rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ripoti ya CAG, deni bado ni himilivu. Mafao yazidi mapato ya mifuko ya hifadhi

    Kuwa nami, CAG anasoma mambo muhimu kwenye ripoti yake ambayo anaiwasilisha kwa Rais Samia. Inaanza kwa hali isiyo njema kwa vyama vya siasa. Endelea... ========= CAG: Upande wa vyama vya siasa, ADC hati mbaya, Chauma hati mbaya, TLP hati mbaya, UMD hati mbaya, CUF hati yenye shaka, UDP...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia kupokea ripoti ya CAG leo Machi 30, Ikulu Dodoma

    Leo Rais Samia atakuwa anapokea ripoti ya CAG Charles Kichere kwa ukaguzi wa hesabu za mwaka 2020/202. Shughuli hivo pevu itaanza saa 4 asubuhi. CAG ana machagua mawili tu,ama kuanika uozo wote wa awamu ya sita au kuchakachua kutaka kuonyesha mama anaupiga mwingi. Kama amenyofoa kurusa zenye...
  3. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amteua Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar

    Rais Samia Suluhu Hassan amemteua ACI. Hassan Ali Hassan kuwa Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, amechukua nafasi ya Kamishna Johari Masoud Sururu ambaye atapangiwa majukumu mengine. Kabla ya uteuzi huo Hassan alikuwa Mkuu wa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Pemba.
  4. JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Zanzibar: Sheria ya uchochezi ipitiwe upya, ina mianya mingi ya kutumika vibaya

    Sheria ya uchochezi inatoa fursa ya kutumika vibaya na vyombo vinavyosimamia sheria hasa Polisi na kwamba wakati umefika wa kuifanyia mapitio ili kulinda uhuru wa kujieleza na wa habari nchini. Rai hiyo ilitolewa mjini hapo jana Machi 28, 2022 na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi 2025 usipokuja Kugombea Bara tutaandamana uje uwe Rais wetu Kilazima, tunakuhitaji mno

    Tumeshachoka 24/7 Kudhihakiwa tu kwa Mipasho, Ngonjera huku tukidharauliwa na 'Dereva Deiwaka' wa Gari aina ya 'Tanzania' japo hapo awali kwakuwa alikuwa chini ya 'Dereva Mahiri' tuliamini alijifunza mengi na huenda angekuwa 'Dereva Bora' kumzidi ila kumbe ndiyo 'vulu vulu' tupu tu. Binafsi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Nuru ya mwaka mmoja wa Rais Samia madarakani yaelezwa Mwanza

    Makundi mbalimbali ya wanafunzi wa vyuo vikuu, wakufunzi, bodaboda, Machinga, viongozi na wananchi waelezea Nuru ya Mafanikio ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan katika kipindi kifupi cha Mwaka Mmoja. Katika Kongamano lililofanyika leo Jumamosi 26 Machi 2022 na Seneti ya Vyuo na vyuo vikuu Kuu...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Biden akutana na mawaziri waandamizi wa Ukraine

    Rais Joe Biden wa Marekani amekutana na mawaziri wawili wa Ukraine nchini Poland kuonyesha uungaji mkono wa Washington kwa serikali mjini Kyiv wakati Urusi ikiashiria kwamba inaweza kupunguza malengo yake ya kivita nchini Ukraine. Biden aliketi kwenye meza ndefu nyeupe pamoja na mawaziri wake...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia unajiandalia majuto ambayo hutayasahahau kwenye maisha yako ya kisiasa

    Mhe. Rais wewe ni mzoefu kwenye siasa za Tanzania. Kwa sasa ni kama unatafuta huruma ya wapinzani na unafanya vya kuwafurahisha lakin jua hii kitu itakugharimu Kuachiwa kwa Mbowe, kukutana na Lisu ubeligiji, kujipanga kuruhusu mikutano ya kisiasa nk yote unatafuta kuonekana unajali ila ujue...
  9. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa wapinzani wameridhika na kazi nzuri ya rais Samia akitekeleza ilani ya CCM. Ndio maana wapo kimya wala hatusikii wakimkosoa.

