rais

  1. JamiiForums Tanzania Kuelekea Mei Mosi 2022: Rais Samia, Waokoe Watumishi wako Dhidi ya Dhulma Kali ya Makato ya Lazima ya Mshahara kutoka kwa Vyama vya Wafanyakazi

    Ni ukweli ulio wazi kwamba sisi kama Watumishi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tunapitia kipindi kigumu hasa kiuchumi na Cha muda mrefu sasa. Licha ya changamoto nyingi ambazo Watumishi wamekuwa wakipitia, hali iliyopelekea Watumishi kuamua kuwa pamoja katika vyama kwaajili ya kupambania...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Ombi: Rais Samia ikikupendeza futa Waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa Mkuu wa Utumishi wa Umma

    Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ninaombi kwako ikikupendeza na kuona inafaa ulifanyie kazi. Ninaomba uufute waraka Na 1 wa mwaka 2015 kutoka kwa mkuu wa utumishi wa umma. Waraka huu umetoa taratibu kadhaa kwa watumishi wa umma ili waweze Kugombea nafasi za kisiasa. Nina sababu za kukuomba...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Rais Samia: Mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini

    Na Bwanku M Bwanku. Leo Alhamisi Machi 17, 2022 kwenye Gazeti la TANZANIA LEO Ukurasa wa 6 nimechambua mafanikio na mapinduzi makubwa sana yaliyopatikana kwenye Sekta ya Madini katika kipindi hiki kifupi cha Mwaka Mmoja wa Mhe. Samia Suluhu Hassan kama Rais wa Taifa letu. Mwaka Mmoja wa Rais...
  4. T

    JamiiForums Tanzania Licha ya kwamba nami nashangaa kama wengine lakini namuamini Rais Samia

    Siku za karibuni watanzania wamekuwa wakishangazwa na yanayoendelea, ni kama walikuwa kwenye usingizi mzito wasijue ni nini kinachoendelea lakini kadiri usingizi unavyoisha ndivyo wanabaki kufurahi. Baadhi ya vitu vinavyoshangaza na vimekuwa kama ndoto ya kutisha ni kama: I) Iliwezekanaje...
  5. JamiiForums Tanzania Shinyanga: Askari anayemlinda mwekezaji adaiwa kumuua kijana kwa risasi, wananchi wamlilia Rais Samia

    Mkazi mmoja wa Kitongoji cha Mwamala, Kijiji cha Igumanghobo, Kata ya Idukilo Mkoani Shinyanga aliyekuwa akichimba madini katika Kijiji cha Mwang’holo, Kata ya Mwadui Lohumbo anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na askari polisi wanaolinda eneo la Mwekezaji Kampuni ya El-Hillal Minerals Ltd...
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema NATO ni dhaifu hawatajiunga nayo

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amesema NATO hawajawahi kuwa dhaifu kama walivyo sasa, ambapo nchi yake imepigwa kwa siku 20 na hawajachukua hatua. Amelaumu kwa kutaja Ibara ya 15 ya NATO ambayo inasema nchi moja ya NATO ikiguswa nchi zote zimeguswa. Lakini kwa sasa suala hilo ni tofauti...
  7. U

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Jenerali Muhoozi Kainerugaba atembelea Shamba la Rais Paul Kagame na kupewa Zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo

    Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye ni Mtoto wa Rais Museven wa Uganda yupo ziarani nchini Rwanda Amepewa zawadi ya Ng'ombe aina ya Inyambo baada ya kutembelea shamba la Rais Paul Kagame
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Polisi Wadaiwa kuua raia kwa risasi na kujeruhi wawili kwenye kiwanja cha mpira Lake Tanganyika

    Kupitia Twitter pia, Abdul Nondo Kaandika; -- Askari polisi mwenye namba F.5123 D/ CPL Subira ambaye aliyekuwa na bunduki aina ya AK 47 adaiwa kumuua Juma Ramadhani kwa kumpiga risasi na kuwajeruhi watatu wakati akiwa kwenye harakati za kujihami kwenye vurugu zilizotokea katika kiwanja cha...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Humprey Polepole atachanja au hatochanja atakapokwenda kuwa Balozi Malawi?

