rais

  1. Tuletewe mikataba 15 aliyotia saini Rais Samia mwaka jana nchini China tuijue ina nini ndani yake

    Wakati mjadala mkubwa ukiwa kwenye mojawapo ya mikataba ya ushirikiano kati ya Tanzania na nchi ya Falme za Kiarabu ya DP World tukumbeke pia mwaka jana Novemba Rais Samia alitembelea China na kusaini mikataba 15 ya ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na China. Ni vyema mikataba hiyo 15...
  2. Prof. Mbarawa uzembe mliofanya wizara ya uchukuzi unamchonganisha Rais Samia na Wananchi

    Taifa zima tunabishana mambo madogo ambayo yanatokana na kukosa umakini. Ni upuuzi na ujinga. Gwajima alisema watu wa serikalini hawana exposure mtu kama Prof. Mbarawa pamoja na kusoma kuwa Professor anashindwa ku calculate public damage yaani akili za kijinga sana kukosa exposure na maarifa...
  3. Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
  4. H

    Ahsante sana mzalendo aliyevujisha mkataba wa Dp World, Mungu akulinde, na akuzidishie maisha marefu kwa zawadi uliyotoa kwa mama Tanganyika.

    Wiki ya pili na tunaelekea wiki ya tatu saasa , masikio, macho na mioyo ya wana wa tanganyika yamegoma kuelewa, kupokea, au kusikia nyimbo, mapambio na kelele, maelekezo juu ya uwekezaji tata ulioambatana na mkataba tata wa DP world na mama JMT juu ya bandari za Tanganyika pekee zenye muundo...
  5. Kwa waliotunga sheria Hii; Kama Rais ni mzalendo na muadilifu ni sababu gani ikawepo kinga ya kutoshtakiwa?

    KWA WALIOTUNGA SHERIA HII; KAMA RAIS NI MZALENDO NA MUADILIFU NI SABABU GANI IKAWEPO KINGA YA KUTOSHTAKIWA? Anaandika, Robert Heriel Moja ya sheria inayonifanya nione nchi yetu bado hatuko serious ni sheria inayomkingia Kifua Rais KUTOSHTAKIWA. Kwa kweli sheria Hii sio tuu ni ya ajabu Bali ni...
  6. Lema anakubali mpango wa Rais Samia kuleta wawekezaji bandarini

    Jana Lema alikuwa Serena Hoteli kwenye mjadala uliohusu uwekezaji kwenye maeneo mbalimbali ya nchi yetu ikiwemo bandari. Alikuwa pale na kina Mzee Ulimwengu, Rostam Aziz, Wasira na watu wengu wengine. Kwenye meza yake, Lema alikaa na Zito Kabwe na watu wengine mashuhuri. Lema alipochangia...
  7. H

    Prof Anna Tibaijuka: Hili sakata la DP world litamuangusha Rais Samia na serikali yake

    Mbunge mstaafu Prof Anna Tibaijuka amepinga vikali mkataba walioingia Tanzania na Kampuni ya DP World amesema kuwa una vipengele vingi vya ovyo mf kifungu Cha 4:2 Amesema hayo akihojiwa na kipindi Cha Jana na Leo Cha Wasafi fm. Prof amesema issue hiyo ni very sensitive na haikupaswa iendeshwe...
  8. Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana

    Watanzania ni watu wenye hofu na mabadiliko Ilipokuja mwendokasi walipinga Tukaja na bwana la Nyerere walipinga Tukaja na SGR walipinga Sasa ni zamu ya bandari nayo wanapinga Rais Samia kanyaga twende tumechelewa sana nchi hii inahitaji kupata maendeleo Prof Mbarawa na Feleshi mkubali mmekosea...
  9. J

    Anna Tibaijuka: Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential, tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga!

