rais

  1. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Rais wa China Xi Jinping?

    Xi Jinping huenda kaondolewa kwenye wadhifa wa Mwenyekiti wa Tume ya Kijeshi chini ya kivuli cha mapinduzi ya Kijeshi. Inasemekana kuwa Xi kapinduliwa kijeshi. Vikosi maalum vya PLA vimekusanyika katika uwanja wa ndege wa Jeshi wa Shenyang chini ya amri ya Li Qiaoming. Xi Hakuwepo katika...
  2. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Rais Samia kuhusu panya road

    Rais hao panya road wakikamatwa wasiuliwe bali wapelekwe Chunya gereza la Ngwala wakalime na kujifunza mambo mbalimbali yatakaowasaidia katika maisha yao. Gereza la Ngwala halina fence yoyote na wafungwa wanaishi kindugu na kufanya shughuli mbalimbali za uzalishaji. Kwanini gereza halina...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Rais wa China awekwa katika kizuizi cha nyumbani

    Hizi taarifa sio rasmi sana ila zimezagaa sana huko duniani na kwa sasa kuna taarifa kuwa jiji la Beijing limefungwa, haruhusiwi mtu kuingia wala kutoka na kuna msafara mkubwa wa magari ya kijeshi unaonekana kwenda Beijing.
  4. JamiiForums Tanzania Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Habari! Miaka 5 hivi imepita tulikuwa tukikemea mambo fulani mtandaoni. Kitendo cha serikali yenye zaidi ya vyombo sita vya usalama na haki kujichukulia sheria mkononi. Serikali ifuate procedure katika kila zoezi, kama sheria itamtia mtu hatia na kuhukumiwa kuuawa auawe, kama itamfunga jela...
  5. JamiiForums Tanzania Hakuna sababu ya Rais Samia kukaa Msumbiji kwa siku 4

    Habari zenu marafiki na maadui zangu, Cheo cha Urais Tanzania siku zote kimekuwa ni cheo cha 'Rais Mtendaji' na siyo 'Ceremonial President' (msaada wa tafsiri ya Kiswahili). Hata Marais kama Kikwete na Mwinyi ambao kidogo walichukua mlengo wa kuacha mambo yajiendeshe tofauti na Marais wengine...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mageuzi 10 ndani ya Serikali ya Rais Samia yanayo badili sura ya Tanzania Kimataifa

    Historia inaonyesha kuwa orodha ya viongozi mashuhuri Duniani imejawa na watu wanaopenda kufanya mageuzi chanya yenye kuleta mabadiliko. Rais Samia naye ameonyesha kwa vitendo kuwa aina ya kiongozi mwenye kariba hiyo. Haya ni baadhi ya mageuzi yanayotekelezwa kwa weledi mkubwa; 1. Mageuzi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia katuaibisha nje ya Nchi tena. Hizi si Mila za Mtanzania

    Salaam Kitendo cha Kumnywesha juisi Mwanaume kwa glasi anayotumia na yeye akatumia hapo hapo mwanaume alipotoa Mdomo, imetufedhehesha sana Sisi Waisilam na Jamii ya Afrika Mashariki Haya angeyafanya nje ya Camera. Mahaba gani haya jamani? Kumbuka rais wetu ni Mke wa Mtu. Kiprotocal hii...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania Mwakilishi pekee kutoka Afrika aliyekataa kupanda basi ni Rais Sahile Work Zewde wa Ethiopia

    The only African representative who refused to be packed in a bus was the President Sahile Work Zewde of Ethiopia 🇪🇹. She was asked to go by the bus. She said "I won't go like this, I need the same level of respect as others. This has many implication. I have my own Embassy's cars for the...
  9. JamiiForums Tanzania Kafulila: Mwaka mmoja tu wa Rais Samia mauzo ya bidhaa na huduma nje yameongezeka kwa US$ 2.8bl Sawa na Shilingi trilioni 6

    Wakati baadhi ya Watanzania wachache wakiendelea kufumba macho na masikio wasione wala kusikia kazi kubwa na Nzuri inayofanywa na Rais wetu hodari wa awamu ya sita Mhe Samia Suluhu Hassan, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Kafulila ameandika haya Kwenye ukurasa wake wa tweeter kuhusu...
  10. JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Hichilema amenuia kuondoa Sheria inayozuia kumtusi Rais

    Rais Hakainde Hichilema ameahidi kushinikiza kutupiliwa mbali kwa Sheria tata inayoharamisha kumtusi Rais, hata hivyo amesema Sheria iliyopo itaendelea kutumika hadi maboresho yatakapofanyika Ahadi hiyo ni kufuatia malalamiko ya Watetezi wa #HakiZaBinadamu ambapo takriban watu 12 wakiwemo...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni msikivu sana kwa Watanzania ndio maana anaendelea kupendwa na kukubalika kwake na Wananchi

    Ndugu Zangu huo ndio uhalisia wa mambo Wenyewe, Ukiona Namna Nchi ilivyo Tulia kwa Sasa na namna mh Rais Samia anavyoungwa mkono na Watanzania wa vyama vyote, Tambua ya kuwa ni sababu ya Tabia ya Rais Samia kuwa msikivu na kumsikiliza kila mtu mwenye dukuduku au kero au mawazo mbadala au...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto aliyetutamanisha na Hotuba yake nzuri alipoapishwa ndiyo huyu anayelalamika hali mbaya Kenya?