    Baada ya uteuzi huu wa kuwa Balozi kwa nchi ya Baba Askofu Bw Chakwera ambaye ni Mmagharibi kimtizamo. Je, Polepole atachanja au hatachanja? Ni mgogoro wa kidiplomasia au ndio demokrasia itashika hatamu?
  10. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amteua Humphrey Polepole kuwa Balozi Malawi, Mchechu arudishwa NHC

    Rais Samia Suluhu amemteua Humphrey Polepole kuwa Balozi wa Tanzania nchini Malawi. Sambamba na hilo Rais Samia Suluhu amemteua Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Pia Rais Samia Suluhu amemteua Waziri Kindamba kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe. Kindamba...
  11. T

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia amrudisha Nehemia Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)

    Rais Samia amemteua Nehemia Kyando Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba ya Taifa (NHC) akichukua nafasi ya Dkt. Maulid Banyani atakayepangiwa kazi nyingine Aliyekuwa Waziri wa Makazi, William Lukuvi alitengua uteuzi wa Mchechu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo mnamo Juni 2018...
  12. JamiiForums Tanzania Hongera Rais wa JMT. Nimeona nyumba wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro huku Handeni. Kusema kweli unastahili kuwa Rais wa JMT

    Kusema ukweli Huyu mama sio wa kawaida. Nimeona nyumba za kudumu na kisasa wanazojengewa wakazi wa Ngorongoro wanaohamishiwa Mkoani Tanga maeneo ya Handeni na Kilindi. Ni nyumba za kisasa zinazoakisi akili ya Serikali yako katika kupanga na kutekeleza mipango thabiti kwa maslahi ya Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania Chato: Rais Samia kuongoza kumbukizi mwaka mmoja kifo cha Magufuli

    Rais Samia Suluhu kuongoza kumbukizi ya mwaka mmoja wa kifo cha hayati Magufuli itakayofanyika kwenye uwanja vya Magufuli uliopo Chato, March 17 mwaka huu. Naona ndugu kmbwembwe sasa atashiriki mwaka mmoja wa Samia.. ======== Geita. Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki na viongozi mbalimbali...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu apata passport mpya, amshukuru Rais Samia, kurudi Nchini

    Tundu Lissu amepewa passport mpya na Serikali ya Tanzania baada ya ile ya awali kupotea kwa kuibwa kule Ujerumani. Lissu amekabidhiwa passport yake leo na balozi wetu. Lissu amesema Rais Samia anafanya kazi kubwa na nzuri sana hivyo Watanzania wote tumuunge mkono ili tujenge Tanzania mpya...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia aagiza kuandaliwe Kanuni za Mikutano ya Vyama vya Siasa Nchini

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge kwa kushirikiana na Tanganyika Law Society (TLS) pamoja na Zanzibar Law Society (ZLS) ameagizwa kuandaa kanuni zitakazoelekeza namna ya kufanya mikutano ya hadhara ya Vyama vya Siasa. Rais Samia ameelekeza hayo baada va kupokea...
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais Mstaafu wa Zambia Rupia Banda afariki dunia

    Rais wa zamani wa Zambia, Rupiah Banda amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 baada ya kusumbuliwa na saratani ya tumbo. Mtoto wa Banda ameeleza kuwa baba yake amefikwa na umauti Ijumaa Machi 11, 2022 baada ya kuumwa kwa muda mrefu. Banda, raia wa nne wa Zambia alikuwa madarakani mwaka 2008...
  17. JamiiForums Tanzania Kuelekea siku 365 za Rais Samia, tutazame Tanzania katika Uhusiano wa Kimataifa

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 2: UHUSIANO WA KIMATAIFA. Baada ya kuangazia utulivu wa kisiasa kuelekea siku 365 za Mhe Samia, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo tutaitazama Tanzania katika uhusiano wa kinataifa...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia, imulike Bandari ya Dar nchi inahujumiwa, kaweke Kambi pale Bandarini

    Meli za kutoka Dubai kuja DSM huchukua siku 14, Mzigo ukifika Dar Es Salaam bandarini utakaa siku hata 20-28 ukisubiri kupakuliwa. Meli ikitoka UK au China itatumia siku 28-30 kufika Dar, Mzigo ukifika hapo Bandarini unachukua siku 20-28 zingine kupakuliwa. Gharama za Usafiri imebidi...
  19. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

    Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi. Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo? Tukiachana na mazoea ya kijinga...
  20. JamiiForums Tanzania Utulivu wa Kisiasa: Mafanikio kuelekea siku 365 za Rais Samia Suluhu Hassan

    KUELEKEA SIKU 365 ZA MHE SAMIA, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Na Elius Ndabila 0768238284 1: UTULIVU WA KISIASA Itakumbukwa kuwa bado siku chache kwa Mhe Samia, Rais wa awamu ya sita kumaliza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais. Kuelekea siku 365 nitakuletea mfululizo wa makala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…