rais

  1. JamiiForums Tanzania Chungu ya miaka 6 ya utawala wa Hayati Rais Magufuli

    Miaka sita ya uongozi wa Serikali ya awamu ya tano chini ya Rais John Magufuli ilikuwa mwiba kwa Chadema, inayotimiza miaka 30 tangu kuanzishwa kwake, kwa kuwa zilifunguliwa kesi nyingi zilizowahusu viongozi, wanachama na wafuasi pamoja na kushambuliwa, kuuawa na wengine kutoweka. Licha ya...
  2. JamiiForums Tanzania Marekani: Nyaraka nyingine 6 za siri zakutwa nyumbani kwa Rais Joe Biden

    Wachunguzi wa Idara ya Haki ya Marekani (DoJ) wamesema wamezipata nyaraka hizo wakati wa upekuzi wa saa 13 katika nyumba iliyopo Delaware. Baadhi ya nyaraka hizo ni za wakati Biden akiwa Seneta, nyingine akiwa Makamu wa Rais chini ya Barack Obama, ambapo Wakili wa Biden, Bob Bauer amesema...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia atakuja kushinda tuzo ya Kiongozi Bora ya Mo Ibrahim

    Mo Ibrahim Leadership Prize ni tunzo anayopewa kiongozi msataafu aliyetumikia nafasi ya juu kabisa ya uongozi miongoni mwa nchi za Kiafrika, na katika uongozi wake aliheshimu na kuruhusu demokrasia, akasimamia utawala bora na kuondoka madarakani kwa kuheshimu mihula ya kiuongozi na kukabidhi...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Paul Biya wa Cameroon afanya sherehe ya kutimiza miaka 40 madarakani

    Paul Biya ni Rais wa Cameroon ambapo amekaa madarakani miaka 40 sasa. Katika kipindi hiko chote Wacameroon wamekuwa wakimchagua tena kwa kishindo. Rais Paul Biya anaishi nchini Ufaransa kwa muda wingi wa utawala wake. Hii ndio Africa ambayo Trump aliwahi kutuambia tunahitaji kutawaliwa miaka...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA mtawaambia nini wana Mwanza kuhusu Hayati Rais Magufuli

    Leo Chadema wanaanza mikutano yao ya kisiasa Jijini Mwanza ambapo ndio kitovu cha kanda ya Ziwa,takwimu za sensa kwa namba zinaitaja Mwanza kama mkoa wenye watu wengi kuliko mikoa yote,Mwanza ikiwa na wakazi 3,699,872 kitakachofanyika Mwanza kitapokelewa Kagera yenye wakazi 2,989,299 kitafanyiwa...
  6. JamiiForums Tanzania Polisi watii maelekezo ya Rais Samia, wawalinda CHADEMA

    Tulioko Mwanza tumeshuhudia, Polisi wanatii maelekezo ya Rais Samia Suluhu anayetaka viongozi na wanachama wa upinzani wapewe ulinzi wa kutosha wakitimiza haki zao za Kidemokrasia. Mika michache hapo nyumba tuliona viongozi wa upinzani wakikamatwa kila walipojaribu kusimama hadharani kufanya...
  7. JamiiForums Tanzania Je,Utawala wa Rais Hassan ndio Umemfitini James Mbatia NCCR-Mageuzi, je, Tanzania Mpya yenye uponyaji

    Hello JF Wote au baadhi tunafahamu namna James Mbatia alivyo na amejidhihiri kuwa mstari wa mbele kuonya, kushauri na kukemea maovu kwa namna ya heshima, unyenyekevu na staha yenye uzalendo kwa nchi yake. Ni ajabu kuona yaliyotokea juu ya nafasi yake ya uenyekiti wa NCCR Mageuzi katika...
  8. JamiiForums Tanzania Kila nikimsikia Rais Dk. Mwinyi wa Zanzibar Redioni na Runingani anafurahia Amani iliyoko huko je, ni kweli kuna Amani sasa Zanzibar?

    Tafadhali Wazanzibari ( hasa kutoka Pemba ) bila Kuwasahau wa Unguja GENTAMYCINE nauliza je, ni kweli kwa sasa mna hii Amani ya Kudumu ambayo Kutwa namsikia Rais wenu Dk. Hussein Ali Mwinyi anaihubiri Redioni na Runingani? Kazi yangu Kubwa ni kuso ma tu Maoni yenu hapa kwani kwa ninavyowajua...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ipo siku Wapinzani watatamka hadharani kuwa Watamuunga mkono Rais Samia Uchaguzi ujao

    Ndugu Zangu Watanzania, Huo Ni Utabiri wangu kwa jicho la mbali kwa kuangalia Hali ya mambo Inavyoendelea hapa nchini,Kwa namna Rais Samia anavyokubalika,anavyopendwa na watanzania,alivyoiteka mioyo ya watanzania,uchapa kazi wake uliotukuka,Dhamira yake njema katika kulijenga Taifa letu,upendo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Wakili Tundu Lissu akielezea mabadiliko makubwa matatu chini ya uongozi wa Rais Samia yaliyomfanya aamue kurudi nyumbani