    Prof Anna Tibaijuka anasema Dubai ni Mshindani Wetu kwenye kuendeleza Transhipment potential so tukimkabidhi Bandari zote ni sawa na Kujinyonga Tibaijuka anasema kupitia Ukurasa wake wa twitter kwamba bado ana Imani Mkataba Huo wa DP World utarekebishwa kwa kutumia Wataalamu Wetu wa Uchumi...
  10. Kanisa Katoliki, Muungeni Mkono Rais Samia kwa kuwa Uraisi amepewa na Mungu

    Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa, nitoe Rai kwa Kanisa Katoliki ambalo ni kanisa Mama na lenye mchango wa kipekee kwa hili Taifa tangu uhuru mpaka sasa. Sisi waumini na wananchi kwa ujumla tunaona ufinyu wa nafasi yenu katika kuunga mkono serikali ya Rais Samia tofauti na serikali iliyopita...
  11. Ludovick Utouh: Hatuwajibiki Kumshukuru Rais, Kujipendekeza Hakutusaidii

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Mstaafu, Ludovick Utouh amesema sio sawa kwa Watu kumshukuru Rais kwasababu anachokifanya ni Uwajibikaji na Fedha zinazotumika ni Fedha za Serikali na sio za Mtu. Amesema "Kama kushukuru inabidi Kuishukuru Serikali lakini sio mtu, na sasa hivi kuna...
  12. S

    Rais Samia anatengenezewa shida/ugumu ili asigombee 2025?

    Kuna haya masuala 2 yanamuweka rais Samia njia panda ktk nia yake ya kusaka kipindi cha pili cha urais. 1. Kubinafsisha bandari. 2. Kupiga marufuku uuzaji wa mazao nje ya nchi. Ikumbukwe kauli ya rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema "2025 mgombea wetu (ccm) wa urais atakuwa mhe. Samia, labda...
  13. Ningekuwa Rais Samia nisingewachukulia poa tena Watanzania

    Ningekuwa Samia hilo la BANDARI kuhojiwa kwa zaidi ya wiki 2 na Watanzania isivyotarajiwa hakika ningeshtuka na kuwa upande wao kwa kuwasikiliza, kujibu hoja zao mimi mwenyewe na ningetafuta namna bora ya kuliweka ili kuondoa SINTOFAHAMU kubwa nchini! Ukweli ni kwamba Watanzania wamebadirika si...
  14. Rais Museveni apona COVID-19, ajinadi yeye ni Veterani kwa kuushinda Ugonjwa huo

    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ametangaza kuwa hatimaye amepona virusi vya ugonjwa wa Covid-19 baada ya vita vya wiki mbili na virusi hivyo. Mkuu huyo wa nchi mwenye umri wa miaka 78, katika taarifa yake Jumapili, alisema kwamba matokeo ya vipimo yalirudi yakionesha kuwa hana Covid na sasa...
  15. S

    Rais wa UEFA Ceferin atoa Onyo kinachoendea Saudi Arabia

    Rais wa UEFA Ceferin: "Usajili wanaoufanya SAUDIA ni makosa kwa soka la kwao. Wawekeze hizo pesa kwenye academy, walete makocha na waendeleze wachezaji wao wenyewe, kununua wachezaji wanaomalizia soka lao sio mfumo wa kuendeleza soka, kosa kama hilo walilifanya China.”
  16. Ushindi wa Taifa Stars waipa Milioni 10 kutoka kwa Rais Samia

    Baada ya Tanzania kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya Niger katika uwanja wa Taifa wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kwa goli la Simon Msuva, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa kupitia ukurasa wake wa Instagram amendika kuwa #GoliLaMama linaendelea na Taifa Stars imejinyakulia Shilingi...
  17. T

    Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  18. Heko Rais Samia umetupa jiwe gizani wakapambane nalo!

    Wizi mkubwa unaofanyika bandarini kwa asilimia 75-80 hufanywa na baadhi ya viongozi waandamizi tena wenye heshima kubwa serikalini. Kufunga mkataba huu kutaboresha na kufunga baadhi ya njia za wizi kabisa. Asante mama umenena na wezi kisayansi maana wengine ni watu wazito kabisa. Mifumo yote...
  19. M

    Kwa namna Watanzania masikini wanavyohangaika kupata chakula Rais Samia mfute kazi ya uwaziri Hussein Bashe

    Sasa hivi ni kipindi cha mavuno hasa ya mpunga lakini chakula kipo bei ya juu. Huyu waziri mwenye dhamana ya chakula amefeli Mahindi yanauzwa vijijini debe elfu ishirini. Waziri makini lazima angekuwa makini kulinda walaji wa ndani. Hata nchi kama Usa haiwezi kuexport chakula hovyo bila kuwa...
  20. L

    Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…