rais

  1. JamiiForums Tanzania Tabaka la Wahafidhina linavyo Mkwamisha Rais Mwinyi Zanzibar

    TABAKA LA WAHAFIDHINA LINA MKWAMISHA RAIS MWINYI Deogratias Mutungi Nianze Makala haya kwa kurejea viongozi hawa nguli , Hastings Kamuzu Banda rais wa zamani wa Malawi, na Waziri Mkuu wa Zamani wa Uingereza Winston Churchill, Banda wakati fulani aliwai kusema, ” Kiongozi mwenye utashi wa...
  2. JamiiForums Tanzania Hotuba Hii ya Hayati Rais Magufuli imenitoa Machozi

    Nakuombea Kwa Mungu wetu wa mbinguni akulaze mahala pema peponi kiongozi wetu. Kwa hakika pengo lako halitasahaulika kamwe miongoni mwetu watanzania. Tulikupenda sana lakini kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu aliamua kukuchukua. Endelea kupumzika kwa amani Kiongozi wetu mpendwa.
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Kwagilwa Nhamanilo: Rais Samia ndio aliruhusu shughuli za kisiasa kuendelea, kwanini hamkuhoji wakati ule huyu ni Mzanzibari?

    "Jambo hili watu wengi wamelizungumzia huko nje, wapo waliolipotosha na wapo waliokwenda mbali zaidi na kuzungumza yale ambayo ni hatari kwa Umoja wa nchi yetu na mshikamano wa Taifa letu. Nataka niwakumbushe wakati nchi yetu ilipopita kipindi kigumu cha COVID-19 wakati Dunia yote ilijifungia...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, CHADEMA wakikashifu mamlaka waonywe, wakiachwa wanajenga usugu, watasumbua

    Rais wetu na vyombo vya ulinzi na usalama nchini, Salaàm! Nimefuatilia mienendo ya kukijenga chama cha CDM hapa nchini - iko wazi kuwa CDM wanatumia njia hiyo kama sehemu ya haki yao ya kukusanyika, kuandamana, kuongea na kutoa maoni. Kinachonipa mashaka ni iwapo wanatumia forum HIYO...
  5. JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu

    Rais wa Yanga atangaza atakavyo watambulisha Chama na Kibu Rais wa Yanga amesema watamtambulisha mchezaji mpya ambapo kwa taarifa za ndani ni kati ya Kibu au Chama kabla ya msimu huu kutamatika Ameyasema hayo katika live ilikuwa katika page ya Instagram ya Ali Kamwe jana jioni ambapo wameacha...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rais William Ruto kuhutubia kikao cha pamoja cha bunge la Marekani

    Kamati ya Bunge la Marekani🇺🇲 kuhusu Mambo ya Nje imemuandikia barua Spika wa Bunge kuomba ridhaa yake ili Rais William Ruto ahutubie kikao cha pamoja cha Bunge hilo Iwapo Mheshimiwa Spika atakubali, Rais William Ruto atakuwa : • Kiongozi wa kwanza kutoka Kenya kuwahi kuhutubia Bunge la...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tumshauri Rais Samia aachie madaraka 2025 au agombee?

    Wana JF, wasalaam. Naenda moja kwa moja kwenye mada. Kila nikiangalia siasa zinavyokwenda, ni hakika Samia hataweza kutoboa ila kwa njia ya kumwaga damu. Atatumia nguvu sana ili kurudi ikulu. Kuna vielementi vingi sana ninavyo viona vitakavyo mnyima kura. 1. Hana kambi ya kumpigania kufa...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia mpaka sasa hujaanzisha mradi wowote wa kimkakati. Je, tuendelee kusubiri?

    Nawatakia heri wafanyakazi wote. Mh. Rais nachukua fursa hii kukumbusha tu tangu uingie madarakani baada ya kifo cha Rais John Pombe Magufuli haujaanzisha mradi wowote mkubwa wa kimkakati. Kazi inaendelea kukamilisha miradi mikubwa ya kimkakati iliyoanzishwa na marehemu Magufuli ambayo ni...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Si sahihi siku ya wafanyakazi kugeuzwa siku ya wadudu wasioumiza; hongera Rais kwa kutokushiriki kikombe hiki

    Siku ya wafanyakazi inapaswa kuwa siku ya mijadala serious ya hatima ya uchumi na mipango ya Taifa. Siku ya wafanyakazi ni siku maalumu ya watunga sera duniani kuzipitia na kuzichambua sera za uchumi. Siku hii haipaswi kufanyiwa mzaa wala kugeuzwa siku ya kiuni kama ilivyofanyika leo Arusha. Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia kakwepa Hoja za Wafanyakazi na kamtuma Makamu wa Rais wakati Rais wa Zanzibar yeye amevunja ziara kwa ajili ya Mei Mosi?

