rais

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FULL LIST: Rais Ruto amefanya uteuzi wa Baraza la Mawaziri, IGP na DCI wajiuzulu

    Leo Sept. 27, 2022 Rais William Ruto amefanya kikao cha kwanza na Baraza la Mawaziri wa Serikali iliyopita na kisha kufanya uteuzi wa Baraza lake jipya linalojumuisha Mawaziri 21 ambao watasimamia Wizara mbalimbali. Ruto amemteua aliyekuwa Spika wa Bunge la Kitaifa Justin Muturi kuwa...
  2. JamiiForums Tanzania Mambo Matano Ziara ya Rais Samia Suluhu Msumbiji

    Amani Rais Samia alisema amani iliyopo kati ya nchi hizo, inatokana na vyama vilivyopo madarakani hivyo aliomba tunu hiyo ilindwe. “Sasa ili tuendelee kudumu madarakani lazima tuje na fikra mpya, tujifunze kwa vyama vilivyoondolewa madarakani…amani na utulivu ni matokeo ya vyama vyetu kuendelea...
  3. JamiiForums Tanzania Tsh. Bilioni 3 kutumika kusaidia Samia Scholarship

    Jumla ya Sh3 bilioni zimetengwa kwa ajili ya kuwasomesha wanafunzi waliopata ufaulu wa juu katika masomo ya sayansi katika mitihani yao ya kidato cha sita. Ufadhili huo ambao unaanza mwaka 2022/2023 unafanyika chini ya mpango unaojulikana kama Samia Scholarship. Akizungumza hayo leo Jumapili...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katika mapinduzi kidijitali na diplomasia ya uchumi

    Baada ya serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan kuwaleta nchini Tanzania wafanyabiashara zaidi ya 300 kutoka katika nchi 27 (Mwezi August 2022) wanaojishughulisha na mambo ya TEHAMA na kufungua fursa za uwekezaji katika mawanda ya kidijiti. Mwishoni mwa Mwezi ujao (OKTOBA) wafanyabiashara na...
  5. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto akana kufanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta

    Rais wa Kenya, William Ruto amekanusha madia hayo kuwa alifanya kazi kwa siri na Uhuru Kenyatta wakati wa kampeni za uchaguzi wa Rais wa Agosti 9, 2022. Tetesi ni kuwa walikuwa wakifanya kazi pamoja huku Kenyatta akidanganya umma kuwa anamuunga mkono mgombea wa Azimio, Raila Odinga. Ruto...
  6. JamiiForums Tanzania Putin ampa Edward Snowden Uraia wa urusi

    Edward Snowden aliyetoa taarifa za namna serikali ya marekani inawaspy raia wake pamoja na viongozi wa nchi nyingine amepewa uraia wa urusi. Hili ni pigo lingine kwa USA ukizingatia bado Urusi imeendelea kumshikilia Star wa basketball Britney Griner .
  7. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii

    Nawaambia Kama ilivyoandikwa kwenye Vitabu vitakatifu Biblia na Quran Kuna siku yaja Tundu Lissu atakuja kuwa Rais wa nchi hii. Kama ambavyo Mkapa, Kikwete na Magufuli walipambana na Tundu Lissu wakashindwa. Ila Rais Samia yeye ataanguka kabisa iwepo Katiba mpya au isiwepo Tundu Lissu will...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya iko tayari kununua mafuta kutoka Urusi

    Ikiwa baadhi ya Nchi Duniani zimekata ushirikiano na Russia tangu vita yake dhidi ya Ukraine, Rais William Ruto amesema wanazingatia machaguo yote yaliyopo ili kupunguza bei ya Mafuta Nchini humo Amesema, "Sasa nitaendelea na ajenda ya kuhakikisha kuwa tuna uhusiano kati ya Serikali na Serikali...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Uchumi wapaa, wachumi wamsifu Rais Samia

    Uchumi wa Tanzania Bara umekua kwa 5.4% ikilinganishwa na makadirio ya 4.7% katika robo ya kwanza ya mwaka huu huku Zanzibar ukikua kwa 5.1% ikilinganishwa na makadirio ya 5.4%. Wachumi waipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu huku wakisema ukuaji huo ni dalili njema inayodhihirisha kuwa nchi...
  10. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Rais Ruto akosolewa kwa kuchelewa kutaja Baraza la Mawaziri

    Ukosoaji huyo umeanza kupitia mitandao ya kijamii ikiwemo Twitter, huku Mbunge wa Kathiani, Robert Mbui akidai Rais anajivuta sana kutangaza Serikali yake wakati kuna mambo ya dharula yanaikumbuka nchi hiyo Mbunge huyo amesema “Rais anatakiwa kuchagua Baraza la Mawaziri ili tuanze kushughulikia...
  11. JamiiForums Tanzania Rais, Makamu wake na Waziri Mkuu wote wapo nje ya nchi?

