rais

  1. JamiiForums Tanzania Unajua sababu zinazomvutia kachero mbobevu Benard Camilius Membe kwa Rais Samia Suluhu Hassan?

    |Haya ndio mambo sita makubwa yanayomvutia zaidi Kachero Benard Membe kwa Utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan, Kwanza, Mabadiliko, ni raha ya Watanzania kupokea mabadiliko ya uongozi wa nchi. Pili ,Uhuru & Usalama, anasema kuingia kwa Rais Samia ambaye ni mwanamke, hewa ya uhuru na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kumuenzi Hayati Dk. John Joseph Pombe Magufuli

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaenzi wazee wetu Dk Jakaya Mrisho Kikwete na Hayari Dk John Pombe Magufuli tayari amefanikisha ujenzi wa daraja la Tanzanite|daraja la Salenda walioliasisi wao lenye urefu wa kilometa 1.03 lililogharimu Jumla ya TZS 243.7BL. Masaa machache tu Rais Samia...
  3. JamiiForums Tanzania Nini kilimkuta Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji mpaka kuanza kutembelea mkongojo akiwa Ikulu?

    Wamakonde wa Msumbiji wana visa kidogo! Aliyekuwa Rais wa awamu ya 3 huko Msumbiji aliwahi kupatwa na madhila akiwa Ikulu. Akiwa katika siku zake za mwisho za Urais aliwashangaza wananchi wake ghafla alipoanza kutembea na mkongojo huku akichechemea. Ukipata hapa Mitaa ya Maputo wananchi kuna...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpandishe cheo na umteue Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa CDF mara baada ya Mabeyo kustaafu

    Jambo Afande!! Kwa muda mchache aliokaa jeshi la Magereza kama Mkuu wa Jeshi hilo, tumeona uchapakazi wake uliotukuka. Kwasasa jeshi la magereza linaendeshwa kwa ufanisi mkubwa, hakuna urasimu uliokuwepo awali kama ule wa uniform pia kuna kuheshimiana baina ya maofisa na maaskari sio kama...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kuwajengea wamachinga jengo jipya Kariakoo

    Rais Samia amerudi leo kutoka Scotland na ameingia kazini moja kwa moja. Alipotoka kukagua ujenzi wa Daraja la Tanzanite (Lile la juu ya Bahari pale Salenda) alienda kuongea na wananchi wanaofanya biashara pale Coco Beach. Akiwa hapo ameeleza nia njema ya Serikali katika zoezi la kuwapanga...
  6. JamiiForums Tanzania Picha: Rais Samia akiwasili Dar es Salaam toka Glasgow Scotland

    Mhe. @SuluhuSamia akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam leo Novemba 04, 2021 alipokua akitokea nchini Glasgow, Scotland alikohudhuria mkutano wa 26 wa Umoja wa Mataifa uliojadili kuhusu athari za mabadiliko ya tabianchi duniani.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Rais wa Korea Kaskazini apoteza zaidi ya kg 40 toka January 2021

    Katika kile kinachoonekana kama athari za ugonjwa wa kisukari ama matumizi ya teknolojia za AI katika matibabu ya bwana Kim hatimaye ameweza kupungua uzito zaidi ya kilo 40 toka mwanzoni mwa mwaka huu Ikumbukwe mpaka mwaka 2019 bwana mdogo Kim mwenye umri wa miaka 37 alikuwa na uzito wa zaidi...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia awarejesha kazini Watumishi zaidi ya elfu nne (4,000+) walioondolewa kipindi cha Magufuli kwa madai ya kugushi vyeti

    Ni wazi kabisa mtu akifoji kitu official huyu ni mualifu na adhabu yake inaweza kuwa kifungo mpaka miaka7. Hamna kitu kinasikitisha kama mtu unahangaike kusoma kwa bidii pamoja na changamoto zote unakomaa, halafu ajira aje kupewa mtu ambaye kaamua kutumia shortcut ya kufoji vyeti, hii haiko...
  9. JamiiForums Tanzania Mdogo wangu ana kipaji cha kumwigiza Rais Samia

    Habarini za leo wakuu, Leo nimekuja na hii video ikimwonyesha mdogo wangu anayeweza kumwigiza Rais Samia mwanzo mwisho.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, safari za nje ziambatane na hotuba zenye mvuto. Hongera Mama wa Barbados, umetikisa kikao

    Suala la hotuba zisizo na mvuto limekuwa ni tatizo sugu kwa awamu zote nne zilizopita na sasa hii ya tano zimeendelea kusikika, nimeondoa awamu ya Nyerere. Wakati wa Magufuli hazikujitokeza kabisa kwa kuwa hakusafiri nje ya nchi. Rais Samia ameingia na tabia ya kusafiri nje kwa kujitangaza...
  11. JamiiForums Tanzania Mko wapi mliodai maendeleo ya watu?; Rais Samia kayaleta

