rais

  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu umemtuma Makonda kuwavuruga watendaji wa serikali au kueneza siasa?

    Niliposikia Makonda Kateuliwa kuwa mwenezi wa CCM nilisema wamepata mtu wa kazi na mwenye sauti ya kukisemea cha chama cha Mapinduzi ,ila ninayoyaona Makonda anakwenda kuvuruga weledi wa watendaji wa Kazi seriaklini kwa kofia ya kumsemea Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi. Tujiulize maswali...
  2. JamiiForums Tanzania Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea Ujumbe Maalum toka kwa Mfalme wa Saudi Arabia

    Rais wa Tanzania, Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo maalum na Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania Mhe. Yahya Ahmed Okesh baada ya kuwasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Mfalme wa Saudi Arabia Salman bin Abdulazizi Al Saud Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 03 Novemba...
  4. JamiiForums Tanzania Je, mimi kama mlipa Kodi naweza kumuagiza kiongozi kufanya jambo lenye manufaa kwa wananchi?

    Naomba niulize, mimi kama mlipa Kodi siwezi kumuagiza Kiongozi yoyote afanye jambo ambalo ni faida kwa wananchi? Kama atafanya au kutofanya hilo ni suala jingine. Sasa kama jamii ni vema kutumia rasilimali muda kujiuliza kwanini fulani amemuagiza Mtumishi wa Umma afanye hiki au kile au...
  5. P

    JamiiForums Tanzania Salamu za upendo zimetolewa kwa wananchi kutoka kwa Magufuli badala ya Rais Samia!

    Nyuki wa mama mpo? Mwenezi Makonda amatoa alikuwa anatoa salamu kwa wananchi kwa nguvu zote, badala ya kusema Samia akasema Magufuli... halafu aaah zimetika kwa nani Dk. Samia.... amekuwa kama yule mbunge alisema nani anataka korona impate, au yule Profesa aliyemfanisha jiwe na Mungu. Mioyo...
  6. JamiiForums Tanzania Bunge la Nigeria lakataa kuidhinisha Bajeti ya Tsh. Bilioni 6 kununua 'Boti' ya Rais

    Wabunge hao wamesema Bunge haliwezi kuidhinisha kiasi hicho cha Fedha kwasababu ni matumizi mbaya ya Kodi za Wananchi hasa kwa kipindi ambacho Nchi inakabiliwa na mdororo mkubwa wa Uchumi. Serikali ya Rais Bola Tinubu imeanza kukumbana na changamoto tangu kuingia kwake madarakani ambapo mwezi...
  7. JamiiForums Tanzania Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    ๐‹๐ž๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š. ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ข๐ญ๐ข๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐š๐๐ฆ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ S๐š๐ฆ๐ž Sec ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐๐ฒ๐ž๐ซ๐ž๐ซ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š nyumbani ๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž ๐ฆ๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ƒ๐‚. M๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ƒ๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐‘๐‚, ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐‘๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ. B๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š...
  8. JamiiForums Tanzania Secretariat ya CCM ni kubwa kimamlaka kuliko kiongozi yeyote kasoro Rais tu. Acheni kelele Makonda alikuwa sahihi

    Katibu mwenezi wa CCM ndugu Paul Makonda hajafanya kosa lolote kumpa maagizo Waziri Mkuu kutatua changamoto za ardhi, Serikali ipo kwa niaba ya CCM na hao mawaziri wote ni wanachama wa CCM na boss wao ni hio secretariat ya CCM. Mazombi mnapanic kama vibwengo acheni hizo. Tanzania mmezidi kuwa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Zambia: Rais Mstaafu Edgar Chagwa Lungu asitishiwa marupurupu yake ya kustaafu

    01 November 2023 Lusaka, Zambia RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3, pasipoti ya kibalozi, magari 3 ya serikali, nyumba iliyosheheni samani, bima ya afya na gharama za...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Nikilinganisha mapokezi ya Rais wa shirikisho la Ujerumani na Mfalme wa Uingereza, viongozi wetu hawajiamini. Tatizo ni nini?

