rais

  1. Rais ajaye baada ya Putin atalazimishwa kulipa hasara iliyosababishwa Ukraine

    Lengo la Mmarekani na washirika wake Nato ni kuhakikisha Urusi inafilisika kiuchumi. Na ili hilo lifanikiwe wanataka vita iendelee kwa muda mrefu ili Urusi idhoofike ndio maana tunaona hayo yanayoendelea. Wengi tulidhani Ulaya ingeufyata kutokana na vikwazo wanavyowekewa na Urusi ila badala...
  2. Rais Samia turudishie Lukuvi Wizara ya Ardhi hali imeanza kuwa mbaya

    Waswahili tunasema usipoziba ufa utajenga ukuta, madudu ardhi yameshaanza upyaa ni hapaeleweki kabisa, nazungumza haya kwa kutahadharisha Serikali yetu tukufu watoto wa mjini wameanza yao, ni vuruguvurugu kwenye mafaili ya wamiliki, halali More deep detail to follow with specific...
  3. T

    Bobi Wine: Rais wa Tanzania yupo Uganda Rais wa Uganda yupo Tanzania

    Akihutubia Baraza Kuu la Chadema kwa lugha ya kiingereza ametema nondo kadha za kufikirisha kwa Chadema. Amewaachia hoja ya kutafari juu ya agenda yao ya Kariba mpya kwa kusema. Uganda Wana Katiba nzuri pengine nzuri kuliko zote Dunia pamoja na Museven kuibadirisha mara kadha. Lakini Uiddi...
  4. Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
  5. K

    Mtu wa ajabu aliyeonekana kuzungumza na Rais Putin aibua tetesi za mwisho wa Putin kuwa karibu

    mtu wa ajabu aliyeonekana akizungumza na mbabe Putin wakati wa Parade ya ushindi jana amesababisha tetesi za watu kuhisi kuwa huenda ndie akawa mrithi wa Putin Mtu huyo ambae anaonekana kuwa bado kijana mdogo ametambulika kwa jina kuwa ni Dmitry Kovalev na kwa sasa anahudumu kama mkuu wa...
  6. Suala la ardhi Zanzibar: Askofu Augustino Shayo apiga msumari wa moto mbele ya Rais Mwinyi

    Mhashamu Askofu Augustino Shao wa Zanzibar ametimiza Jubilei ya miaka 25 katika utumishi wa kanisa la Roman Catholic huko Zanzibar. Kwenye sherehe zilizohudhuliwa na wananchi mbalimbali wakiwemo viongozi wa kidini, askofu Shao kwenye salamu zake kwa Rais wa Zanzibar, amezungumzia mambo...
  7. Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda

    Picha: Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba Mtoto wa Rais Museven afikishwa mahakamani kwa kuutaka Urais wa Uganda Mahakama ya kikatiba ya Uganda imemtaka mtoto wa Rais Yoweri Museveni, Luteni Jenerali Muhoozi Kainerugaba, kujibu shtaka analotuhumiwa la kueleza nia yake ya kuwania urais akiwa...
  8. Rais Samia kufanya ziara ya Kiserikali nchini Uganda kwa siku mbili

  9. R

    Tukifanya Haya Rais wetu Samia na Serikali yake Wataeleweka tu

    Ni ukweli usipingika ni kwamba wananchi asilimia kubwa hawamuelewi Rais wetu ,Cha kushangaza bado watu alio nao karibu wanapingana tulio msikiliza Nape akizungumza katika Ufunguzi wa Kikao cha 17 cha Maafisa Habari, Mawasiliano na Uhusiano wa Serikali, Mei 9, 2022 Jijini Tanga tumeona ,Lakini...
  10. Kwa wanaodhani Wana nguvu ya Hoja za kutomkubali Rais Samia, hakikisha unajua unachozungumza

    Ifahamike kuwa Mimi Mkaruka Niko humu JF kwa muda mrefu sana. Watanzania wa online na offline nawafahamu vizuri. Binafsi sipendi kuona mtu akionewa Wala sipendi UFUASI KIPOFU ( Total submission to somebody's thoughts). Karibu Kama kweli una hoja.
  11. N

    Ndani ya Mwaka mmoja, Rais Samia katoa Ajira zaidi ya 50 Elfu, Vijana tunashukuru sana

    Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, baada ya kusota kwamiaka sita tangu 2015 mpk 2021 bila ajira huku tukidanganywa kama watoto eti tuuzie biashara popote hata barabarani na kwenye round about za miji hatimaye 2021 march tulipata mkombozi wa vijana, Ni ukweli usiopingika Samia umejaribu...
  12. Rais Samia aitisha kikao cha dharura usiku huu (Mei, 08 2022) Ikulu Dar Es Salaam kujadili mafuta

    Rais Samia ameitisha kikao ikulu udiku huu kujadili kupanda kwa bei ya mafuta , huku kikao hiko kikihudhuriwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Waziri wa Nishati January Makamba, Kamishna Mkuu wa TRA Alphayo Kidata na wajumbe wengineo Tutarajie tamko la namna...
  13. Sioni Sababu ya Rais kuitangaza filamu aliyoicheza, Wizara husika zina Kazi gani?

    Kwa uzoefu wangu wa awamu za Urais hapa nchini kuna jambo nimekuwa nikiliona. Hasa awamu za karibuni. Nalo ni Viongozi wetu kutowaamini wasaidizi wao kwa mambo ambayo ni yakawaida sana. Mfano ni huu wa Filamu ya Royal tour. Kwa maoni yangu Mh. Rais ametumia muda mwingi kuielezea kwa Wananchi...
  14. Zanzibar: Rais Mwinyi ameongeza mshahara kwa Watumishi kwa 15%

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15% Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6 Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
  15. Rais Samia: Wangapi wanataka kuwa Marais

    Naangalia Movie ya Royal Tour, kuna kipande Rais anauliza wanafunzi 'Wangapi wanataka kuwa marais' wanafunzi wamenyoosha mikono wengi. Nikawaza swali kama hili wakaulize kwenye Chama halafu kina Etwege na wenzake wanyooshe mikono kama hali itakuwa salama
  16. Rais Samia: Nilikuwa Tour Guider kwenye movie ya Royal Tour

    RAIS SAMIA AKISHIRIKI UZINDUZI WA FILAMU YA THE ROYAL TOUR - JNICC, DAR ES SALAAM Tulianzia Marekani kwa kuwa utalii uliathirika na COVID na watalii kutoka Marekani walipungua. Sekta ya Utalii inaajiri 4% ya watanzania na iliathirika sana wakati wa COVID19. Rais Samia. Filamu ilikamilika...
  17. Kwanini mwanamke wa Kiislam kuwa Rais ni kukiuka nguzo za Uislamu?

    Swali la uelewa, Kwa nini mama wa kiislamu kuwa rais ni kukiuka mafunzo ya Mtume Muhamadi? Huu ni uelewa tu, kwa hiyo tujengeane uwezo bila jazba wala kashfa c.c FaizaFoxy
  18. Hayati Magufuli aliwezaje kukopa kwa Wazungu ikiwa aliharibu uhusiano na nchi za Ulaya?

    Leo 10:15pm 07/05/2022 Kabla ya Rais Magufuli kuingia madarakani Mwaka 2015, Tanzania ilikuwa katika uchumi wa chini, ukiwa katika uchumi wa chini kabisa, sera ya taifa na lengo linapaswa kuwa kuelekea uchumi wa kati wa ngazi ya chini, hii ni hatua moja kutoka katika uchumi wa chini,adhma na...
  19. K

    Agenda kuu ya uchumi ya Rais Samia ni ipi? Royal Tour?

    Enzi za Kikwete mlituambia uchumi wa gesi!! Magufuli mkatuambia wa viwanda. Hussein Mwinyi kule Zanzibar tunaambiwa wa uchumi BULUU. Huyu Mama yenu yeye agenda kuu ya kiuchumi ni ipi?!! Royal Tour?!! Nchi ndogo kama Rwanda inatangaza utalii kwenye ligi kuu ya England kupitia team ya Arsenal...
  20. Rais Samia kuwa mwangalifu, hawa wanaomsema Hayati Magufuli ndio watakusema ukiondoka madarakani

    Rejea kichwa cha habari Siku ukiondoka madarakani utasemwa sana, na katika mwaka wako wa uongozi umeonesha udhaifu tayari hasa katika suala zima la ROYAL TOUR, inasemekana watu wamepiga pesa na kukuachia msala maana hatimiliki iko chini ya Peter Greenberg na Tanzania haijanufaika na chochote...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…