rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa Uturuki, Recep Tayyip Erdoğan, amepatwa na mshtuko wa moyo

    Hali ya Rais wa nchi ya Uturuki Recep Tayyip Erdoğan amegua gafla na kukimbizwa Hospital baada ya kupata mshtuko wa moyo akiwa akijindaa kwenda kwenye mahojiano na kituo kimoja wapo cha Television nchini mwao. Uturuki inatarajiwa kufanya uchaguzi May 14, 2023 ambapo Rais wa Uturuki Edogan...
  2. JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Rais Samia Katika Kilimo una Dhamira ya Kuzalisha Ajira kwa Vijana

    UWEKEZAJI WA RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN KATIKA KILIMO UNA DHAMIRA KUZALISHA AJIRA KWA VIJANA-NDG KAWAIDA Mwenyekiti Mohammed Ali Kawaida (MCC) ameadhimisha Sikukuu ya Miaka 59 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kutembelea na kukagua maendeleo ya programu ya Boresha Kesho Iliyo Bora...
  3. JamiiForums Tanzania Urusi inazidi kutengwa, Zelensky na rais wa China wafanya mazungumzo marefu

    China ndio ilikua tegemeo la Urusi na kwa hali inavyokwenda hali inabadilika... Pia balozi mpya ameteuliwa kuwakilisha Ukraine China Zelensky appoints ex-minister for strategic industries as ambassador to China Zelenskyy said he had “a long and meaningful phone call" with Xi. His press officer...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia asamehe wafungwa 376 Maadhimisho ya miaka 59 yaMuungano

    Katika kuadhimisha miaka 59 ya Muungano wa Tanzania Bara tarehe 26 Aprili, 2023 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Mamlaka aliyopewa chini ya Ibara 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa 376. Kati ya wafungwa hao 376 watanufaika na...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yaondoa raia wake nchini Sudan, watumia mabasi raia wa nchi nyingine walisaidiwa na mabasi hayo pia

    Kwa muda sasa mji Mkuu wa Sudan, Kahrtoum umegeuka uwanja wa vita ukishuhudi mapigano makali ya kati ya jeshi la nchi hiyo na wanamgambo nchini humo ambapo miundombinu imeharibiwa kwa kiasi kikubwa sana. Mshike mshike wa nchi mbalimbali kuwaondoa raia wake nchini Sudan unaendelea huku nchi za...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na mtoto Hamimu Mustapha aliyetibiwa maradhi ya ngozi yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mtoto Hamimu Mustapha Baranyikwa (15) mwenye matatizo ya ngozi ambaye ni mkazi wa Nyakanazi Mkoani Kagera. Mtoto huyo Hamimu alifika Ikulu kwa ajili ya kumshukuru Mhe. Rais kwa msaada wa matibabu...
  7. JamiiForums Tanzania Kijana Hamim asaidiwe amuone Mh. Rais kumshukuru kwa moyo wake wa upendo

    Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam "Nilisikia Rais Samia anapita Nyakanazi na mimi kwetu ni pale pale Nyakanazi. Wazazi walinikataza, wewe usiende na hali hiyo uliyokua nayo watu wanakukimbia. Unaenda kufanya nini, watakupiga." Hayo ni maneno ya Hamimu Mustapha Baranyikwa (15), mkazi wa kijiji...
  8. JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC Wenzangu JF Kocha Nabi na Rais Injinia Hersi hawatufai tuwatimueni upesi

    Timu juzi kule Nigeria imecheza Mchezo mbaya mno na inaonyesha Nabi siyo Kocha mzuri hivyo tumtimueni tu. Rais wa Yanga SC Injinia Hersi Said hatufai kabisa kwani Katusajilia Michezaji isiyojua Kama Mayele na Beki mbovu Mwamnyeto. Naombeni wana Yanga SC Wenzangu wote hapa JamiiForums Kesho...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia amewateua Diamond na Shilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Malaria

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Mwimbaji Staa wa Bongofleva Naseeb Abdul Diamond Platnumz @diamondplatnumz na Msanii Zuwena Mohamed Shilole @officialshilole kuwa Wajumbe wa Baraza la Taifa la Kutokomeza Malaria. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu @ummymwalimu ametangaza uteuzi huo...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Tanzania ina wahubiri wengi wendawazimu na wabaya kuliko huyo mmoja wa Kenya

    Mwanao GENTAMYCINE nakuomba kimya kimya agiza watu wako (hasa wa system) wafuatilie, nakuhakikishia Mheshimiwa Rais utaletewa taarifa za ajabu na za kusikitisha kuliko hata aliyoyafanya huyo Mhubiri mmoja mpumbavu, muhuni, mwendawazimu na gaidi wa Kenya. Kuna mmoja anawaambia mabinti wapakae...
  11. JamiiForums Tanzania Kero za Wafanyakazi ambazo TUCTA wataziwasilisha mbele ya Rais Samia siku ya Mei Mosi 2023

    Habari za leo ndugu wakuu! Nawasalimu kwa jina la JMT. Baada ya salamu naomba niingie kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi bila kuwachosha. Wakati siku ya wafanyakazi duniani ikikaribia, naomba niweke wazi kero za wafanyakazi, hasa wa sekta ya umma, ambazo Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar, ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Sikubaliani na mabadiliko ya Katiba yenye lengo la kumpunguzia madaraka Rais

    Ni siku nyingine Mwenyezi Mungu ametujalia kuiona, tukiwa wazima wa afya na amani ya kutosha. Mungu ni mwema nyakati zote. Kama ilivyo kawaida, waona mbali huwa hawaeleweki kwa 'matomaso' na hawa ni mpaka waone ndio waamini na hivyo jukumu letu sisi waona mbali ni kuwasaidia 'matomaso' before...
  14. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

    Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyoandika historia Kigoma

    Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu imeandika historia mkoani Kigoma ambapo imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 567 kwa ajili ya miradi tisa ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa 420 kwa kiwango cha lami mkoani humo. Ujenzi wa barabara hizo zitawezesha mkoa huo kuunganishwa...
  16. JamiiForums Tanzania Taifa kuwa na Rais asiyeweza kudhibiti Ubadhirifu na Wizi wa Mali za Umma ni taifa linaloangamia na kupotea

    Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi. Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini na kuteseka. Alafu mkuu wa nchi anakuwa dhaifu na kuacha pesa za umma zinaibiwa kama peremende...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Huyu mheshimiwa naona kila akiingia ndani anatoka kavaa nguo nyingine. Hivi hizo nguo anazobadili kila sekunde ni sisi walipa kodi tunagharamia?
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia awainua Mbowe na Lipumba kwenye baraza la Eid, amsifia Mbowe kupendeza kwa kanzu

    Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na kuyaishi maono yake ya kuwa na Tanzania moja isiyogawanywa kwa misingi ya kisiasa Kabla ya kuanza...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua

    Mtoto aliyesaidiwa matibabu na Rais Samia atoa simulizi ya kusisimua * Asema watu wazima, watoto walimkimbia kutokana na maradhi yake ya ajabu * Amwaga shukrani kwa Rais Samia kugharamia matibabu yake na kumpa nuru mpya ya maisha Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KIJANA Hamimu Mustapha...
  20. JamiiForums Tanzania Ukiisoma hii hadithi unamuela Rais Samia kwanini alisema Stupid ila mpaka leo hatujui stupid ni nani

    “If to correct you must humiliate; you don't know how to teach.” An old man meets a young man who asks: “Do you remember me?” And the old man says no. Then the young man tells him he was his student, And the teacher asks: “What do you do, what do you do in life?” The young man answers: “Well, I...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…