rais

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mufti Mkuu wa Omani afika kumuona Rais Samia Hassan katika Kasri ya Al Alam

    14 June 2022 Muscat, Oman By: ONA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ampokea Mufti Mkuu wa Oman, Sheikh Ahmed bin Hamad Al Khalili alipofika katika makazi ya wageni mashuhuri (VIP) Kasri ya Al Alam kuonana na rais Samia Suluhu Hassan . Mazungumzo ya Mh. Rais Samia Hassan na Mufti Mkuu wa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tumpe Muda Rais Samia, ni Mapema sana kulaumu au kupiga makofi

    Muda siku zote ni msemaji na ni shahidi mzuri sana ,Mara zote husema ukweli hivyo tusubiri mpaka 2025 ndio tufanye majumuisho. Tunakosoa sana na kupongeza sana lakini ni Mwaka na kidogo tu Mama yuko madarakani. Mama anasafiri kila wakati, nchi tunakopa pesa ,anakusanya Tozo ,anatafuta maeneo...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais, Wananchi tunaomba msamaha wa Kodi za nyuma uhusishe pia kodi za Pango la Ardhi

    Wakuu Salam! Moja kwa moja kwenye mada! Hivi karibuni akiwa ziarani katika moja ya mikoa ya kanda ya ziwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan alizitaka mamlaka za kodi kuacha kudai kodi za kuanzia miaka miwili (2) nyuma, huku akibainisha wazi kuwa kitendo cha kodi hizo kulimbikizwa ni uzembe wa...
  4. JamiiForums Tanzania Shamte: Katiba ya nchi haijasema 'Head of State' atawale miaka 10, miaka mitano ikiisha tutafute Rais mwingine lakini siyo huyu

    Baraka Shamte ni mwanasiasa nguli visiwani Zanzibar ambae pia ni mtoto wa Waziri mkuu wa Kwanza wa Zanzibar, Mohammed Shamte amesema Rais wa sasa wa visiwa hivyo, Hussein Mwinyi hatoshi kuendelea baada ya miaka yake mitano kwisha. Shamte amesema miaka yake mitano inakwisha na kurudia kosa ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Rais wa Mexico, nchi jirani kabisa na Marekani, ameikosoa vikali sera ya NATO katika vita vya Ukraine na kuiita ya 'kishenzi'

    Mexico’s president slammed NATO’s policy on the Russian invasion of Ukraine on Monday, calling it “immoral.” President Andrés Manuel López Obrador’s did not mention NATO or the United States by name, but his comments were the latest example of his party's ambiguous stance on the invasion...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, leo Juni 13, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania Rais Samia amewahakikishia wa Oman mazingira mazuri ya biashara kuwa na sera thabiti za fedha. Akizungumza katika Kongamano lililojumuisha Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, Rais...
  7. JamiiForums Tanzania RC Kafulila: Kwa Uchumi huu wa Gesi wa Rais Samia sasa ni wazi Tanzania kuongoza kiuchumi EAC

    RAIS SAMIA NA UCHUMI WA GESI, TUPO NJIA SAHIHI Na David KAFULILA Jumapili, Juni 12 , 2022 Jana, Juni11, 2022, Rais wetu SSH ameshuhudia makubaliano ya awali ya uwekezaji wa $30bn kati ya Serikali yake na kampuni kubwa 5 za kimataifa ambazo ni Equinor, Shell, ExxonMobil, Medco Energy na...
  8. JamiiForums Tanzania Tsh Bilioni 100 za Rais kila mwezi kwenye mafuta ni neema kwa Watanzania

    Na John Mwakanga, Mbeya Kupanda kwa bei za mafuta ni janga linaloendelea kuitikisa Dunia kwa ujumla. Kwa kuelewa uzito wake kwa wananchi wa Tanzania, Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imejitwika jukumu la kupunguza gharama kwa wananchi kwa kutoa ruzuku ya bilioni 100 kila mwezi. Juni 10...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tupate Katiba Mpya haraka ili tumfute kazi Rais Samia na Bunge kibogoyo la CCM

    Bila Katiba Mpya dalili zinaonyesha tunakwenda kuumia kabisa. Tunakwenda kuuzwa kama manyumbu. Mradi wa LNG lindi hauta tufaidisha hata kidogo bali utafaidisha Samia na genge lake la CCM ya wajanja. Tupate katiba mpya ambayo itatupa wananchi nguvu ya kumkataa. Nguvu ya kuvunja bunge kibogoyo...
  10. JamiiForums Tanzania The Oman Connection: Kikwete in 2012 and Samia in 2022

    Salaam wakuu, Tuachane na habari za Ngorongoro huko Loliondo kwa muda kidogo. Kuna hizi picha mbili za Kisiasa. Baada ya Miaka 10, Sehemu alipopigia Picha Kikwete ndipo Kapigia Picha Rais Samia. Wote Wamefanya ziara kwa Siku 3. Pia soma: 1. Mwarabu wa Loliondo: Challenge to TCRA 2...
  11. JamiiForums Tanzania Suala la COVID-19, Rais Samia anaigiza?