    Juzi alikuja rais wa shirikisho la Ujerumani Frank-Walter Steinmeier kutembelea nchi yetu kwa siku 3, wakati huo huo mfalme wa Uingereza Charles wa III aliitembelea nchi ya Kenya. Ukilinganisha mapokezi unaona Rais wetu kama ni mwoga hana muda hata wa kuchat na mgeni wake, vile vikundi vya...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani, leo Novemba 2, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan atashiriki Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda. https://www.youtube.com/live/0hpKdPc8ajI?si=ljU2SQWILAiEI3gQ === Mhe. Rais Samia...
  12. JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Ndugu wa Rais Mnangagwa akutwa na hatia ya kutorosha Dhahabu ya Tsh. Milioni 749

    Mfanyabiashara Henrietta Rushwaya, ambaye ni Mpwa wa Rais Emmerson Mnangagwa amekutwa na hatia ya kujaribu kusafirisha Dhahabu yenye thamani ya zaidi ya Tsh. Milioni 749 kinyume na Sheria Henrietta, ambaye ni Rais wa Shirikisho la Wachimba Madini, alikamatwa Uwanja wa Ndege akisafirisha Vipande...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Hadhi ya Makonda kwa Sasa ni sawa na Makamu wa Rais au Kaimu Rais, ana haki ya kumpa maelekezo mtu yeyote yule, hata Philip Mpango

    Hiyo ndio hadhi ya Makonda kwa Sasa. Ameanza kazi rasmi, na ameanza kwa kumpangia kazi Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, moto ni uleule kwa Makamu wa Rais, Sasa akifika kule wilayani na mikoani, wakuu wa huko wajipange. OCD na RPC, msiache kutembea na pingu, amri yoyote inaweza kutolewa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji

    Rais wa Ujerumani awaomba radhi Watanzania kuhusu uhalifu wa Wajerumani wakati wa Vita vya MajiMaji Rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier siku ya Jumatano ameomba radhi na kueleza kufedheheshwa kwake na uhalifu uliofanywa wakati wa utawala wa kikoloni wa Ujerumani nchini Tanzania, wakati huo...
  16. JamiiForums Tanzania Mavunde amuomba Makonda amfikishie salamu kwa Rais Samia

    Waziri wa Madini ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini (CCM), Anthony Mavunde amemuomba Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa chama hicho Paul Makonda kumfikikisha ujumbe kwa Rais Samia Suluhu Hassan kuhusu maendeleo yaliyofanyika katika mkoa huo. โ€œAmetufanyia kazi Kuba kwa Kuleta miradi mingi...
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia ampokea Dkt. Frank Walter Steinmeier, Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Ikulu - Dar es Salaam, leo Oktoba 31, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimpokea Mhe. Dkt. Frank Walter Steinmeier, Rais wa Shirikisho la Ujerumani katika Ukumbi wa Jakaya Kiwete Ikulu - Dar es Salaam leo tarehe 31 Oktoba, 2023 https://www.youtube.com/live/plc2evsuZBs?si=-KfwpVemzGcMn8WG SAMIA...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Joseph Mhagama: Sera ya Mambo ya Nje imesaidia ushindi wa Dkt. Tulia kuwa Rais wa IPU

    Mbunge wa Jimbo la Madaba Joseph Kizito Mhagama amesema sera ya Mambo ya Nje na Diplomasia ya Nchi ni bora pamoja na uhusiano wa Kidiplomasia umechangia ushindi wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr Tulia Ackson kuwa Mshindi wa nafasi ya Urais wa Umoja wa Mabunge Duniani...
  19. JamiiForums Tanzania Katibu wa ADC: Kauli ya Paul Makonda inapishana na msimamo wa Rais Samia

    Katibu Mkuu wa ADC Taifa, Doyo Hassan Doyo amesema kauli iliyotolewa na Katibu wa NEC โ€“ Itikani na Uenezi wa CCM, Paul Makonda kuwa vyama vya Upinzani Nchini havipo ni sawa na kupinga maelekezo ya Rais Samia Suluhu kuhusu maridhiano ya kisiasa. Doyo ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa chama...
  20. JamiiForums Tanzania Rais wa Ujerumani Kuongea na Vijana Wajasiriamali wa Kitanzania

    Rais wa Ujerumani, Frank-Walter Steinmeier, anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini kuanzia leo October 30 hadi 01 November 2023 ambapo mbali na kudumisha uhusiano wa kidiplomasia na ushirikiano wa kimaendeleo baina ya Tanzania na Ujerumani, Rais huyo anatarajiwa kuonana na kuzungumza na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