rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuzindua Miradi Nane Kizimkazi Day"

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua na kuweka mawe ya msingi miradi nane yenye thamani ya zaidi ya sh. bilioni moja iliyopo Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni kuelekea katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Day) linalotarajiwa kuanza Àgosti 26 mwaka huu. Akiota taarifa kwa vyombo vya...
  2. Q

    JamiiForums Tanzania Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

    Enzi za utawala wa Mwinyi miaka ya 80, mwanasiasa machachari Joseph Mtikila alikuwa akimuita Rais Mwinyi ni ‘TX’ kutoka Zanzibar na aliwahi kumwambia arudi mwenyewe Zanzibar kabla hajarudishwa kwenye jeneza, hii ilikuwa kwenye mkutano wa hadhara viwanja vya Jangwani kwa waliokuwepo wakati huo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia Apokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Machapisho ya Sensa ya Watu na Makazi ya Mwaka 2022 kutoka kwa Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakati wa Kikao kilichofanyika Ikulu Mkoani Dodoma tarehe 17 Agosti, 2023.
  4. JamiiForums Tanzania Bendera ya Rais kwenye kikao cha CCM imefuata nini?

    Kwa mujibu wa sheria ya vyama vya siasa ni marufuku kwa vyama vya siasa kutumia majengo ya Umma na serikali kuendeshea shughuli zao za kisiasa. Lakini CCM pamoja na kupora majengo kadhaa ya umma na kuyageuza ya kwao, bado wanatumia IKULU yetu kufanyia vikao vyao. Mbali ya hayo kwenye kikao cha...
  5. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM, Rais Dkt. Samia aongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya CCM Ikulu, Dodoma

    Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kilichokutana tarehe 17 Agosti 2023 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
  6. JamiiForums Tanzania Wakili wa Mwabukusi amuangukia Rais Samia, aingilie kati, watuhumiwa kucheleweshwa Mahakamani

    Wakili wa Wakili Boniface Mwabukusi na Mwanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mpaluka Nyagali maarufu kwa jina la Mdude Nyagali wanao shikiliwa na jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa tuhuma za Uhaini, amemuomba Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kuingilia kati suala la watuhumiwa hao...
  7. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO (Video) Raia wa Uturuki wanaojenga Reli ya SGR waendeleza mgomo, wakidai mishahara, waomba msaada kwa Rais Samia

    Baadhi ya Wafanyakazi hao katika Mradi wa Ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), leo Agosti 17, 2023 wameendeleza mgomo wao wakishinikiza malipo yao kutoka kwa Mkandarasi Kampuni ya Yapi Merkezi. Sehemu ya hotuba yao inaeleza “Sisi ni Wafanyakazi tuliopo katika Mrati Awamu ya Pili (Lot 2), Kambi ya...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kitabu cha Rais Xi Jinping kuhusu “Utawala wa China” toleo la lugha ya Kiswahili chatolewa

    Kitabu cha Rais Xi Jinping chenye jina la “The Governance of China” toleo la Kiswahili, kimetolewa kwa wasomaji kwenye hafla fupi iliyofanyika Agosti 14 mjini Nairobi. Hii ni juzuu ya kwanza ya mfululizo wa juzuu nne, kikiwa na mkusanyiko wa hotuba na maagizo mbalimbali ya Rais Xi Jinping katika...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania aliyevurunda nchi ya SADC ni nani? Rais Samia apangua mabalozi akiwepo mmoja kutoka SADC

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida rais Samia ameeleza kupokea ombi kutoka kwa mmoja wa marais wa nchi za SADC akimwomba rais Samia ambadilishe balozi wa Tanzania aliyeko nchini “kwake” kutokana na utendaji wake mbovu. “Nilishakutana na Rais mwenzangu ndani ya nchi za kiafrika, ndani ya Sadc...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Olengurumwa: Uhaini waliopewa akina Dkt. Slaa unatia doa taifa na taswira ya Rais

    Mratibu wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Wakili Onesmo Olengurumwa amesema. Pamoja na serikali inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu kupongezwa na wadau mbali mbali wa haki za binadamu katika maeneo mengi ikiwemo kutoa uhuru wa kujieleza na kutoa maoni uhuru, sakata la...
  11. JamiiForums Tanzania Uteuzi: Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi za Shirika la Reli na VETA

