rais

  1. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia mifuko ya hifadhi ya jamii haifi kwa sababu ya kulipa mikupuo yote kama ulivyodai, bali ubadhilifu wa mifuko hiyo

    1. Ripoti za CAG zinasema kuna ubadhilifu katika mifuko hiyo, kujiingiza katika miradi ambayo ni non productive. 2. Kibaya zaidi wafanyakazi wanajikopesha mabilioni bila riba na hawarudishi. 3. To crown it all serikali imechota fedha nyingi bila kuzirudisha. 4. Mama Samia, Rais wetu...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Miaka 60 ya Muungano imegubikwa na kamata kamata za polisi kuliko mijadala ya kitaifa? Nani yupo nyuma ya hujuma ya 4R za Rais?

    Vyombo vya habari zimeripoti mambo mengi ya Muungano lakini wananchi wamekataa kujadili na kusambaza habari njema ya uzima wa Muungano. Mtaani hakuna mtu anahangaika na gwaride wala hotuba watu wapo busy kujadili picha za waliopotea. Boniface na Malisa wameteka mijadala ya ndani na muda si...
  3. JamiiForums Tanzania Nukuu: Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano

    Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
  4. JamiiForums Tanzania Hafidh Ameir (Mtoto wa Rais Samia) Apokea Zawadi ya Rais Samia Suluhu Hassan Kutoka UWT Katika Mdahalo wa Wanawake na Muungano

    Hafidh Ameir, Mbunge wa Viti Maalum (Zanzibar) na Mwenyekiti wa Taasisi ya Mwanamke Initiative Foundation (MIF) ameshiriki katika Mdahalo wa Kitaifa wa Wanawake na Muungano ulioandaliwa na Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) leo tarehe 25 Aprili, 2024 Jijini Dar es Salaam Mhe. Wanu...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri

    Wadau hamjamboni nyote? Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 25 Aprili, 2024.
  6. JamiiForums Tanzania Ibrahim Traore, Rais kijana, alovuviwa Roho ya Hayati Magufuli, anayepaswa kuigwa na Vijana wa Tanzania. Burkina Faso sasa inachanua

    Unaweza kudhani ni maajabu, ila huo ndio ukweli, Kijana alozaliwa 14/3/1988, aloamua kuchukua Nchi Kwa njia ya mapinduzi mnamo 30/9/2022 .. ni Mwaka mmoja na miezi 6 tuu ila Mzalendo huyu Kijana kaamua kuanzisha safari aloiachia HAYATI Thomasi Sankara. Kwa watoto wa 2000, Thomas Sankara ni...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais

    Rais Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu - Chamwino Dodoma tarehe 24 Aprili 2024...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Biden asaini Sheria itakayoifungia TikTok kama haitamilikiwa Marekani

    Biden signs Israel, Ukraine, TikTok bill into law President Joe Biden signed into law measures to provide aid to Israel, Ukraine and Taiwan, as well as force the divestiture of social media platform TikTok from its Chinese parent company ByteDance or face a national ban. TikTok has vowed to...
  9. JamiiForums Tanzania Kigwangala, kumsifia Rais sio uzalendo wa kwanza, nchi yetu ni Jamuhuri sio Ufalme

    Maneno ya Mbunge Kigwangala kwamba kumsifia Rais ni uzalendo wa kwanza ni maneno ya kusikitisha yanayatuonyesha ni watu wa ajabu jinsi gani wanaotungoza wakati mwingine. Huyu ni mtu aliyekuwa waziri kamili na kutaka pia kuwa Rais wa taifa hili lakini hata huelewei kwamba nchi yake ni Jamuhuri na...
  10. JamiiForums Tanzania Mambo matano ya Hayati Rais Magufuli yaliyoshtua Dunia

    1. Acacia Hayati Rais John Magufuli alipiga marufuku usafirishaji mchanga kutoka machimbo ya madini kwenda nje ya nchi, Hayati Rais Magufuli alisema wawekezaji wamekuwa wakikiuka taratibu kwa muda mrefu na kusema Tanzania imeliwa vya kutosha na kumuagiza waziri wa nishati na madini kusimamia...
  11. JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania Nchi mbalimbali

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewapongeza Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali Duniani kwa kazi nzuri ya uwakilishi ambayo inaonekana kwa kuongezeka kwa masoko ya bidhaa za Tanzania, biashara, uwekezaji, utalii na tekbolojia nchini. Rais Samia ametoa pongezi...
  12. JamiiForums Tanzania CCM Simiyu Yampongeza Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwaletea miradi ya maendeleo

