rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia katika Uzinduzi Zanzibar akosoa kuchukua waliofeli kuwa walimu asema ndio wanadumisha elimu nchini

    Rais Samia Suluhu Hassan akishiriki Uzinduzi wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation - Zanzibar Rais ahuzunika kwa kufeli sana kwa mkoa anaotokea, Kusini Unguja. Rais Samia azungumzia ubovu wa matokeo Zanzibar ambapo alitoa maelekezo na sasa ufaulu kwa wanafunzi umeongezeka. Amezungumzia...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia Usiache Kufanya Haya katika Kipindi cha Uongozi Wako

    Miongoni mwa mambo makubwa atakayokumbukwa nayo Rais wa awamu ya nne Mhe. Jakaya Kikwete ni ujenzi wa shule za Kata na Ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma. Licha ya changamoto zilizopo, bado wazo la ujenzi wa shule ya sekondari kila kata limekuwa na msaada mkubwa kwenye jamii tofauti na huko nyuma...
  3. K

    JamiiForums Tanzania OMBI: Wastaafu na sisi tunaomba tufikiriwe kwenye tunachopokea

    Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia tafadhali muangalie sana Waziri wako Mmoja usidhani anakunyooshea njia bali anakupeleka Shimoni mazima

    Kwa jinsi huyo ( huyu ) Waziri anavyokukaanga kila mara huku Wewe ukiona anapatia na Serikali yako inaenda vyema nakuhakikishia Mama ( Rais Samia ) kwa Usununu ( Uchungu ) wa Watanzania ambao nawasikia sehemu mbalimbali kama Uchaguzi Mkuu wa 2025 CCM ( kupitia Serikali yako ) na Vyombo vyako...
  5. L

    JamiiForums Tanzania John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri MAGOGONI

    John Mduma, mlinzi pekee wa Rais alieaminiwa na serikali zote 6, Muuza samaki Feri. Huyu ndio jasusi pekee aliwahi kufanya kazi Rasmi akiwa na miaka 8, mpaka Leo akiwa na miaka 35 akiwa ndio mpanga ratiba mkuu wa ziara za Mtukufu ndani ya nchi. Amezaliwa Kijiji Cha nkololo bariadi, historia...
  6. JamiiForums Tanzania Nikiwa Rais

    Moja ya mambo nitakayoangalia kwa umakini mkubwa ni mitandao hii yaani inaweza ukakutoa kwenye reli kabisa. Many social media edicted monsters speak nonsense, allogancy, stupid, fallacy and impossibly views. Wakati mwingine nasoma mambo heading tu inanitosha kutosoma thread. What's is wrong...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini kwa Tanzania ni kheri uwe Waziri wa Wizara yoyote tu Utaheshimika kuliko ukiwa Makamu wa Rais ambapo Utasahaulika na Kupuuzwa?

    Majibu yenu ni muhimu Kwangu kwani kuna Mtu nasikia analalamika Maagizo yake hayafanyiwi Kazi haraka kama ya Waziri mwenye Wizara ambayo hapo kabla Yeye ndiyo ilikuwa Wizara yake na aliimudu vilivyo kwa Kutubania Fedha Watanzania hadi ikawa Ngumu kuipata ila Yeye na aliyemteua ( sasa kalala...
  8. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais tafadhali tumeshachoka na Picha za Kila Siku za Makamu wa Rais akiwa anasalimia Abiria ndani ya ATCL

    Hebu jitahidini basi kuanzia sasa muwe mnatuwekea Picha zake akiwa anakagua Mashamba ya Wakulima, anahutunia Maakongamano ya Watu wenye Akili duniani na anatattua Matatizo muhimu na ya Kimsingi ya Watanzania na siyo kila mara tu mnatuonyesha jinsi anavyoongea na Abiria ndani ya Bombardiers na...
  9. JamiiForums Tanzania UTEUZI: Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu

    Rais Samia amefanya mabadiliko madogo ya Makatibu Wakuu 1. Dkt. Francis Michael amehamishiwa Wizara ya Elimu, sayansi na teknolojia 2. Prof. Eliamani Sedoyeka amehamishiwa Wizara ya Maliasili na Utalii
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia awasili kwa Jeddah kuhiji

    Picha na maelezo vinajieleza. Kongole mtukufu Rais ibada muhimu.
  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi aghairi safari za nje kubana matumizi

    Serikali ya Malawi itaokoa TZS milioni 608.13 kutokana na kufutwa kwa safari mbili za Rais Lazarus Chakwera kama sehemu ya hatua za serikali za kubana matumizi. Rais Lazarus hatahudhuria mkutano wa Wakuu wa Serikali wa Jumuiya ya Madola mjini Kigali, Rwanda, na Kongamano la Maendeleo ya Mfuko...
  12. JamiiForums Tanzania Kubana kwa matumizi kungeanza na Rais mwenyewe. Haiwezekani yeye asafiri na wengine wasisafiri. Aongoze kwa vitendo, si double standard

    Mheshimiwa Rais Safari zake zimekuwa nyingi sana tujifunze kwa wenzetu walioendelea viongozi wao hawasafiri hovyohovyo safari zao huwa ni za kimkakati Sasa Rais wetu anaposafiri safiri kila Mara hasara ni nyingi kuliko faida Just imagine Rais ana mabalozi ana mawaziri wa wizara husika yeye...
  13. JamiiForums Tanzania Juhudi za Rais Samia kufanikisha mradi wa gesi asilia nchini

    Na George Bura, Dar es Salaam Juni 11, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alishuhudia utiaji saini wa makubaliano ya awali na kampuni kubwa za uchimbaji mafuta duniani zikiwemo Equinor na Shell kwa ajili ya utekelezaji wa ujenzi wa mradi wa uchakataji na...
  14. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Rais Mnangagwa azindua shamba la bangi

    Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho bangi yake itatumika kama suluhisho la matibabu ya kibaolojia na bidhaa za dawa katika soko la ndani...
  15. JamiiForums Tanzania Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Tunatwanga maji kwenye kinu. Rais Samia anamaliza pesa za walipa kodi kwa safari zisizo na tija

    Haingii akilini kwa kila jambo Rais anasafiri ovyo ovyo tu kama vile yeye sio mkuu wa nchi. Inaleta picha kuwa kumbe anapenda sana kupigiwa mizinga na kuwekewa parade za kijeshi na kuona ufahari. Mkuu wa nchi ana heshima zake na sio kuwa kila event ashuhudie. Ndio maana tuna Mabalozi na ofisi...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

    Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais wangu na Serikali kwa Ujumla Tears cannot bring Joy to people But can bring Development. Joy can bring Both. Hongereni kwa Kazi ya kutuongoza

    Viongozi wangu pamoja na Rais wangu hongereni kwa kazi ya kulijenga Taifa Changa kimaendeleo lakini Kongwe kiumri , kama mna nia ya Kweli na hii Nchi basi kuna Namna Mbili kuu za kuongoza na zote zitatupa maendeleo : 1. Machozi, hii ni njia Ngumu kidogo na ndio alijaribu kuipitia Hayati JPM, ni...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

    Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu
  20. JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure

    Bajeti yapendekeza Elimu ya kidato cha tano na sita kutolewa bure. Wanafunzi 90000 wa kidato cha tano na wanafunzi 50000 wa kidato cha sita. Ili kupunguza adha wanazokumbana nazo ada za watu hao imefutwa. Hivyo elimu bila ada itakuwa kuanzia shule ya msingi hadi kidato cha sita. Pia inaangaliwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…