rais

  1. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki, mpe Rais Samia maua yake kwanza

    Nimesikiliza wimbo wa Roma Mkatoliki, napenda ila Chorus hasa kwa kuwa ameimba ABIUD ambaye wengi wanapenda anavyoimba mitaani. Roma amefanya vyema kumopa nafasi kuimba Chorus japo kweli Chorus na anachoimba Roma havifanani. Katika wimbo huu Roma anaomba kupewa maua yake ayanuse kabla hajafa...
  2. JamiiForums Tanzania Picha za Rais Samia baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa anatoka katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA (Mfalme Mohamed VI wa Morocco) uliopo Kinondoni Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuswali Sala ya Eid El-Fitri tarehe 22 Aprili, 2023.
  3. JamiiForums Tanzania Gari ya Kipanya iwe usafiri rasmi wa Rais Samia

    Heri ya idd ndugu zangu. Tanzania ni moja ya nchi chache Sana duniani ambazo tunatengeneza Magari halafu official state car bado tunatumia gari za nchi nyingine. Viongozi wakuu wa nchi za Marekani, ujerumani, Japan na Uingereza viongozi wao wanatumia kampuni za nyumbani. Bibi la Bibi...
  4. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki anafaa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Roma ni mzarendo na anaipenda nchi yake kwa dhati. Licha ya kuishi nchi ya mbali na nyumbani, tena nchi ya kitajiri, moyo wa Roma umekuwa ukinung'unika sana kuona ni kwa namna gani pesa za kuezeka nchi zinavyopigwa na wavaa tai Roma anaijua siasa vizuri, elimu anayo, ana IQ kubwa. Pia ni...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi ukiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo utafanya nini kwa Taifa lako?

    Suppose umepata nafasi ya kuwa Rais wa Tz. leo keeping other factors constant ungefanya nini au mambo gani mema yenye kuleta maendeleo usisahaulike? I well come you all
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid Al Fitr Waislam wote

    Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda yaliyo mema, kuwajali wengine, sadaka shukrani na ibada kwa mwenyezi Mungu" . Kupitia Ukurasa wake wa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi amshukuru Rais Samia kwa kuwapatia gari la kusimamia elimu Jimboni

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi wa maendeleo ya elimu ya sekondari. Gari hilo limeshakabidhiwa Jimboni tayali kwa usimamizi wa elimu...
  8. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua Mshauri wa Sheria na Mshauri wa Mabadiliko ya Tabianchi na Mazingira

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- 1. Amemteua Jaji George Masaju kuwa Mshauri wa Rais, Masuala ya Sheria (Advisor to the President – Legal Affairs). Jaji Masaju ni Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Dodoma. Uteuzi huu umeanza tarehe 20...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina awekewe ulinzi iwapo kweli tuna maana ya kupiga vita ufisadi!

    Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu hatari kama how, Sisi ambao tuko nyuma ya vita hiyo, jambo moja tu tunapaswa kufanya, Ni kumuunga...
  10. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni agoma kusaini Muswada wa sheria unaopinga Ushoga uliopitishwa na Bunge akitaka ufanyiwe marekebisho

    President Yoweri Museveni of Uganda has refused to sign into law a controversial new bill against homosexuality that prescribes the death penalty in some cases, requesting that it should be amended. Museveni’s decision was announced late on Thursday after a meeting of parliamentarians in his...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Hivi hatuwezi kufanya kama Nigeria, Rais kuweza kujiteua nafasi ya Uwaziri?

    Rais Buhari alipoingia madarakani alifanya baadhi ya maboresho kwenye uongozi na moja ya mabadiliko aliyofanya ni kujiteua kama waziri wa nishati wa Taifa hilo lenye uchumi mkubwa zaidi barani Afrika. Lengo kubwa ni kuhakikisha usimamizi unakuwa mkubwa katika sekta hiyo kubwa kwenye uchumi wa...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  13. JamiiForums Tanzania EWURA, Utaratibu wa kujenga Vituo vya Gesi asilia kwaajili ya Magari upoje?

    Mwanzoni nlijua ni TPDC peke yake kumbe shida na EWURA ni Shida. Wanakwamisha vibali vya kufunga vituo vya kujazia Gesi asilia kwenye magari. Kwa sasa Tanzania nzima vituo vilikuwa viwili tu vya kujazia gesi yaani Ubungo na Tazara sasa kituo cha Tazara kikapata hitilafu wakaambiwa warekebishe...
  14. JamiiForums Tanzania Balozi Kagasheki ateuliwa kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya PAROLE

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili, 2023.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Tunaishi kwenye nchi yenye watu 60M+ ambayo wenye uhakika wa ajira ni Rais wa JMT na Zanzibar tu

    Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani afanye business Nani asifanye business. Kwa msingi huu wapo watu wawili Tu wenye uhakika wa ajira...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Mambo matatu kwa Rais Samia yatakayoimarisha utawala wa awamu ya 6

    Habari jf ,binafsi nimefanikiwa kuishi na wazanzibar wengi sana ,kitu kikubwa nlichokiona kwanza hawana tamaa ya Mali na ni wa aminifu sana. Hivyo basi binafsi Nina Imani kubwa sana na Rais Samia na kama atayashughulikia haya mambo matatu basi utawala wake utakuwa wa mafanikio sana :- 1.Kuacha...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ofisi ya Rais - Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Anjela Kairuki jiuzulu!

    Nirejee kusema kuwa Waziri Anjela Kairuki Wizara hiyo imekushinda. Wizi ni 100% kwenye mikoa na Halmashauri, nchi pia ukirejea ripoti ya CAG. Nikutake utamke neno moja Tu, Jiuzulu nafasi hiyo japo Hata Samia mambo yamshinda Yeye Tutakuwana naye kwenye kampeni 2025
  18. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge anataka uwazi kwenye ajira Bila kutafakari mfumo wa uwazi katika Teuzi za Rais?

    Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa. Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye...
  19. JamiiForums Tanzania Ofisi ya Rais Ikulu kutumia Tsh. Trilioni 1.1 mwaka 2023/24

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewasilisha Bajeti ya Tsh. Trilioni 1.1 kutoka Ofisi ya Rais na kufafanua matumizi yake ambapo Ofisi ya Rais Ikulu itatumia Tsh. Bil. 32, Sekretarieti ya Baraza la Mawaziri Tsh. Bil. 678.19 za Matumzi ya...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano ya ACT Wazalendo kuelekea Ikulu kushinikiza waliotajwa wizi kwenye ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua

    Maandamano makubwa yameanza eneo la Fire Kariakoo yakiwa yameandaliwa na ACT-Wazalendo kushinikiza wezi wote walionaswa na Ripoti ya CAG waondolke maofisini kwenda magerezani. Maandamano yanaongozwa na viongozi waandamizi wa chama hicho Cha upinzani na yataishia lango Kuu la Ikulu ya Magogoni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…