    CCM SIMIYU YAMPONGEZA RAIS DKT SAMIA SULUHU KUWALETEA MIRADI YA MAENDELEO. LALAGO; MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)Shemsa Mohamed amempongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Taifa kwa kupeleka fedha nyingi kwa ajili ya kutekeleza Miradi mbalimbali ya Maendeleo...
  13. JamiiForums Tanzania Wito kwa Serikali yetu, Huu ni Udhalilishaji wa Bullying & Intimidation. Mbona Rais Samia Hadhalilishi? Tusiruhusu Udhalilishaji Huu Uendelee!

    Wanabodi, Nimebahatika kufanya kazi na wazungu, niliajiriwa na Taasisi ya FCO ya Uingereza, nikiwa jijini New Delhi India, nikapostiwa Ubalozi wa Uingereza, Pretoria Africa Kusini, Lilongwe Malawi, Lusaka Zambia na mwisho nikatua Jiji Dar es Salaam nikiwa ni Mshauri wa Siasa wa Balozi wa...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Politics of McCarthyism: Siasa anazozitumia Paul Makoda kuwachafua wenzake, kujipendekeza kwa Rais Samia, na kujipa uhalali mbele ya Watanzania

    Neno hili inatokana na senator wa mmarekani U.S. Sen. Joseph McCarthy aliyejipambanua kuupinga Ukomunist ndani ya USA kwa kutumia mbinu za kuwachafua wenzake kwa kigezo cha kuupinga Ukomunist ambao ilikuwa sumu kwa Wamarekani. Akijua kuwa wamarekani hawapendi Ukomunist, basi alitumia ukomunist...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Ole Lekaita akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI 2024/2025

    MHE. Edward Ole Lekaita Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa heshima kubwa aliyotupa majimbo kupitia miradi ya maendeleo. Jimbo la Kiteto tumepata shule mpya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini vitendo vya ukatili vinavyofanywa na viongozi wateule wa Rais Tanzania vinaongezeka kwa kasi na hakuna anayechukuliwa hatua za kisheria?

    Kwa miaka kumi tumeona wakuu wa wilaya na mikoa wakichapa na kupiga subordinate wao na kuishia kutenguliwa uteuzi kisha baada ya muda kuteuliwa tena. Tumeshuhudia viongozi kama Naibu Waziri akituhumiwa kunyanyasa mwajiriwa lakini hakuna chombo kinachochunguza na hata wanaotaka kuchukua hatua...
  17. JamiiForums Tanzania Martha Mariki akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025

    MHE. Martha Mariki Akichangia Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais TAMISEMI ya Tsh. Trilioni 10.125 Kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 "Namshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa katika Taifa letu la Tanzania na katika Mkoa wa Katavi kwa kuleta fedha...
  18. JamiiForums Tanzania Kusema Maji ya mafuriko ya Rufiji yatafutiwe njia ya kwenda baharini, si kumtukana Rais. Wananchi wanateseka

    Tunashukuru Serikali ya Tanzania kwa kuyoa Tan 300 za unga, mchele na maharage kwa watu wa Rufiji japo ambazo zimefika na kuonekana kwa macho ni Tan 32. Labda hizo tani nyingine bado zipo njiani. Huko Rufiji Serikali imepeleka tan 100 za maharage, tani 100 za mchele na tani 100 za maharage...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia, hii kauli inazidisha ukakasi kwenye eneo la urefu wa kamba...

    Nilitegemea Mhe. Wangu kuwakemea wanaokula kwa urefu wa kamba zao. Nitaendelea kuamini kuwa hii ni kauli inaweza kuendelea kutumika kukosoa nia ya serikali kuunda vyombo vinavyosimamia maadili na miiko ya viongozi na watumishi wa umma. Tujisahihishe. Bado hatujachelewa Pia soma: Rais Samia...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia naomba ukemee ubaguzi kwenye sherehe za Mei Mosi

    Salam kwako Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan. Kila mwaka tarehe 1 Mei ni sikukuu ya wafanyakazi duniani ambapo wafanyakazi wote husheherekea siku hiyo kwa mambo mbalimbali na katika desturi yetu hapa Tanzania kunakuwa na maadhimisho ya kitaifa na mara...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…