    Ni swali linaloniumiza Kichwa Hapa Arusha. Kila nikiangalia Naona kabisa hakutakuwa na majibu ya Wafanyakazi Nchini zaidi ya Porojo.. Nilidhani Rais atakuja na Kujibu Hoja za wafanyakazi kama Kikokotoo, Maslahi yao na hata Kuongezwa Mishahara.. Mbona amekimbia? Mbona mwenzake wa Zanzibar...
  11. JamiiForums Tanzania Ushahidi wa Nyaraka na vielelezo kuhusu UZanzibar wa Rais Samia huu hapa

    Mimi nadhani ni heshima kubwa na Uzalendo kwa mtu kuitwa kwa Utaifa wake, Sioni haja ya kuficha Utaifa wa mtu kwa sababu zozote zile. Kwa nia njema kabisa naweka nyaraka za wazi za Uzanzibar wa Rais wetu Samia Suluhu Hassan Hata kwa Sheria za Tanzania, Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano...
  12. JamiiForums Tanzania ADC wa Rais Samia asijisahau Kiitifaki hawaruhusiwi Kucheka wala Kutabasamu awapo kazini

    Najua kuna watu watakuja hapa kunishanga na kunishambulia ila kwakuwa huwa najiamini kwa kile ambacho nakisema na nakimaanisha wala sitojali. Narudia tena Mpambe yoyote yule wa Rais (ADC) tena akiwa na Sare zake za Kijeshi huwa haruhusiwi Kucheka au Kutabasamu katika Mazingira yoyote yale awapo...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Nape amuombe radhi Tundu Lissu, sio kosa kumuita Rais Samia Mzanzibari, ni takwa la Katiba ya Zanzibar

    Salam Wakuu, Tumemuona Waziri wa Habari, Teknolojia na Mawasiliano akimkemea na kumwagia shombo Lissu ndani ya Bunge kua Lissu amefanya ubaguzi kumuita Rais Samia mzanzibari ambae anatawala Tanganyika. Naomba tusome kidogo katiba ya Zanzibar Tumsikilize Rais Samia mwenyewe...
  14. JamiiForums Tanzania Motsepe ndiye Rais wa CAF wa ovyo kuwahi kutokea

    Hili limzee bwana Sote tunatambua kuwa urais wa CAF kuupata sio rahisi rahisi lazima uwe na pesa plus ushawishi mkubwa .. Kwanza waarabu ndiyo wanakupitisha, Yaani wakisema huyu hatumtaki basi hautoboi hapo, So motsepe alilamba viatu vya waarabu kwanza plus pesa zake ndiyo akatoboa . Hilo sio...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Je, majukumu ya nafasi ya Waziri Mkuu yanapunguza nguvu ya nafasi ya Rais kiasi cha kusababisa msuguano baina ya nafasi hizo mbili?

    Nafasi ya Waziri Mkuu Tanzania imekuwa mwiba mchungu kwa miaka mingi dhidi ya Marais waliopo Madarakani. Pamoja na kwamba Marais ushiriki kupendezekaza jina la Waziri Mkuu; wengi uwaona kama watu wenye nguvu na ambao usipokaa nao kwa akili wanaweza kukuoutsmart. Kati ya mawaziri wakuu...
  16. JamiiForums Tanzania Rais wa Somalia, Hassan Sheikh Mohamud atembelea Taasisi ya JKCI, apongeza utendaji

    Rais wa Jamhuri ya Somalia, Hassan Sheikh Mohamud amewapongeza wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa huduma nzuri wanayoitoa ya kuokoa maisha ya watu wenye matatizo ya moyo. Rais Hassan Sheikh Mohamud alizitoa pongezi hizo Aprili 27, 2024 Jijini Dar es Salaam alipotembelea...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Kamati ya maadili ya CCM yamuonya Makonda, yadaiwa baada ya ile hotuba yake matusi juu ya Rais wetu yalizidi kuzunguka mitandaoni maradufu

    Kwenye korido za makao makuu ya CCM Dodomana Lumumba,kuna tetesi kuwa kamati ya maadili imemuonya Makonda aache koropoka . Hiko hivi,watu wengi hawakuwawakijua kuwa mama yetu anatukanwa huko mitandaoni lakini baada ya ile hotuba watu wengi walianza kufuatilia ,hayo matusi dhidi ya mama huko...
  18. K

    JamiiForums Tanzania IGP anatakiwa asichaguliwe na Rais

    Ukiangalia ishu ya malisa na boniface utagundua tatizo sio polis bali kuna kigogo mmoja anawashurutisha wafanye haya wanauofanya kuwalaumu polisi ni kuwaonea. Mzizi wa tatizo ni igp kuteuliwa na Rais anakua anafuata matakwa ya Rais na sio tu anafuata matwaka ya Rais bali anafuata matakwa ya...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Je CCM yamuandaa Mh Anthony Mavunde kuwa Rais ajaye?

    Wakuu salamu kwenu. Je imawezekan CCM inamuandaa Mh Mavunde kuwa Rais Ajaye?
  20. JamiiForums Tanzania Pongezi za Miaka 60 ya Muungano: Twende Kwenye Muungano Kamili wa Ukweli wa Nchi Moja, Serikali Moja na Rais Mmoja? Kero Zote za Muungano Zitayeyuka!

    Wanabodi, Loe nchi yetu tumeadhimisha miaka 60 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, na kuwa nchi moja ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano wetu ni muungano adimu na muungano adhimu, kwasababu hapa duniani hakuna muungano mwingine wowote kama huu muungano wetu. Ni muungano wa nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…