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA , Tundu Lissu akielezea sababu zilizomfanya arudi nyumbani Tanzania baada ya miaka 5 akiishi ugenini. Hii ni hatua njema hususani katika kuimarisha demokrasia nchini, Rais Samia Suluhu Hassan wakati anaingia madarakani alisema matamanio yake ni kujenga nchi mmoja...
  11. JamiiForums Tanzania Joseph Mbilinyi (Sugu) alikuwa sahihi, Rais Samia anaendesha nchi vizuri

    Januari 12,22023 , Mbunge mstaafu wa Mbeya kwa tiketi ya CHADEMA , Joseph Mbilinyi alitweet" Nchi inaenda, so far so good. Hakuna tena kuokota viroba Coco, wala raia kutekwa ovyo na state. Mengine yote yanazungumzika,na tutakutana kwenye mikutano ya hadhara soon. Mungu aendelee kuwapa busara...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa makini, Sukuma Gang na CHADEMA wanaweza kuungana

    Urusi na Marekani japo walikuwa mahasimu waliungana na kumuangusha Hitler kwenye vita ya dunia. Ni jambo ambalo Hitler mwenyewe hakua analifikiria. Hii inatupa somo kuwa, watu ambao ni mahasimu wakubwa ambao hata hukufikiria wataungana, wanaweza kuungana ikiwa malengo yao yanafanana. SG na...
  13. JamiiForums Tanzania Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Rais anakazana kupata mikopo na misaada lakini mifumo ya ukusanyaji kodi, tozo na mapato mengine imetoboka sana

    Unaweza kujenga Imani Kwa wageni kuja kuwekeza nchini Kwa wingi; wageni wakafika Kwa wingi na kutumia fursa Ila usinufaike na kuwepo Kwa wageni hao. Juhudi za Mhe. Rais zinaweza zisizaie matunda Kwa Sababu aliowaamini kwamba wanaweza kukusanya na kuhifadhi mapato yatokanayo na uwekezaji wa...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Ikulu yetu haina taarifa za Rais zaidi ya picha zake na wazungu?

    Tangu rais aende kwenye mkutano wa Davos nimekuwa nafuatilia mafanikio ya ziara hiyo kiuchumi bila mafanikio. Kila taarifa inayotolewa na Ikulu mitandaoni, haina maelezo ya manufaa zaidi ya Rais kasimama na huyu, akiwa mkutanoni, anapewa zawadi, n.k. Hatusikii kazungumza lipi na nani la...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Alichozungumza Rais Samia Kwenye Jukwaa la Uchumi, Davos nchini Uswisi

    Rais Samia Suluhu amehimiza sekta binafsi kuwekeza Afrika katika uzalishaji wa nishati jadidifu ili kuhakikisha upatikanaji wa uhakika wa nishati hiyo. Ametoa wito huo akichangia mada katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani unaofanyika Davos, nchini Uswisi.
  17. B

    JamiiForums Tanzania CHADEMA jifunzeni kwenye Ziara ya Makamu wa Rais Kahama

    Habari kutokea Kahama zinasema Dr. Mpango yupo wilayani humo tokea juzi. Uwepo wake umekuja na adha itakayobakia mioyoni mwa wakazi wa huko Kwa muda mrefu. Taarifa zinasema jana barabara zote za maana kwa zaidi ya masaa 4 zilikuwa zimefungwa. Hii ikiwa kuanzia saa mbili hadi baada ya saa nne...
  18. JamiiForums Tanzania Marekani: El Chapo amuomba Rais amrejeshe Mexico

    Mlanguzi wa dawa za kulevya Joaquin "El Chapo" Guzman ameomba msaada kwa Rais wa Mexico kutokana na madai ya mateso ya kisaikolojia anayopata katika gereza la Marekani. "Katika miaka sita ambayo Joaquin amekuwa nchini Marekani, hajaona jua," alisema Jose Refugio Rodriguez, mwakilishi wa...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta ya kilimo itakua kwa 30% kufikia Mwaka 2030

    President Samia Suluhu Hassan has said Tanzania expects it's agriculture sector to grow at an annual rate of 10% by 2030 compared to the current growth of around 3.6% as part of the country's ambitious agriculture transformation vision. The President said Tanzania has developed a national...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Kama Hayati Magufuli angeshirikiana na Tundu Lissu Mafisadi na wala rushwa wengeisha. Maendeleo fasta

    Tukubaliane kwanza kuwa Utendaji wa Hayati Magufuli akiwa Waziri wa Miundo mbinu ambapo alitumikia Taifa kwa zaidi ya miongo mitatu ulitia fora. Angalau kwa hilo tulimpongeza sana. Jambo la pili ambalo tunakubaliana sote kwa pamoja ni kuwa Mh Adv Tundu Lissu alitia fora ktk vipindi vyote vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…