    Kwenye kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2020, CHADEMA walikuwa wakilalama kwamba nchi yetu inajali maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu. Wakawa wanaishambulia miradi kama ule wa Rufiji, SGR, Fly Overs na mingine. CCM kama chama tawala wakatetea miradi hiyo na kusema hivyo vitu ni kwa ajili...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Hakuhitaji Kiapo cha Urais

    - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Makala hii ilitoka July 13, 2021 kwenye RAIA MWEMA ukurasa wa 13 - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - - Rais John Magufuli alifariki saa 12:00 jioni ya tarehe 17/03/2021, Rais Samia...
  13. JamiiForums Tanzania Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi, Scotland: Rais Samia ametuangusha

    Wanabodi, Kama mtanzania, inawezekana umepata nafasi kufuatilia yanayojiri nchini Scotland kwenye mkutano unaohusu mabadiliko ya tabia nchi. Mkutano huu umehudhuriwa na viongozi wengi akiwemo Rais Samia Suluhu Hassan ambaye alihutubia mkusanyiko huo. Tofauti na nchi kama China, Marekani na...
  14. JamiiForums Tanzania Rais hapaswi kufanya kazi za kawaida za Rais akiwa nje ya nchi

    Nimeona Chifu Hangaya (akiwa Glasgow, Scotland) amefanya uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa NDC. Huu ni ukiukaji wa Katiba yetu. Kwa mujibu wa Ibara ya 47(1)(c) ya Katiba yetu, Makamu wa Rais atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini au yuko nje ya nchi. Na kwa mujibu wa Ibara ya 37(6)(b) ya...
  15. JamiiForums Tanzania Hata kwenye Katiba inayotubana kuna viongozi wenye nafuu, sijaona mbadala wa Rais Samia

    Yes, ni kweli katiba yetu imepitwa na wakati na imebana sana uhuru wa kisiasa, Lakini katika maisha haya ya Watanzania licha ya hiyo katiba sijaona kiongozi mwenye nafuu kuzidi Raisi wetu. Hebu naomba ukumbuke tu kile kipindi cha magufuli yani katiba ilitumika ndivyo sivyo, uhuru wa kujieleza...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia ahutubia mkutano wa tabia nchi, asema 30% ya pato la Taifa sio endelevu

    Leo Rais wa Tanzania, Samia Suluhu amehutubia mkutano wa Tabia nchi unaofanyika Scotland, katika hotuba yake fupi na kuongelea Tanzania ilivyoathirika na mabadiliko ya tabia nchi ikiwemo kuongezeka kwa kina cha bahari na kutafuna ardhi yenye rutuba, kuyeyuka kwa barafu ya mlima Kilimanjaro pia...
  17. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni utoto na ushamba. Hizi propaganda za uongo zinamsaidia nini Rais Samia?

    Inasikitisha sana kuna machawa pro max wa kiwango cha dunia, alivyokuwa new york wali edit screens za matangazo za Times Square, cha ajabu nini hadi mu edit? Si hela ilipwe tu tangazo liruke kwenye zile screens Ali Kiba, Diamond, Zuchu matangazo ya albamu zao yasharuka sana Sasa kubwa zaidi...
  18. JamiiForums Tanzania Daraja Korofi la tangu Uhuru la Fundimbaga -Tabora mita 45 kwa muda mchache liko tayari

    Rais Samia Suluhu kwa kutumia Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini TARURA, Huu ni muonekano wa Daraja jipya la Fundimbaga lenye urefu wa mita 45 katika barabara ya Tabora - Fundimbaga, Daraja hili linalounganisha kata za Matemanga na Marumba Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa Protokali mtusaidie "Rais Samia Suluhu kukaa besides ya Rais Joe Biden ina maana gani?"

    === Wananzengo anayejua maana ya arrangement hii kwenye hii COP26 Glasgow Scotland iliyomuweka Rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania pembeni ya Rais Joe Biden wa Marekani, === <Mkao huu kiprotokali unamaanisha nini?>
  20. B

    JamiiForums Tanzania Heshima aliyopewa Kanali Ali Mahfoudh wa Zanzibar na Rais Samora Machel

    30 October 2021 Part 1: Bi Naila Majid Jidawi mwenye umri wa miaka 77, anasimulia kuhusu mumewe, Marehemu, Kanali Ali Mahfoudh, aliyezaliwa na kukulia Zanzibar, akapata mafunzo ya kijeshi Cuba na akawa miongoni mwa walioshiriki kuipindua serikali ya uhuru ya Zanzibar mwaka 1964, lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…