rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), yatakayofanyika kesho. Kwa mujibu wa taarifa kwenye maadhimisho kumeandaliwa mambo mbalimbali...
  2. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ulinzi Asema JKT Inatekeleza Maagizo ya Rais Samia

    WAZIRI wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Innocent Bashungwa, kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kuienga Taifa (JKT) kesho, amesema IKT itaendelea kutekeleza, agizo la Rais Samia Suluhu Hassan la kuibua na kutambua vipaji vya vijana na kuviendeleza. Bashungwa aliyasema hayo jana...
  3. JamiiForums Tanzania Royal Tour ya Rais Samia yaipaisha AICC

    Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), Ephraimu Mafuru amesema Tanzania imepanda hadi kuwa nchi ya tano kutoka nchi ya 11 barani Afrika kwa utali wa mikutano hatua iliyochangiwa na uzinduzi wa filamu ya The Royal Tour iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan...
  4. JamiiForums Tanzania Ushabiki wa Rais Samia kwa Yanga na athari ya haki kwa waamuzi

    Mwaka huu tumeshuhudia site kuwa Rais Samia ni Shabiki lialia wa Yanga. Ni kiasi ambacho amefikia kujisahau kuwa yeye ni kiongozi mkubwa nchini. Hapo zamani tulizowea kuona Marais walijaribu kuficha mahaba Yao kwa timu zao. Tunakumbula Magufuli alifikoa kushona jezi vipande viwili ili kuondoa...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Rais wa kwanza shoga kutoka Ulaya aapishwa huko Latvia

    Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko Ulaya Mashariki. Umoja wa Ulaya umewahi kuwa na viongozi mashoga wa serikali lakini sio kiongozi mkuu...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Tunasubiri kuona Rais Samia atafanya nini kwenye sakata la Bandari

    Suala la mkataba wa kubinafsishwa kwa bandari za Tanzania limekuwa gumzo kubwa la kisiasa kuwahi kutokea hapa nchini. Sakata hili limewaamsha watanzania wengi kuhusu mikataba ambayo viongozi wetu huingia kwa niaba ya Taifa zima na umuhimu wa kuwa na viongozi wazalendo wenye kusimamia maslahi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tuliokuwa tukimsilibia Waziri Nchemba atumbuliwe na Rais leo hii tunajisikiaje akiendelea Kuaminiwa na kuwa Waziri wa Fedha tu?

    Leo ndiyo nimeamini Wanadamu wanaweza Kukuchukia kwa kila namna na hata Kukuombea Ufe kabisa au Maisha yako yawe Magumu kama yao ( waliyonayo ) ila Mwenyezi Mungu na Malaika wake wakisema HAPANA basi jua ni HAPANA Kweli. Mwenye ule Wimbo niupendao ( jina nimesahau ) wa Zablon Singers aniwekee...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake tumuunge mkono Rais Samia kuvutia uwekezaji

    Tanzania imepiga hatua kubwa katika kuvutia wawekezaji kuja kuwekeza kupitia sekta mbalimblai zikiwemo utalii, afya, elimu ili kuchochea ukuaji wa uchumi. Kitendo cha Rais Samia Suluhu kuvutia uwekezaji ni jambo zuri, kwa sababu kinasaidia kuelta maendeleo mazuri na kuchochea ukuaji uchumi na...
  9. JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: Watanzania tunaomba mtuamini (kuhusu uwekezaji Bandarini)

    Waziri Mkuu ameomba Watanzania waiamini Serikali kwenye uwekezaji unaotaka kufanyika Bandari, akidai kuwa sio uwekezaji wa kwanza wala sio jambo jipya bali kulikuwa na mwekezaji ambaye walimpa vipindi vya kumfanyia tathmini hadi akafika miaka 22 na ameondoka Novemba mwaka 2022; hivyo DP World...
  10. JamiiForums Tanzania Tunaweza mlaumu sana Rais Samia kwa hili, lakini hii nchi iliharibiwa sana na watangulizi wake, ni ile tu ukweli hausemwi

