rais

  1. T

    Nilichojifunza kwa Rais Mteule Ruto na Hayati Rais Magufuli, kwa Mungu kila kitu kinawezekana

    Ninajua machache juu ya Rais Mteule Ruto juu ya Imani yake kwa Mungu lakini kwa uchache huo yatosha kusema Ruto NI muumini wa Mungu wa kweli Kama alivyokuwa Hayati Magufuli. Nakumbuka Hayati Magufuli aliwahi kukiri ni Mkapa ndie aliyemshawishi kugombea Urais na Magufuli alipoonesha kutaka...
  2. N

    Kilimo biashara, dhana ya kimapinduzi ya Rais Samia yenye tija kubwa

    Serikali kupitia Benki ya kilimo Tanzania Agricultural Development Bank (TADB) imeweza kuwa mdau mkubwa kuwezesha mabenki kutoa mikopo kwa wakulima kutoka Benki mbili zinazotoa mikopo kwa wakulima hivi sasa kufikia 14. BAJETI YA KILIMO Serikali imeweza kuongeza bajeti ya huduma za Ugani kutoka...
  3. Waziri wa Mifugo kubishana hadharani na Rais ni utovu wa nidhamu

    Tumeshuhudia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki akipinga hadharani maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyeagiza vitalu vya NARCO vifutwe na kupewa vijana wahitimu wa Chuo Kikuu cha Kilimo SUA ili kutengeza fursa za ajira kupitia ufugaji Mambo ambayo Waziri alipaswa kuyafanya ni mawili...
  4. M

    Tutumie sarafu za mtandaoni Cryptocurrency au Tutumie sarafu moja ya jumuiya ya Afrika Mashariki?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, wakati wa uzinduzi wa jengo jipya la Benki Kuu ya Tanzania jijini Mwanza, aliitaka Tanzania kujiandaa na matumizi ya sarafu za mtandaoni au Cryptocurrency. Ambapo alitoa wito kwa Benki kuu ni vema waanze kufanya kazi za maendeleo...
  5. Rais Samia aondoka Nchini kwenda DR Congo leo Agosti 16, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es Salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya...
  6. J

    Rais Samia awapongeza Wakenya kwa kumaliza Uchaguzi Mkuu kwa amani

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan kupitia ukurasa wake rasmi wa mtandao wa Twitter ametuma salamu za pongezi kwa Wakenya katika uchaguzi Mkuuu uliomalizika kwa William Ruto kushinda nafasi ya Urais. Katika ujumbe wake Rais Samia amewapongeza Wakenya kwa kufanya...
  7. Kenya2022 Ruto Ameshinda, Je, ni kweli Rais Uhuru Kenyatta Ameshindwa? Au Odinga kachezewa Mchezo?

    Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka Kenya (IEBC), jana ilimtangaza Ndugu, William Samoei Arap Ruto kuwa Rais Mteule wa Awamu ya Tano wa Jamhuri ya Kenya. Ruto ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kenya, na amehudumu chini ya Rais Uhuru Kenyatta kwa takribani miaka 10 sasa. Pamoja na urafiki wa muda...
  8. J

    Kenya2022 Kwanini Rais Samia mpaka sasa hajampongezi Rais Mteule William Ruto?

    William Samoei Ruto ametangazwa kuwa Rais mteule wa Kenya. Marais kadhaa wa nchi jirani wamempa pongezi kupitia Twitter ila sijaona kwa Rais wetu Ni kuwa alikuwa anataka Raila ashinde?
  9. R

    USHAURI: Siku ya sensa iwe siku ya mapumziko kwa Rais Samia

    Pole na majukumu mazito ya kuijenga Tanzania. Ninapenda kuchukua nafasi hii kukuomba Rais uamrishe siku ya sensa iwe ni siku ya mapumziko. Hii ni kwasababu zifuatazo; 1. Siku ya kwanza ikiwa ni mapumziko nina amini makarani wetu watafanya kazi nzuri kwa kua watapata taarifa nyingi na sahihi...
  10. Rais Samia Suluhu kufanyia kazi hoja za Mdhibiti wa Hesabu za Serikali (CAG) Bandarini

    Mamlaka ya Bandari (TPA) imefanya upembuzi wa mifumo yake ili kushughulikia hoja za Mdhibiti wa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka 2022/21 ya kuwa mifumo inasomana na hivyo kudhibiti upotevu wa mapato. Vilevile, imebainisha kuwa kipindi cha kuanzia Julai 2021 hadi Juni 2022...
  11. Kenya2022 Kitakachotokea baada ya Rais Mteule wa Kenya kutangazwa leo

