukia Waziri Doroth Gwajima. Awataka Mawaziri wa Wizara ya Afya wajiuzulu

    Bwana Yesu aliye mponya na apewe sifa. Askofu Gwajima leo ataongoza ibada katika kanisa la ufufuo na uzima kabla hajaelekea bungeni Dodoma ambako kesho atahojiwa na kamati ya maadili ya bunge. Updates; Familia ya mzee Gwajima imemtaka waziri wa afya Dr Dorothy Gwajima ambaye ni mke wa mtoto...
  12. JamiiForums Tanzania Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Mheshimiwa wa rais Dr Jakaya Kikwete nikivutio duniani kwa sasa baada yakuwa ni kiongozi wa kipekee Afrika na duniani, Kwanza anaitwa/anajita Dr Jakaya Kikwete wakati hajawahi kusoma popote duniana na hatasoma milele kwa ngazi hiyo ya PHd, Pili ni rais pekee Afrika anaeongoza kwakusafiri...
  13. JamiiForums Tanzania Kiongozi wa zamani wa Bolivia ajaribu kujiua akiwa Gerezani

    Rais wa zamani wa mpito wa Bolivia Jeanine Anez amefanya jaribio la kujiua akiwa jela siku moja baada ya kufunguliwa mashtaka ya "mauaji ya halaiki" kutokana na vifo vya waandamanaji vilivyotokea mwaka 2019. Mmoja ya mawakili wa Anez, Jorge Valda, amesema kiongozi huyo wa zamani ambaye...
  14. JamiiForums Tanzania CHADEMA kukataa mualiko wa NEC wakati wanasubiri mualiko wa Rais Samia ni kichekesho

    Iko wazi Chadema na vyama vingine vilivyokataa kuhudhuria Mualiko wa NEC kwenye kutoa ripoti ya Uchaguzi wa 2020 sababu ilikuwa ni malalamiko yao juu ya wanachokiita dhuluma kwenye uchaguzi huo. WAMEKWENDA mbali zaidi hata wengine kugomea ruzuku, kugoma kupeleka majina ya wabunge wa viti maalum...
  15. G

    JamiiForums Tanzania Zitto: IGP amemdhalilisha Waziri Gwajima na Rais Samia

    Zitto amesema IGP Sirro anapaswa kujiuzulu maana amekataa kutii amri ya askari wa mwamvuli wa Rais Samia Suluhu kwa kukataa kumkamata Askofu Gwajima. Na kwa kufanya hivyo Sirro amegoma kutii amri toka kwa Rais SSH. Chanzo: StarTV medani za siasa.
  16. JamiiForums Tanzania Je, Rais Samia anaelekea kuipata tuzo ya Mo Ibrahim?

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ameweza kujipambanua kwa hatua mbalimbali nyingi zikikinzana na za mtangulizi wake. Ninaamini atakuwa alijiwekea lengo la kuibuka mshindi siku zijazo za hii tuzo "lucrative" ya Mo Ibrahim. Endapo atashinda tuzo hii, Tanzania itaingia kwenye nafasi nzuri sana...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi si Mwanasiasa, ila kwenye hili la Tozo hapana

    Wakuu najua uzima upo wa kutosha sema mtakuwa na stress za Tozo tu nyie. Baada ya kuwasalimu ngoja kidogo na mimi nitie neno. Binafsi mimi si Mwanasiasa wala sijawahi kushabikia chama ila kwenye hili ngoja na mimi nilopoke kidogo. Awamu hii ya sita ambayo inaongozwa na mama shupavu kwango kama...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuziangalie Sheria za Uchaguzi zisiwanyime haki wanaokosea kuandika majina yao

    Rais Samia Suluhu Hassan ambaye ni Rais wa Jamhuri ya Tanzania anapoakea ripoti ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 2020, Ikulu Dar. Katika Uchaguzi huo, Mgombea wa CCM Hayati Rais John Magufuli akiwa na Samia Suluhu kama Mgombea mwenza walishinda Rais Magufuli alipofariki Machi 2021, aliyekuwa...
  19. JamiiForums Tanzania Profesa Lipumba: Rais Samia ruhusu demokrasia shirikishi

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (Cuf), Profesa Ibrahim Lipumba amesema Rais Samia Suluhu Hassan akisimamia masuala ya utawala bora, kujenga demokrasia na uchumi shirikishi ataingia kwenye rekodi n ahata kupata tuzo ya Mo Ibrahim. Profesa Lipumba ametoa kauli hiyo leo Agosti 19...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T na SG kwa TZS 6.55T?

    Rais wangu Samia Suluhu Hassan anawezaje kujenga SGR kilometa 1,063 kwa TZS 10.1T | SG kwa TZS 6.5T na miradi mingine huku akiachilia vicheko kwa makundi mbalimbali ya watanzania, " Hakuna kama Samia " Ukichukua gharama za miradi miwili mikubwa ya SGR na SG|JNHPP inayoendelea kwa sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…