    Wakuu umofia kwenu. Niende moja kwa moja kwenye Mada... Nianze na lawama kwa watu wa serikali, na hasa kina Msigwa, kukwepa wajibu wao wa kusema ukweli, badala yake wanalipa hela nyingi wapiga porojo( nazungumzia hili la DP world) Tanzania nchi yetu kwa bahati mbaya sana ni nchi yenye...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Vikao vya Uongozi wa CCM Ngazi ya Taifa, Jijini Dodoma, Tarehe 9 Julai 2023

    Vikao vya Kamati Kuu (CC) ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa na Halmashauri Kuu ya CCM (NEC) Taifa, chini ya Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan, vitaketi siku ya tarehe 9, Julai, mwaka 2023, jijini Dodoma. Vikao hivyo vya kawaida vya Uongozi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Picha za matukio: Ziara ya Rais Samia Nchini Malawi akiwa na mwenyeji wake, Rais Dkt. Chakwera

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni View Point pamoja na Rais wa Malawi, Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea Maeneo yaliyoathirika na Kimbunga Freddy, Blantyre nchini Malawi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye eneo la Kapeni "view point" pamoja na Rais wa Malawi Dkt. Lazarus McCarthy Chakwera wakati walipokuwa wakiangalia maeneo hayo yaliyoathiriwa vibaya na kimbunga cha kitropiki cha Freddy, Blantyre nchini Malawi tarehe 7...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Odinga aanza kukusanya saini milioni 10 kwa lengo la kumuondoa Rais Ruto madarakani

    Kiongozi wa Upinzani Raila Odinga amezindua mchakato wa kukusanya saini milioni 10 kabla ya Ijumaa wiki ijayo kwa lengo la kumuondoa Rais William Ruto madarakani. Azimio La Umoja One Kenya Party leader Raila Odinga has vowed to marshal up over 10 million signatures to kick-start what he terms...
  15. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Mzee Kikwete kuhusu DP World ni upi?

    Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini? Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika. Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
  16. JamiiForums Tanzania Ufisadi na Mikataba mibovu ya Serikali. Tatizo ni Idara ya Usalama wa Taifa haipo kwa ajili ya kulinda maslahi ya Taifa bali watawala

    Leo hii sisi CHADEMA tunafuatiliwa na Tiss kwa kila nyendo zetu. Tukiandaa mikutano ni kosa, tukipata misaada ni kosa hata tukipata sapoti tu hawa Tiss wanatufuatlia kila kona. Lakini huwezi kusikia wanafuatilia ufisadi unaofanyika hapa nchini. Angalia ripoti ya CAG imeanika madudu makubwa na...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Uhuru Kenyatta na Raila Odinga wadaiwa kupanga njama za kumuondoa Rais Ruto Madarakani

    Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani...
  18. JamiiForums Tanzania Tulia: Tusipopitisha bajeti ya serikali Rais anaweza kuvunja bunge

    Unajiuliza, lengo ilikuwa kuwatisha hao wana ndiyo wenzake ama?! Unafikiri bunge letu litakuwa na uwezo wa kuisimamia Serikali kwa ulege lege huo?
  19. JamiiForums Tanzania Ezekiel Kamwaga: Hata kama tuna uchungu na bandari ndiyo tumfokee Rais?

    Akina Nshala na ushindi wa Pyrrhic Ezekiel Kamwaga Wakili Rugemeleza Nshala. Picha kwa hisani ya Katiba TV Na Ezekiel Kamwaga MARA nyingi huwa nafanya rejea kupitia maandishi ya hayati Profesa Samuel Huntington wa Marekani. Katika kitabu chake cha mwaka 1993, The Third Wave...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia aweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa kwanza wa Malawi hayati Kamuzu Banda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amezuru na kuweka shada la maua kwenye kaburi la Rais wa Kwanza wa Malawi, Hayati Kamuzu Banda Nchini Malawi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…