    1. Mwenyekiti wa Tume wa Huru ya Uchaguzi, IEBC anatakiwa kumkabidhi Rais Mteule Cheti (Mshindi wa Urais lazima ajitokeze kupokea Cheti) 2. Mwenyekiti lazima awasilishe kwa maandishi taarifa ya Matokeo kwa Jaji Mkuu na Rais aliyepo Madarakani, (Uhuru Kenyatta) 3. Kama itatokea Pingamizi la...
  12. Rais Samia aagiza askari wenye vitambi kurejeshwa mafunzoni

    Kauli hii kabambe imetolewa na Mh Rais Samia Suluhu Hassan huko Tanga, wakati akifunga mafunzo ya awali ya askari wa Uhamiaji kwenye Chuo cha Boma Kichaka Miba Mkoani humo . Mh Rais amesema kwamba ili kurejesha Ukakamavu kwa Askari wa Uhamiaji inapaswa wote wenye vitambi kurejeshwa kuhenya ili...
  13. Jicho langu katika ziara ya Rais Nyanda za Juu Kusini

  14. Barua ya wazi kwa Rais Hussein Mwinyi

    Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi, nakuandikia hapa kwa sababu nahisi ndio sehemu pekee ujumbe unaweza kukufikia. Sisi wafanyabiashara mara nyingi huwa tunakopa fedha benki ili kuendesha biashara zetu, na sisi kama wengine tumekuwa tunakopa mara nyingi na kufanya valuation ya mali zetu kama...
  15. Rais Samia: Utafiti umebaini kuna matumizi mabaya ya fedha Idara ya Uhamiaji

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akifunga Mafunzo ya Awali ya Askari wa Uhamiaji Kozi na. 1/2022, katika Chuo cha Uhamiaji Boma Kichakamiba leo tarehe 15 Agosti, 2022 Mkoani Tanga. MKUU WA MKOA TANGA – OMARY TABWETA MGUMBA Mrundikano wa wafungwa kutoka nje wasio na...
  16. M

    Rais Samia karibu Tanga na wasaidie Wanatanga kero zifuatazo

    Rais Samia nakusalim kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Ninayokila sababu ya kukuambia karibu Tanga lakini uwe makini maana viongozi waliopo bado hawajajua unacho kitaka. Ninasema hivo kwasababu zifuatazo 1: Hela asilimia 10 kwaajili ya wanawake,vijana na walemavu Tanga ni hadithi ya...
  17. Kenya2022 Wajackoyah: Nina Imani nitatangazwa kuwa Rais

    Wajackoyah: We're Confident We'll Win Presidential Election Roots Party presidential candidate Prof. George Wajackoyah during his manifesto launch at KICC. PHOTO | COURTESY Preliminary results intimate that Kenya Kwanza frontman William Ruto and his Azimio counterpart Raila Odinga hold a...
  18. Gerson Msigwa, Rais Samia angekuwa na uchungu na wananchi asingekubali tozo na maisha kuwa ghali namna hii

    Vyakula vimepanda bei. Nafaka zinauzwa nje ya nchi na kusababisha maisha kuwa ghali Maisha yamekuwa ghali. Tozo za kila namna zinaumiza wananchi wa chini. Sasa unaleta porojo! 👇
  19. M

    Pamoja na kulamba Asali, Mbowe alaani utitiri wa magari, msafara wa Rais hauendani na kubana matumizi

    Adai ni matumizi mabaya ya pesa za umma. Mwigulu Nchemba auchuna. Mbowe ahoji utitiri wa magari msafara wa Rais ======= Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema utitiri wa magari katika msafara wa Rais Samia Suluhu Hassan hauendani na dhana ya serikali ya kubana matumizi. Amesema...
  20. L

    Tumpe Faraja Rais Samia kwa namna anavyofanya kazi bila kupumzika wala kukaa kwa ajili yetu Watanzania

    Ndugu zangu Mh Rais mama Samia suluhu Hassani Ni mwanadamu mwenye damu na moyo na mwili wa nyama Kama Tulivyo sisi wengine. Nikawaida kuona hata watumishi wa umma ikikaribia wikend wanafurahi ili wapate muda wa kupumzisha akili na hata kupata muda wa kukaa na Familia zao, kutokanaa na kazi za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…