    Wanaona ilani ya CcM inatekelezwa vyema na wao wanafurahia na kuuchuna kimoyomoyo maana maendeleo yanapatikana. Hakuna mgao wa umeme, miradi ya maji inazinduliwa kila kona, madarasa yamejengwa na wanafunzi wameenda shule. Barabara zinajengwa miundo mbinu inaimarishwa kila kona. Hatusikii...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanavyuo Mwanza watoa kongole kwa Rais Samia

    WANAVYUO MWANZA WATOA KONGOLE KWA RAIS SAMIA Leo Jumamosi 26 Machi, 2022 Wanafunzi wa Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa Mwanza wamempongeza Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza Mwaka Mmoja Madarakani. Kongamano hilo limeongozwa na Katibu wa Halmashauri Kuu Itikadi na Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia sijakuelewa hapa unapotaka Kushauri na Kuamrisha kuwa Jina la Wafungwa libadilishwe na sasa wawe wanaitwa Wanafunzi

    Yaani Mtu Kaiba na Kaua au amesababisha Hatari Kubwa ama katika Jamii au Nchi halafu akihukumiwa na Mahakama kwenda Jela Kisheria asiitwe tena Mfungwa na sasa aitwe Mwanafunzi? Kwahiyo Mbakaji awe anaitwa Mwanafunzi Mbakaji, Muuaji nae awe anaitwa Mwanafunzi Muuaji huku Jambazi nae awe anaitwa...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Nilijiona ndani ya moyo wa Rais Magufuli

    DAKTARI SLAA;NILIJIONA NDANI YA MOYO WA RAIS MAGUFULI. Hayati Rais Magufuli aliwapenda na kuwapigania watu wa hali ya chini,mfano sasa hivi vitu vinapanda bei na gharama ya kupanda bei haimuumizi tajiri bali mlaji wa mwisho,katika walaji wa mwisho kuna matajiri wachache na masikini wengi,ambapo...
  13. JamiiForums Tanzania Media za Tanzania asante kwa kumsifu kupitiliza Rais Samia. Sasa mtupe uchambuzi wa Vita ya Ukraine na Urusi kiuchumi kwa Tanzania

    Nimejaribu kuangalia Media za nchini Rwanda, Kenya na Uganda hasa katika Coverages zao juu ya Vita baina ya Ukraine na Urusi na kugundua ya kwa Wanyarwanda, Wakenya na Waganda wameshaelimishwa na Kuchambuliwa vya kutosha juu ya Vita hiyo tofauti na Tanzania na Watanzania. Kila nikijitahidi...
  14. JamiiForums Tanzania Rais samia, Magereza wanaovutana kwenye miradi kushirikiana na sekta binafsi ni kutaka kulea upigaji

    Rais samia hua anatoa kauli na maelekezo yenye utata. Lakini wenye kuelewa wanajua ni mwelekeo wake wa kupendelea sekta binafsi iliyojaa 'wahuni' Inafaa atambue sekta binafsi kuleta ufanisi inatakiwa kua shindani sio kubebwa kwa kusudi kuingia ubia na majeshi au mashirika au mamlaka za umma...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Hayupo mwenye kuridhia Katiba Mpya kwenye Mitano yake ya Mwanzo

    Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa? Asijipende vipi mtu huyo? Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
  16. JamiiForums Tanzania Ujumbe kwa Rais Samia: Tembelea Nyanda za Juu Kusini, Utakuja Kunishukuru

    T
  17. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba aelezea mafanikio ya mwaka mmoja wa rais Samia katika sekta ya Nishati

    MUDA HUU Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba Yupo Azam UTV akieleza Makubwa Yamefanyika Wizara ya Nishati Mwaka Mmoja wa uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan Madarakani. Kupitia link hapo chini👇🏿
  18. Q

    JamiiForums Tanzania Lissu: Kikosi Kazi alichounda Rais kimem ‘expose’ Zitto yuko upande gani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema baada ya Rais kuunda kikosi kazi cha kuratibu maridhiano na tumehuru ya uchaguzi, sasa ni wazi Kiongozi wa ACT Wazalendo yuko upande gani. Amesema zamani walidhani ni mchakato utakaoongozwa na TCD lkn baada ya kuambiwa utakuwa unaripoti kwa rais...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Lissu atoa msimamo rasmi dhidi ya Rais Samia, Zitto Kabwe, Katiba Mpya na ACT Wazalendo

    Wanabodi, sehemu ya mazungumzo ya fuatayo ni msimamo wa Lissu dhidi ya watu husika na mambo tajwa hapo juu. Mengi amewahi kuonya ama kuyaweka bayana na yakajiri, alikuwa wa kwanza kusema wazi wazi Magufuli ni dikteta na Rais wa ajabu, akasema kuhusu watu wasiojulikana na mauaji ya...
  20. JamiiForums Tanzania Matapeli wanavyotumia jina la Rais Samia, Ikulu kufanya utapeli wa kupiga hela

    Hivi ndivyo, matapeli wanavyotumia jina la Ikulu pamoja na Rais Samia Suluhu kufanya utapeli wa kupiga hela kwa watu mbalimbali. Watangazaji wa East Africa Radio wamesimulia moja ya tukio lililotokea. Source: East Africa Radio
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…