    Habari za sasa wanajamii , natumai ni nzuri. Nilikuwa na maswali kadhaa kuhusu ziara za viongozi wetu wakuu wa nchi wa tatu (Rais, Makamu wa Rais, na Waziri mkuu) 1. Je ziara za viongozi wetu hawa kwa mataifa waliyo enda kuzuru zitatamatika lini kwa kila mmoja? 2. Kulikuwa na umuhimu gani kwa...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Wakati Tanzania fedha ikiwekwa benki inapigwa Tozo wenzetu Kenya watajaziwa zaidi. Hongera rais Ruto.

  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia fukuza waziri mambo ya ndani, naibu wake na Igp kwa mauji yaliyofanyika Serengeti.Fanya kama alivyofanya Nyerere

  14. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Mshindi mara mbili wa Olimpiki, Mkenya Eliud Kipchoge, ameshinda kwa kuvunja rekodi yake mwenyewe na kuweka rekodi mpya ya dunia katika mbio za Berlin marathon Jumapili. Akivuka mstari ndani ya saa mbili tu, dakika moja na sekunde tisa aliwahi kwa sekunde 30 kutoka kwenye rekodi yake ya awali...
  15. JamiiForums Tanzania Mfalme wa Marathon! Rais Ruto na Raila Odinga wampongeza Eliud Kipchoge

    Bingwa wa mbio za Marathon za Olimpiki mara mbili Eliud Kipchoge ameshinda mbio za Berlin Marathon kwa kuweka rekodi mpya. Kipchoge alishinda mbio hizo kwa kukimbia saa 2:01:09 katika mbio za maili 26.2. Ameshinda rekodi yake ya Dunia kwa tofauti ya sekunde 30 dhidi ya Mark Korir aliyeibuka wa...
  16. JamiiForums Tanzania Nani atakasimishwa madaraka ya Urais endapo Rais atakuwa kasafiri?

    Wasalamu wana bodi wajuvi, wajuaji, wastaarabu bila kuwashau wale wa lolote sawa. Leo ntatoa desa kidogo kuhusu mtiririko wa ukasimisishwaji madaraka ya Urais(presidential line of succession au hierarchy of presidency) kwa JMT. Mataifa ya wenzetu kama US wao kutokana na muvi zao na kuwa wawazi...
  17. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi Kama Rais Samia Wenye Mioyo ya uvumilivu Hawazaliwi kila Siku Na hawapatikani kila nchi, Watanzania Tuna kila Sababu ya kushukuru kumpata

    Ndugu zangu huo ndio ukweli ulio wazi, Mtu kuwa kiongozi hakubadilishi Tabia yake ya Asili, Kama mtu alizaliwa Ni katili Basi fahamu ya kuwa akipata madaraka atakuwa katili zaidi ya awali kwa kuwa tu Anayo Amri ya kuamrisha lolote kufanyika, lakini pia Kama mtu alizaliwa na moyo wa upendo na...
  18. JamiiForums Tanzania Rais wa ndondi afuta pambano la Mandonga

    Rais wa Ndondi Tanzania, amefuta pambano la Karim Mandonga na Salim Ally kutoka Tanga. Pambano lilikuwa la round nne ambalo walipambana hadi mwisho. Hata hivyo Rais amefuta pambano hilo baada ya referee kutochezesha pambano kwa usawa, ikiwemo kutomuhesabia Mandonga alipoangushwa.
  19. S

    JamiiForums Tanzania CCM wanaipenda sana hii kauli ambayo Rais Hichilema ameipinga

    Mara kibao CCM na wapiga mapambi wamekuwa wakisema "Rais anaangushwa na wateule/wasaidizi wake". Hii kauli Hichilema anaipinga vikali. Anasema uzwazwa wa wateule/wasidizi ndiyo unaakisi uwezo wa aliyewateua.
  20. JamiiForums Tanzania Rais Ruto: Kenya itapeleka Wanajeshi kulinda Amani Jamhuri ya Congo

    Ruto amesema kwasababu Umoja wa Mataifa umetuma vikosi vyake kusaidia katika upatanishi wa amani na kupambana na waasi wa M23, kwa upande wa Kenya ikiwa ni sehemu ya EAC pia itajitolea kusaidia taifa hilo la Afrika ya Kati. Alibainisha kuwa kila nchi ndani ya EAC, ambayo DRC ni sehemu yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…