    GENTAMYCINE ni Mtu ambaye huwa kwa 95% siziamini Hotuba za Marais pale wakiwa Wanaapishwa kwakuwa kwa Uzoefu wangu huwa ni Hotuba ya Asali Tamu kwa Kuiona ila Kimatumizi huwa ni Chungu na Mbaya kwa Mlaji / Walaji. Nimemsikiliza na Kumtizama Rais wa Kenya Ruto katika Mkutano wake wa IGAD na...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia, ingilia kati tulipwe fedha za mradi wa Ufugaji samaki kupitia Vizimba-Mwanza

    Mheshimiwa Rais kuna UPIGAJI MKUBWA unaenda kufanyika hapa, tunakuomba uwe mkali kama Hayati Magufuli ili fedha hizi tulipwe sasa. Walikudanganya kwamba tungelipwa kufikia Septemba 15, hadi leo hii ni SARAKASI tu zinaendelea. Mheshimiwa Rais tunakuomba ufike Mwanza na kutoa maelekezo, fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Mrusi wa Buza: Barua ya wazi kwa Rais Putin

    Habari za hapo Moscow Urusi, mimi niko poa kabisa hapa Buza kwa Mparange. Lengo la kukuandikia barua hii ni kuonesha masikitiko yangu kwa kile kinacho endelea hapo Ukraine. Mimi Mrusi wa Buza niliwaaminisha watu mtaani kwangu kuwa tunaweza kuichakaza Ukraine kwa siku 3 tu kama ulivyo tuahidi...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia Anapitiapitia JF

    Mambo kadhaa yanatokea na unaona Rais anayaongelea hivi anapewa taarifa au yeye mwenyewe mkulu wa kaya anapita pita humu JF??
  16. JamiiForums Tanzania Rais, makamu, waziri mkuu, wabunge, majaji na mawaziri waanze kulipa kodi kufidia tozo zilizoondolewa

    Ni wakati muafaka sasa watu hawa walipe kodi ili kuifikia nakisi ya bajeti iliyopitishwa mwezi juni. Huu ndio uzalendo wa kitanzania unaohitajika.
  17. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez awa makamu wa rais caf pamoja na wenzake wengine 10

    RAIS • Ahmed Yahya MAKAMU WA RAIS (WAPO 11) 1• BARBARA GONZALEZ 2• Maclean Cortez 3• Djibrilla Hamidou 4• El Hajoui Hamza 5• Sekou Sylla 6• Shehu Dikko 7• Ransford Abbey 8• Alim Konate 9• Mohamed Yonis 10• Muwanda Haruna 11• Mokhosi Mohapi MSHAURI • Desmond Maringwa
  18. JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez na Wallace Karia watangazwa kuwa Wajumbe wa Kamati za CAF

    Mkurugenzi Mtendaji wa Simba SC, Barbara Gonzalez ametangazwa kuwa Mjumbe wa Kamati ya Maandalizi ya Mashindano ya Vilabu vya CAF na Usimamizi wa Mfumo wa Leseni za Klabu Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ameteuliwa kuwa mjumbe kwenye Kamati mbili. Kamati hizo...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Ruto kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa leo

    Kwa mujibu wa Mkurugenzi wake wa Mawasiliano Hussein Mohamed, Rais William Ruto atatoa hotuba yake ya kwanza baada ya kuapishwa kwenye Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA) leo Jumatano saa 3 usiku katika Jiji la New York, Marekani. Katika hotuba yake ya kwanza kwa Umoja wa Mataifa, Ruto...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Niliwahi kumwambia Hayati Dkt. Magufuli, nakwambia na wewe Rais Samia; Watanzania ni masikini sana!

    Habari Watanzania wenzangu, Kuna jambo ambalo naamini viongozi wetu huwa wanalipuuza wakifika kwenye viti hivyo. Japo Tanzania ina utajiri mwingi sana, lakini Watanzania asilimia kubwa ni fukara sana. Hii ni kuanzia kwa Mawaziri, Makatibu wakuu, viongozi wa Taasisi mbalimbali, Majaji, Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…