    Ujue kuna mambo mengine ya ajabu sana hasa kwa mtu anayetumia akili vizuri kutafakari mambo. Juzi Rais Samia akiwa Kagera alihimiza kuhusu kichukua tahadhari zote za COVID-19 na akaenda mbali kuwataka wananchi wachanjwe. Leo ameonekana Oman akiwa hajavaa barakoa na anashikana mikono na watu...
  12. JamiiForums Tanzania Tunisia; Mwandishi wa habari kizuizini kwa kutoa maoni kumhusu Rais

    Polisi nchini humo wanadaiwa kumshikilia mwanahabari Salah Atiyah kwa kutoa maoni katika mahojiano ya televisheni kwamba Rais Kais Saied alilitaka jeshi kufunga makao makuu ya chama cha wafanyakazi cha UGTT na kuwafunga viongozi wa upinzani kifungo cha nyumbani Waendesha mashtaka wa jeshi...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili Oman kwa ziara ya siku 3

    Video ya Mapokezi ya Rais . Samia huko Oman . Itakuwa ni ziara ya siku tatu
  14. JamiiForums Tanzania Ombi kwa Rais Samia Hassan kuhusu HESLB kuondoa fedha za kujikimu wakati wa mafunzo kwa vitendo (Field)

    Kwako Mheshimiwa:- Lengo kubwa la ujumbe huu ni kukufahamisha juu ya HESLB kuondoa allocations za field kwa wanafunzi wa mwaka wa pili ambao hawakuwa na field mwaka wa kwanza. PASIPO KUTOA TAMKO LOLOTE HADI SASA. Mheshimiwa, Nikupe historia juu ya upangaji wa mkopo kwa wanafunzi wa chuo kikuu...
  15. JamiiForums Tanzania Mzanzibari hana cha kupoteza wala hawezi kupatwa uchungu Ngorongoro ikiuzwa, Tanzania bara tupambane na hali zetu

    Ndivyo hali ilivyo, hata mama wa kambo akilea watoto ambao sio wake haoni taabu hata kuchukua nguo zao na kuzigawa, ila hawezi fanya hivyo kwa watoto wake. Mwisho wa siku hata hii ngorongoro ikiingia rasmi mikononi mwa huyo mwekezaji, Zanzibar haiwezi kuathirika ila ni sisi bara ndio tunaisoma...
  16. JamiiForums Tanzania Hints za Rais Samia kuhusu Mafuta na Gesi Tanzania

    Contents za Rais 1. Kwa muda wote ambao nimekuwa Serikalini, tangu nikiwa Waziri, nimekuwa nasikia habari ya mradi huu wa LNG huko Lindi. Kuna wakati nikiwa Makamu wa Rais nilijaribu kuona kama naweza kusaidia kulisukuma mbele lakini lilikuwa zito kidogo na lina mambo mengi. Nilipopata nafasi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022

    Rais Samia Suluhu Hassan akishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali ya mkataba wa kuchakata gesi asilia Juni 11, 2022
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia kufanya ziara nchini Oman kuanzia June 12

    Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufanya ziara ya siku 3 nchini Oman mara baada ya kualikwa na kiongozi wa nchi hiyo. Ziara hiyo itaanza Juni 12 mpaka Juni 15. Hii ni ziara nyingine ya Rais Samia katika kile anachokiita kuifungua nchi kiuchumi.
  19. JamiiForums Tanzania Bukoba: Rais Samia afungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Juni 10, 2022

    Rais Samia akifungua Msikiti wa Jami'ul Istiqaama, Bukoba Mkoani Kagera, leo Ijumaa Juni 10, 2022 Shukrani za kipekee kupitia kwako Muwakilishi wa Balozi wa Oman, ziende kwa Sultan wa Oman na vilevile kwa niaba ya mtangulizi wake ambaye ndiye muasisi wa ujenzi wa Msikiti huu. Mwenyezi Mungu...
  20. JamiiForums Tanzania Je, jicho la Rais Samia litauangazia Ubatili huu ndani ya Katiba yetu unaopora Haki ya Msingi, uliochomekewa kibatili ili kuuhalalisha?

    Wanabodi, Leo tena nimepata fursa ya kuendelea na zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" ikiwa ni kwa njia ya swali fikirishi "Jee Jicho la Rais Mama Samia Suluhu Hassan, litaweza kuangazia ubatili huu ndani ya Katiba tetu, unaopora haki ya msingi ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…