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavyo:- i)Amemteua Bw. Ally Amani Karavina kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania. li) Amemteua Prof. Sifuni Ernest Mchome kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Elimu na...
  12. JamiiForums Tanzania Miezi 30 ya Rais Samia madarakani: Pamoja na kujikwaa kwenye Bandari, bado ni Rais mwenye record bora ya kukuza uchumi wa Tanzania kwa kipindi kifupi

    Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni. Unapozungumzia masuala ya kiuchumi, huwa mara zote tunaangalia Zaidi ‘numbers’. Kwenye uchumi hakuhitaji porojo na mihemko. Waweza kumchukia mtu lakini kamwe huwezi kujidanganya kwamba eti hakuna lolote alilofanya, kwasababu namba huwa hazidanganyi. Lengo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewatuma Mabalozi wakaulize wenzetu wamefanya uchawi gani kukua haraka kiuchumi

    Rais Samia Suluhu Hassan anasema : "Sote tunafahamu kuwa miaka ya 1960/70 nchi yetu na nchi za bara la Asia zilikuwa na uchumi unaolingana, lakini 'baada ya muda' wenzetu wametupita tena sana. Mfano Thailand kwa miaka hiyo ilikuwa na 'GDP Per Capita' ya Dola 166 na Tanzania tulikuwa 165. Leo...
  14. JamiiForums Tanzania Swali kwa Wakuu wa Ulinzi na Usalama: Ni halali kwa Raia wanaopinga uhaini dhidi ya Jamhuri kupewa tuhuma za uhaini dhidi ya Rais wa Jamhuri?

    Ndg. Said Hussein Nassoro, Mkurugenzi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS) Leo tunalo swali makini kwa wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama: Ni sawa kwa Raia wanaopinga uhaini uliofanywa wa Rais dhidi ya Jamhuri kunyamazishwa kwa kufunguliwa mashtaka ya uhaini dhidi ya Rais anayetuhumiwa kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna Mabalozi hawajui wanachokifanya, wapo tu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino Dodoma leo August 16,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba ni kwamba kuna Mabalozi ni kama vile hawajui wanachokifanya kwakuwa wapowapo tu na hawafanyi kazi kwa ufanisi. “Katika Nchi nyingine...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Sasa tutegemee wawekezaji kumiminika Tanzania. Wawekezaji wanawekeza kwenye amani, utulivu na usalama. Hongera Rais Samia

    Naweza kusema uongozi wa Rais Samia umefanikiwa pakubwa kujenga Imani Kwa wawekezaji kuwekeza Tanzania. Tanzania itakuwa kitovu Cha uwekezaji mkubwa miaka ya baadaye. Awali ya yote nichukue nafasi hii kumpongeza Rais Samia kwa kuendelea kusimamia na kuwezesha mazingira salama na tulivu ya...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuna Rais mwenzangu aliniambia nimbadilishe Balozi, aliyepo kazini haendi na Mikutano hashiriki

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi Wateule Ikulu Chamwino, mkoani Dodoma tarehe 16 Agosti, 2023. https://www.youtube.com/watch?v=3hgz9HYOiR8 RAIS SAMIA: MAFUNZO YA UBALOZI YASIWE YA JUMLAJUMLA Rais Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Mabalozi...
  18. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia Hassan hadi sasa hajatoa tamko rasmi kuhusu mkataba wa DP World

    Ningependa kujua sababu za msingi za Rais Samia Suluhu Hassan kutowajibika kama Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kutoa tamko lake rasmi kuhusu mkataba tatanishi wa DPW ambao kwa kiasi kikubwa unapingwa na Wananchi waliyo wengi? Nini sababu ya ukimya wa Rais Samia Suluhu Hassan?
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude wapo nyuma ya nani kutaka kumpindua Rais?

    WANAUKUMBI. Hii ni kauli ya Dr Slaa. Kwani serikali zinapopinduliwa kwanini huwa zinapunduliwa? Huwezi kuniambia hamna cha kufanya. The Extreme ni kupindua serikali na tutafanya hivyo" - Dkt. Wilbroad Peter Slaa akieleza uwezekano wa kufanya mapinduzi katika nchi "Najua kuna viongozi wanakaa...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Rais TLS: Uongozi wa Rais Samia umejaa Utu na Utawala Bora

    "Mhe. Rais SuluhuSamia tunakushukuru sana kwa uongozi wako bora uliojaa utu utawala bora, malengo mema na bora kabisa ya kujenga maridhiano na kuleta maridhiano ya mifumo, sera na sheria na kutekeleza mipango yakujenga Taifa letu kuwa bora na imara kiuchumi na kijamii. "Tanganyika Law Society...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…